Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Umewahi kuoa?Kama bado,u mbali sana kuwa mnasihi wa kuoa au kutokuoa.Hujui chochote.Unaishi kwa kuchunguliachungulia.Ingia ndani tuone unavyocheza/unavyochenkura!Yafaa nini basi kipofu kumuongoza kipofu mwenzie katika njia?Hakika wataishia kula mweleka mitaroni.Amini,amini nami nakuambia,ndoa ni tamu pamoja na mawaa yake.Come,karibu boss!
 
We bhn usimtese mwenzako hakuna utamu wwt ktk ndoa Ni kuvumiliana tuu
 
Ukikuzwa ili uwe mwanaume huwez ona ndoa ina chamgamoto ila ukikuzwa kama mvulana utaona makwazo mengi sana.

Mbona huongei wale waliokua maskini na walipooa wakapata changamoto zikawafanya wapambane leo wametoka kimaisha.

Mbona huongelei wale walio tulia kwenye ndoa zao kwa misingi ya kutafuta amani furaha na maendeleo.

Ukiona mtu anateseka ndani ya ndoa basi hawakuunganishwa na upendo tamaa zilichukua nafasi kubwa.

Alaf kama mwanaume unatakiwa ujielewe sana nimeshangaa ww ku screenshot txt unazosema hazikuhusu kwani bila screenshot huwez kuwa na msimamo wako.

Kijana jitahidi usije ukaangukia pua maana wanaosema sioi malaya ndo mnaangukiaga kwa makahaba kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…