Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
- Thread starter
- #961
Dear Husband,
Ni miaka Sasa hujawahi hata kunifinya nikosea unanionya kwa sauti ya msisitizo,
siku zinasonga ninazidi kuwa kijana, mapenzi nayafurahia,
nakupenda mpenzi wangu😘
Usiombe ukutane na mwanamke mwenye mdomo.
Utaikimbia nyumba uliyojenga mwenyewe kwa pesa zako.
#YNWA