Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Maisha ya ndoa hayafanani kama ambavyo maisha ya kawaida hayafanani.
Nimeoa 2016,katika maisha yangu sijawahi kujutia kuoa,Mungu alipa zawadi siyo tu mke yaani ni zawadi kabisa.

Mke wangu hana mambo mengi,siyo kwamba ni kwa sababu ni wa kawaida hapana ni pisi kali sana tu umbo maridhawa na sauti isiyochosha.
Mke wangu hajui kusema neno hapana kwake ni ndiyo na kuomba ruhusa kwa kila anachokifanya,kwake ni kutoa ushauri na kusubiri mume nitekeleze.

Mungu alinipa zawadi,mke wangu hataki kabisa kusikia jambo lolote la kusimuliwa kuhusu mume wake,yeye msimamo wake ni mmoja tu,anaangalia vile mume wake anavyoishi naye kwa amani na upendo,namna mume anavyotimiza majukumu yake.

Nimeshamfungulia kabiashara ili na yeye awe na cha kufanya,hatumii hata mia bila kupata kibali.

Aisee hata ndoa zote ulimwenguni zivunjwe ili tuoane upya nitaenda kumchumbia upya mke wangu.
Pamoja na changamoto zote za ndoa bado ndoa zenye amani na upendo zipo kabisa.
Hongereni sana. Mdumu hivyo hivyo

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke anahitaji mwanaume mbabe, mshenzi asiye na huruma

Ukijifanya Mr.love umekwenda na maji.

Usiwajali watoto kuliko kujijali wewe MWENYEWE. Hawatakusaidia lolote.

Jifunze kuwa Mwanaume ndipo uoe.

Usiendeshwe na maneno ya Mwanamke.

Akikuzingua mara moja tambaa naye mara elfu mpaka Ajue amekosea njia.

Timua
Usipotimua utatimuliwa.

Mtu ni mwanaume bado mwanamke akusumbue huo ni upumbavu
Nakazia hapa.
 
Yaani nasema umemfuma mkeo anagegedwa ...unamla tigo jamaa alafu wewe unamchukuwa mkeo na kurudi nae nyumbani?
Mke anakuwa kakimbia, jamaa atashughulikiwa na wahuni kama watatu hivi chini ya usimazi wa Mume wa huyo Mke[emoji28]
 
Mwanamke anahitaji mwanaume mbabe, mshenzi asiye na huruma

Ukijifanya Mr.love umekwenda na maji.

Usiwajali watoto kuliko kujijali wewe MWENYEWE. Hawatakusaidia lolote.

Jifunze kuwa Mwanaume ndipo uoe.

Usiendeshwe na maneno ya Mwanamke.

Akikuzingua mara moja tambaa naye mara elfu mpaka Ajue amekosea njia.

Timua
Usipotimua utatimuliwa.

Mtu ni mwanaume bado mwanamke akusumbue huo ni upumbavu
Nimecheka ila kuna ukweli
 
Jidanganye. Tena hawa wanaojifanya wacha Mungu sijui walokole wengine ni hatari zaidi kuliko hata wauza baa.

Kuoa ni kamari ngumu sana kuicheza na kuna variables nyingi mno. Wewe omba tu upate mtakayevumiliana mapungufu yenu; na ambaye angalau atakuheshimu japo kidogo...na mengine waachie walimwengu!
[emoji848][emoji134][emoji144]
 
Usiwatishe bhana,oa mwanamke unaye mmudu hasa kwenye body,ili hata akianzisha mtiti mara moja moja unamuonyesha kuwa wewe ni mwanaume,kama hakuna fimbo charaza hata kwa mkanda wa suruali,akishajua kuwa humo ndani anaishi na mwanume basi atatulia, wakati mwingine watoto wa mjini unakuwa hata na vyuma vya kunyanyua, unapiga chuma angalau mara tatu kwa juma ili awe na ka uwoga flani na wewe,lakini unaenda kuoa mke amepanda, huna zoezi hata kidogo, siku upepo ukibadilika wewe ndio unaikimbia nyumba...
 
Niliwahi shitakiwa na mtalaka wangu kituo fulani cha polisi jijini Dar,nikaletewa barua ya wito.siku nakwenda kusikiliza nilichoitiwa nilipokelewa kwa maneno ya kejeli na askari wa kike waliokuwa pale kituoni.baada ya mahojiano na kuelezwa yale aliyokwenda kushtaki mtalaka,nikawajibu tu simple kuwa nina ushahidi wa kutosha juu ya vitendo alivyofanya hadi akaamua kuondoka mwenyewe nyumbani
1, kupewa ujauzito na Hawara yake kisha mm nilee mtoto nikijua ni wangu kumbe nimepachikwa.
2,kunitoa roho kwani kwake sikuwa na thamani tena hivyo alitaka kubadili mme.
3,kumuwekea mtoto wangu sumu ili afe kuondoa tofauti utakapojitokeza kati yake na mtoto wa mchepuko.
Baada ya kuweka ushahidi wa audio na kusikilizwa,wale ma wp waliondoka bila kuaga,aliyesalia(inspector) alinipa pole na kunisifu kwa uvumilivu nilionao na kumwambia mtalaka jamaa kwa ushahidi alionao akienda mahakamani hutoboi.sasa hivi hata kutongoza mwanamke naogopa.
Duh hawa viumbe ni balaa sana.....huyo kiboko mpaka kakuletea mimba ndani?
 
Wanaoa sana,huku mitaani kila siku ndoa
Ndoa za siku hizi mara nyingi wanaooa ni wanawake......yaani ni wale wenye uwezo wa kujinunulia pete , kujitolea mahari , kugharimia sherehe nk nk ili na wao waonyeshe wameolewa....lakini hakuna mwanaume mwenye pesa zake akazipoteza kwa kuoa hasa hao wanawake muchknows wakati anajua anaenda kuzimu.....labda aoe very ordinary woman ambaye hantomsumbua
 
Back
Top Bottom