Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Aunt ndoa imemshinda sababu ni hiyohiyo....kaenda msibani kalala huko....asubuhi uncle kamuwahia anashangaa anaambiwa hakulala hapo....wanoko wakamtajia hadi alikogalagazwa na kiserengeti man
Yani wanawake wa kiafrika akili zao sijui huwa zinawaza nini,kama umemchoka mtu au unaona hakuridhishi si uondoke uchukue hamsini zako.Kwa nini uende utembeze uke wako uku ukijua fika umeolewa.
 
Habari wana jamii forum kiukweli hii nimeochunguza na numeona wanawake wengi wanatumia mazishi kwenda kwa watu waoo nimelala na wanawake zaidi ya watano. Na wote walivyoondoka kwa waume zao wnasema wanaenda mazishini oyaaa kataaa ndoa nawaunga mkono nikioa mke wangu akisema anaenda kwaoo mazishini mm roho inatoka kabisaaa daaa wake za watu wengi hii chance wanatumia sana
Kuwa mke wa mtu haibadilishi tabia ya uzinzi kama aliyokuwa nayo.Hapo umekutana na wazinzi wenzio kwenye kivuli cha wake za watu. Ndege wenye rangi moja huruka pamoja
 
Aunt ndoa imemshinda sababu ni hiyohiyo....kaenda msibani kalala huko....asubuhi uncle kamuwahia anashangaa anaambiwa hakulala hapo....wanoko wakamtajia hadi alikogalagazwa na kiserengeti man
Wewe Acha tuu
 
Aunt ndoa imemshinda sababu ni hiyohiyo....kaenda msibani kalala huko....asubuhi uncle kamuwahia anashangaa anaambiwa hakulala hapo....wanoko wakamtajia hadi alikogalagazwa na kiserengeti man
Malizia story, alivyofika guest Muhudumu akamtajia hadi idadi ya goli alizopigwa
 
Maswala ni mawili hapa

1.aidha uoe Second hand(21 and above) used Ila watu kama baltazar ni nadra mkeo kuwakwepa sababu tiyari ni daladala watu wengi washaipanda na kazoea.

2.Ukaishi nyuma ya nondo miaka 30 kwa kutoka na watoto wadogo maana sababu ni kuwa wenye bikra wapo shule kwenye umri huu(15-19) Tena vijijini au watoto wa geti kali au nenda zanzibar ambako wanathamini sealed ya mbele

Anyways kimsingi baltazar ni miongoni mwa kioo ambacho kimeweza "ku-leflect" na kudhihirisha ni kwa namna gani wanawake wanavotumika maofisini and pia behind the scene wanapokua mbali na waume zao

Lakini Sasa kuna wale ambao mnasema mwanamke anatulizwa na pesa Sasa Ebu jiulize ni wangapi kwenye hiyo list ya 400 wamegongewa wake zao? Na wanapesa majibu unayo mwenyewe.

Aidha, mzee baltazar anazidi kuwapa shavu kataa ndoa na team-oa bikra hapo bao ni
(oa bikra) 1-1(kataa ndoa)

Sasa just imagine kwa hao masecond hand (used) namna wanaovyofinyangwa huko makazini, kwenye mitoko na hao wa kuita he is just a friend, in the voice of ni "mzazi mwenza" lazima akamuone mtoto wao🤣kumbe anaenda kushenyentwa

Naomba niwasilishe kwa kusema, kwamba yasikie kwa jirani yako.
Lakini fanya maamuzi sahihi kwa longterm kwa maisha ya Leo na baadae unapochagua mwenza.

Ukioa mwanamke used "jiandae kwa disappointment. (ruksa kukata rufaa na pingamizi).

Haha 😂 😂 nisaidie kutafuta bikira toka nakua sijawahi ona icho kitu aisee tuendelee kuvumilia hamna cha peke Ako, heshima izingatiwe.
 
Haha 😂 😂 nisaidie kutafuta bikira toka nakua sijawahi ona icho kitu aisee tuendelee kuvumilia hamna cha peke Ako, heshima izingatiwe.
🤣Dadeki miaka 30 jela na riba juu inakuhusu maana mahabusu utachezea miaka minne(hyo ndo riba)
 
Kwa hiyo unataka kumwelewa mwanamke?

Nilichokihisi ni kwamba Baltar aliwateka wanawake kwa kitu kimoja kikubwa, nacho ni uwezo wake wa kuwakojoza na ikitegemewa kwamba baadhi yao huenda hawakuwa wanakojozwa na waume zao ndiyo maana hata Baltar aliwagonga wake za vigogo wenye hela.

Pili, inaelekea baadhi yao walikuwa wanasimuliana uwezo wa Baltar katika kuwakuna na hivyo kujikuta wanampelekea. Kumbuka wanawake huwapenda zaidi wanaume wenye mvuto kwa wanawake wenzao.

Kuhusu mvuto wa hela, hii ni sababu ndogo sana.

RIP kwa yule wa wigi jekundu maana kajinyonga baada ya scandal, ila alikuwa porn star mzuri sana daah!
 
Nilichokihisi ni kwamba Baltar aliwateka wanawake kwa kitu kimoja kikubwa, nacho ni uwezo wake wa kuwakojoza na ikitegewa kwamba baadhi yao huenda hawakuwa wanakojozwa na waume zao ndiyo maana hata Baltar aliwagonga wake za vigogo wenye hela.

Pili, inaelekea baadhi yao walikuwa wanasimuliana uwezo wa Baltar katika kuwakuna na hivyo kujikuta wanampelekea. Kumbuka wanawake huwapenda zaidi wanaume wenye mvuto kwa wanawake wenzao.

Kuhusu mvuto wa hela, hii ni sababu ndogo sana.

RIP kwa yule wa wigi jekundu maana kajinyonga baada ya scandal, ila alikuwa porn star mzuri sana daah!
Dah
Kut mba mke wa mtu ni Raisi sana, pia wanawake Hawana Garantee, unaweza tmba kwa karanga tuuuu
Huenda mbinguni
 
Back
Top Bottom