Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Kwa hiyo hapo unachotafuta ni consolation, ya kazi gani?Mm FlyingDutchman nikiwa mojaa ya magreat thinkers wachache tunaopatika JF smhn kama ntamuuz MTU yyte Kwa kujitanabaisha napenda Kuwambia vijaa that's say it's a scam
Vijana wachache, wavivu ndo wanaojaribu kupotosha majority
Kijana tafuta pesa ukipata settle, oa kijana tengeneza familie hao ndo nduguzo
" Fainali uzeeni when solitude hit you it's when you will realise that only the empire you built will offer you consolation"
Good evening Africa ni hayo TU.
Katika wanaume waliooa ni wangapi uzeeni wamepatiwa hiyo consolation kama sio mitoto kuungana na mama yao kukukomoa au mama yao kukupoteza kabisa?