StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 4,153
- 4,301
Asante sanaWanaume wengi sana wanalalamika kuhusu mahusiano yao na Wanawake, ambao hawapo kwenye mahusiano wataogopa kuingia maana siyo kwa malalamiko haya, poleni sana Wanaume wote mnaokumbwa na changamoto za mapenzi.
Hongereni sana. Mdumu hivyo hivyoMaisha ya ndoa hayafanani kama ambavyo maisha ya kawaida hayafanani.
Nimeoa 2016,katika maisha yangu sijawahi kujutia kuoa,Mungu alipa zawadi siyo tu mke yaani ni zawadi kabisa.
Mke wangu hana mambo mengi,siyo kwamba ni kwa sababu ni wa kawaida hapana ni pisi kali sana tu umbo maridhawa na sauti isiyochosha.
Mke wangu hajui kusema neno hapana kwake ni ndiyo na kuomba ruhusa kwa kila anachokifanya,kwake ni kutoa ushauri na kusubiri mume nitekeleze.
Mungu alinipa zawadi,mke wangu hataki kabisa kusikia jambo lolote la kusimuliwa kuhusu mume wake,yeye msimamo wake ni mmoja tu,anaangalia vile mume wake anavyoishi naye kwa amani na upendo,namna mume anavyotimiza majukumu yake.
Nimeshamfungulia kabiashara ili na yeye awe na cha kufanya,hatumii hata mia bila kupata kibali.
Aisee hata ndoa zote ulimwenguni zivunjwe ili tuoane upya nitaenda kumchumbia upya mke wangu.
Pamoja na changamoto zote za ndoa bado ndoa zenye amani na upendo zipo kabisa.
Nakazia hapa.Mwanamke anahitaji mwanaume mbabe, mshenzi asiye na huruma
Ukijifanya Mr.love umekwenda na maji.
Usiwajali watoto kuliko kujijali wewe MWENYEWE. Hawatakusaidia lolote.
Jifunze kuwa Mwanaume ndipo uoe.
Usiendeshwe na maneno ya Mwanamke.
Akikuzingua mara moja tambaa naye mara elfu mpaka Ajue amekosea njia.
Timua
Usipotimua utatimuliwa.
Mtu ni mwanaume bado mwanamke akusumbue huo ni upumbavu
Mke anakuwa kakimbia, jamaa atashughulikiwa na wahuni kama watatu hivi chini ya usimazi wa Mume wa huyo Mke[emoji28]Yaani nasema umemfuma mkeo anagegedwa ...unamla tigo jamaa alafu wewe unamchukuwa mkeo na kurudi nae nyumbani?
[emoji23][emoji849]Ila kikweli ndoa nyingi zinadumu kwa sababu ya watoto wasipate tabu, lakini yale mapenzi yaliyowakutanisha yalishazama na Mv. Bukoba
Nimecheka ila kuna ukweliMwanamke anahitaji mwanaume mbabe, mshenzi asiye na huruma
Ukijifanya Mr.love umekwenda na maji.
Usiwajali watoto kuliko kujijali wewe MWENYEWE. Hawatakusaidia lolote.
Jifunze kuwa Mwanaume ndipo uoe.
Usiendeshwe na maneno ya Mwanamke.
Akikuzingua mara moja tambaa naye mara elfu mpaka Ajue amekosea njia.
Timua
Usipotimua utatimuliwa.
Mtu ni mwanaume bado mwanamke akusumbue huo ni upumbavu
MmmhSiyo lazima kuoa - hasa siku hizi!
Narudia tena siyo lazima kuoa!
Unasemaje Mtumishi?Mmmh
[emoji848][emoji134][emoji144]Jidanganye. Tena hawa wanaojifanya wacha Mungu sijui walokole wengine ni hatari zaidi kuliko hata wauza baa.
Kuoa ni kamari ngumu sana kuicheza na kuna variables nyingi mno. Wewe omba tu upate mtakayevumiliana mapungufu yenu; na ambaye angalau atakuheshimu japo kidogo...na mengine waachie walimwengu!
Usiwajali watoto kuliko kujijali mwenyewee.Hawatakusaidia chochote.Nimecheka ila kuna ukweli
Hahaha mtoto unapendwaWapo wengi wanaotafuta waume mi sikutaki,, kwaheri
HahaaaaUje nikuoe sasa
SijamboUnasemaje Mtumishi?
Hujambo?
Ukae mwenyewe mpaka lini?Kuoa muhimu ila kama unakimbia nyumba sababu ya mke bora ukae mwenyewe
Duh hawa viumbe ni balaa sana.....huyo kiboko mpaka kakuletea mimba ndani?Niliwahi shitakiwa na mtalaka wangu kituo fulani cha polisi jijini Dar,nikaletewa barua ya wito.siku nakwenda kusikiliza nilichoitiwa nilipokelewa kwa maneno ya kejeli na askari wa kike waliokuwa pale kituoni.baada ya mahojiano na kuelezwa yale aliyokwenda kushtaki mtalaka,nikawajibu tu simple kuwa nina ushahidi wa kutosha juu ya vitendo alivyofanya hadi akaamua kuondoka mwenyewe nyumbani
1, kupewa ujauzito na Hawara yake kisha mm nilee mtoto nikijua ni wangu kumbe nimepachikwa.
2,kunitoa roho kwani kwake sikuwa na thamani tena hivyo alitaka kubadili mme.
3,kumuwekea mtoto wangu sumu ili afe kuondoa tofauti utakapojitokeza kati yake na mtoto wa mchepuko.
Baada ya kuweka ushahidi wa audio na kusikilizwa,wale ma wp waliondoka bila kuaga,aliyesalia(inspector) alinipa pole na kunisifu kwa uvumilivu nilionao na kumwambia mtalaka jamaa kwa ushahidi alionao akienda mahakamani hutoboi.sasa hivi hata kutongoza mwanamke naogopa.
KULA MIZIZI NA MBEGU KWA SANA ILI UBAKIE NA NGUVU KIPINDI HICHOMI NTAOA UZEENI SANA. ANGALI MZEEE SANA
Ndoa za siku hizi mara nyingi wanaooa ni wanawake......yaani ni wale wenye uwezo wa kujinunulia pete , kujitolea mahari , kugharimia sherehe nk nk ili na wao waonyeshe wameolewa....lakini hakuna mwanaume mwenye pesa zake akazipoteza kwa kuoa hasa hao wanawake muchknows wakati anajua anaenda kuzimu.....labda aoe very ordinary woman ambaye hantomsumbuaWanaoa sana,huku mitaani kila siku ndoa