Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Pamoja Buda nikifika mbeya nitakucheck....
 
Usikataz wanaume kuoa mzee sabab hizo za mkeo kunyandulia kawaida tu tena mda mwingine hata na ndugu zako. Oeni mambo mengine mtayakuta tu tena yanasovika na maisha mengine yanaendlea tu
OENI
 
Hata ukikaa nae hapo usiku na mchana utagongewa tu. They are not loyal hawa viumbe.
 
Kwa hili mimi sikusilizi wala nini, na ninaoa tareh ujao. [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…