Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Kwa hiyo hapo unachotafuta ni consolation, ya kazi gani?

Katika wanaume waliooa ni wangapi uzeeni wamepatiwa hiyo consolation kama sio mitoto kuungana na mama yao kukukomoa au mama yao kukupoteza kabisa?
 
Wakuu Kuna maswaibu ya Khali ya juu sana nmeyaona in hospitals naomba niwape ushuhuda kidogo, nmekaa nikafikilia sana walau tupeana maarifa kidogo juu ya hili

Kuna mkoa mmoja hivi karibuni nilienda actually we paid a very small rent for a whole house, smthng like $110bucks per month (250k)

Pale ndani alikua anaish mtu mzma kidogo, smthng like alikua amepewa hifadhi ,Hana mke wala watoto wala close friends

Kwa Bahati mbaya sana aliumwa, aliumwa sana na akawa hana msaidiz , aliumwa namanisha kuumwa hasa.

Wachache tulijaliwa mioyo tulimuuguza lkn nlkua na swali moja kichwani ndugu wako wap, kwann wasimsaidie especially ktk heart breaking moment kama Ile , badae nilikuja kugundua hakuwa na mke na hata hakuweza kuijenga familie

Ndugu vijana tunaposema muoe tunamanisha mtengeneze familie, upendo hujengwa na familie uliyoianzisha mwenyewe, zaeni watt zikawe faraja kwenu
Ndoa huja na baraka nyingi

There are always a heart breaking moment in life ambazo all you will ever need is your wife and kids

We don't know what tomorrow might bring, but the right time is always now!

I won't refrain myself to say something positive that will build a good mindset amongst you!

Le grandmaster me
FlyingDutchman
 
Hueleweki hoja yako ni nini? Kama ni kuchikia ndoa basi umezaliwa nje ya ndoa. Bila ndoa, tusingekuwa na tofauti na wanyama.
 
As Captain Jack Sparrow said " Kama dada zako hawajaolewa isiwe sababu ya kulazimisha wanaume waoe,yaan usilazimishe waolewe"
Tumeshasema hatuoiii.. tumekataa kata kata.. kama ni kuteseka huko uzeeni sio mbaya maana hakuna tofauti na sasa"
Tupe deal za hela Mkuu.. acha Mbambamba
 
Dag Sawa mkuu
 
Huo ni uongo mimi bamkubwa amefariki hospital mwenyewe huku mke na watoto wakiwa wanavinjari mali zake walikuwa hawamuuguzi wala hata kumpeleka chakula alikufa hospital hata mtu wa kumpa wosia hamna alikuwa peke yake
Hio nadharia et ukiumwa au ukizeeka watoto na mke wako watakuguza ni ungo mkubwa sana na zipo stori za wazee kutelekezwa
 
death strokes pole sana.
But overall lengo la thread ni zuri tu limelenga kuwaonyesha watu upande wa pili Kama vile utakavyo Watu pia kuona upande wa pili.
Sorry for sorrowful & tragic loss of ur beloved uncle.
Kila lakheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…