Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)


Nurain
Me I and my self
Moisemusajiografii
wined
92 jerrie

Tuanzie kwenye huu mfano wa mke unamuoa kumbe unagongewa.

Yaani umegongewa uchumba halafu unaenda kugongewa ndoani.

Nyie kuhusu ushoga "Msijali Mimi ni lijari na Nina watoto wawili wazuri kabisaa"

#YNWA
 
Me nakanusha hoja yako ya kuhusianisha urijali na kuzaa.
Pole kwa kutombewa Mkuu maana mawimbi ya kupigwa tukio ndo haya tunayaona 🥴

Kuoa hakuthibitishi urijali broo..

Mashoga wapo kila Kona, kanisani, msikitini, mtaani, makazini wapo.

Sasa unaposema "Usipooa unakuwa shoga hapo ndio nashangaa"

#YNWA
 
Fanya uoe kijana ukifika 40 na bado upo hapo manispaa ,utakuwa maendeleo hauna na msaidizi hauna..

Fanya uoe hao wanao watakuja kuwa na tabia za ovyo mpaka ushangae.

Kwani mtu mwenye Maendeleo JF unamjuaje?

Sisi kwetu hatukulelewa na wazazi,
Sisi tulilelewa na single parent MBONA HIZO TABIA HATUNA?

#YNWA
 
Kwani mtu mwenye Maendeleo JF unamjuaje?

Sisi kwetu hatukulelewa na wazazi,
Sisi tulilelewa na single parent MBONA HIZO TABIA HATUNA?

#YNWA
Sio zame izo mkuu, tafuta upendo na familia bora kwa wanao uhuni mwingine ni utoto bado akili Ina matope ..Ngoja ugonge hata 40 utakuja hapa kutafuta mke ukiwa na watoto wanne kila mmoja na mama ake.
 
Sio zame izo mkuu, tafuta upendo na familia bora kwa wanao uhuni mwingine ni utoto bado akili Ina matope ..Ngoja ugonge hata 40 utakuja hapa kutafuta mke ukiwa na watoto wanne kila mmoja na mama ake.

Ninao wawili kila mmoja na mama ake.
Wamefunga Shule na next week wanakuja kula likizo kwa dingi yao Mr. Liverpool

#YNWA
 
Kujiendkeza tu na imani tunazojijengea..... mbona mababu na mabibi waliish miaka na miaka ndoani??? niliwahi soma nutrition (somo) ndan yake kuna mada ya courtship before marriage na faida zake ili kua na ndoa ya kudumu, watu huvamiana ndomana huachana haraka kwasab hawajuan vizur kitabia, favourites, maumbile etc.
 
Ndani ya nafsi yako unakitamani sana hiki kitu ndomaana huachi kukiongelea, una mgogoro wa nafsi
Exactly angekuwa hataman ndoa angesha move on, yaan ana conflict na nafsi yake na akili yake vinashindana kimoja kinataka ndoa kingine hakitaki tatizo ni nguvu za asili na ndoa ni kitu cha asili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…