Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

"I want to be thoroughly used up when I die. For
the harder I work, the more I live. I rejoice in life for
its own sake. Life is no brief candle to me. It’s a sort
of splendid torch which I’ve got to hold up for the
moment and I want to make it burn as brightly as
possible before handing it on to future generations".
Said
George Bernard
Shaw
 
Chief, ndoa ni baraka. Je unajua hiyo narrative ya kutokuoa imetoka wapi kabla ya kuanza kuipinga?
 
Unauona huo mfano ulioutolea, umeuchagua mfano ambao ukajenga mindset kuwa mke angekuepo basi angemsaidia. Je wajua unacheza kamari hasa kwajamii ya sasa. Hii hoja inafanana na kusema a woman is innocent until proven guilty, ambapo huplay opposite kwaupande wa mwanaume kuwa yeye ni guilty until proven innocent. Kwajamii ya sasa hakuna jinsia iliyomalaika kama kipindi cha huko nyuma. Hivyo never assume, maisha sio kamali.
 
Unajua kwasababu gani vijana bado ndoa wataiona ni scam na hata mimi pamoja na imani yangu na kuheshimu ndoa nitawasupport! Nikwasababu upande wa kike ndio uliianza kuikataa ndoa na kuwademinise wanaume ila hamkulivalia njuga wala kuwakanya mabinti zenu juu ya ulimwengu halisi baada ya nyumbani. Hoja hiyo ilikuwa na ikawa ndio inaitwa women empowerment, kwamba mwanamke kumkataa mwanaume na kuikimbia ndoa ndio kuwa a strong woman ukiongeza na independent.

Consequences ambazo hamkuzifikiria nikuwa, a man adopts and goes with the flow maana yeye ni survivor, basi naye akajenga narrative kuwa nami siitaji kuoa maana mwanamke alishaikana ndoa na kusema kuwa haitaji mwanaume, nahamkuipinga wala kuizuia.

Je, kwanini leo uje umzuie kijana wakiume asifanye ya kwake ilihali mlishindwa kuuzuia mapema kwaupande wa jinsia ya pili. Hivyo let men live upon their narrative, kama mlivyo mruhusu women. Otherwise achaneni kupigania gender equality bali mpiganie female superiority!
 
Together we are strong,
Only if we can push this agenda together, then we'll solve this problem.
 
life is one GIANT CASINO life is a Gamble, just learn how to play your cards right.
 
Together we are strong,
Only if we can push this agenda together, then we'll solve this problem.
Why now? The agenda was on for more than 20yrs. So why now? This is because it never affected women's opportunity to get married and later affecting the later generation. You cannot put a burden on a person who is not involved, you started it then finish it. Changes comes with consequences then face them, ila kuwatukana vijana wakiume na kuwashutumu vitu visivyona msingi, havitakusaidia kamwe.

Mwawaita insecure, mara mashoga mara wakwepaji majukumu, then you call upon the negative and survival mode of the man. Hivyo haupo tayari kusolve. Ukitaka kumaliza tatizo, basi vunja mizizi yake. Hivyo geukia upande wa pili kwa jinsia ya kike uvunje hio mizizi lasivyo hautaki kusolve bali kumtwisha mtu mwingine mizigo.
 
life is one GIANT CASINO life is a Gamble, just learn how to play your cards right.
We gamble with many things in life but we do not gamble with actual life itself. Marriage is never a gamble because it has already been said, never ever make mistakes with your life partner in legal marriage. In cards we bluff but never bluff with a person you procreate or sleep with everyday because not all people get the bluffs.
 
" have patience with everything that remains unsolved in your heart. Try to love the
Questions themselves, like locked rooms and like books written in a foreign language.
Do not now look for the answers. They cannot now be given to you because you could
not live them. It is a question of experiencing everything. At present, you need to live the
question. Perhaps you will gradually, without even noticing it, find yourself experiencing
the answer, some distant day. "
Quoted.
 
Ndoa ni kama kamari tuu, ukipata partner mzuri utaishi vizuri sana na ukipata wa ovyo basi maisha yako yatakuwa ya ovyo tuu na utajuta, na kupata watoto ukafikiri watakuja kukusaidia ni mawazo ya kipuuzi sana, zaa kama unataka na uwatunze vizuri lakini usitegemee watakuja kukusaidia, dunia hii kila mtu kaja kivyake ataondoka kivyake, kuoa au kutokuoa ni uamuzi wa mtu na mazingira yake, hakuna cha ajabu ukiamua chochote kati ya hivyo
 
Then that's living in a fantasy world as our sisters lived in a disney world thinking that they are princesses and a Prince Charming will always come to save her. It destroyed their mindset to the extent of not being able to complete a man in his life. No one can open the doors in your life except you, no one can answer your questions in your life except you, otherwise the time and age was an irrelevant factor in a humans life. Be fascinated by the world but never be deceived by it's illusions, everything in life requires effort and decisions but not relying on miracles. Patience is a complex word that is still limited by time. Plan wisely and carefully, time doesn't know patience only consequences their after.
 
I'll assume that You are a wise man
 
Perhaps you will gradually, without even noticing it, find yourself experiencing
the answer, some distant day

. Repeated.
 
Perhaps you will gradually, without even noticing it, find yourself experiencing
the answer, some distant day


. Repeated.
Then a man will be no more of a leader because he doesn't lead rather depends on a miracle to live. Thus the role of a leader should be placed on any gender not necessarily a man because a woman lives for tomorrow but a man lives for a future thus he must have a plan but not probabilities because his generation depends on him. Let miracles come but focus on your plan and goals, thus is what meant by a man or a leader.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…