Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Kwani wewe nawe ni zao la singo maza?
 
Mkeo akiliwa usipanic!! [emoji1]
 
Ndoa ni "suicide mission" kama hujajipanga kifkra na kifedha. Usikurupuke
 
Endelea kubaki hivyo hivyo, ndoa ndio paradiso ya hapa duniani sasa endelea kupinga neno la Mungu. Inaonekana hujui kusoma Biblia
 

Restless Hustler
Amaniwood

Soma hii...

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…