FlyingDutchman
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 399
- 794
A leader is someone who has the ability to see far beyond others can't,Then a man will be no more of a leader because he doesn't lead rather depends on a miracle to live. Thus the role of a leader should be placed on any gender not necessarily a man because a woman lives for tomorrow but a man lives for a future thus he must have a plan but not probabilities because his generation depends on him. Let miracles come but focus on your plan and goals, thus is what meant by a man or a leader.
Calculations had already been made before the project in motion was made, i.e. for 20 yrs now. Thus your ciphering particularly involves the consequences of the project in hand. No excitement comes after misery, just mourning and suffering. Henceforth the marriage is a deadend institution that was destroyed by the project. To encompass it's excitement again, cut the roots of the running project and start a new one by facing the first affected population i.e. female gender before turning to the males because without healing no progress can be done except riots and war between the two genders.A leader is someone who has the ability to see far beyond others can't,
If you are one then I'll assume you've inculcate my ciphering,
Fizzog or mizzog of little life excitement start with marriage.
Kweli mkuu hakuna mapenzi ya kudumu bali maslahi ya kudumu huduma zikikata mapenzi yanakufawanajipa moyo sana hao, hawajui iyo KE ipo hapo sababu ya resources zako tu,
she won't give a rat's ass about you
Mkuu mbona makasiriko 🤣Great thinker hujui hata kuandika.
Barikiwa sana mkuu🙏Tatizo la vijana wanafikiri ndoa is about mbususu na mnyanduano ndio maana wanahangaika, na Ili uelewe maana ya ndoa umri usogee ndio utaelewa, akina mrema sio kwamba walioa dogo dogo for mnyanduano nooo, endeleeni kusema kataa ndoa ngoja umri usogee usogee utaelewa
Chief, umekuja moja kwa moja kumtupia lawama kijana wa kiume kuwa anawaza sex tu katika ndoa. Je ulishawahi kuwauliza wanawake wanawaza nini ndani ya ndoa? Kwake, yeye ndoa ni ajira maana huwaza kufanikiwa yeye kama yeye ndani ya ndoa, je hawa watu wawili hawajakosea katika tafsiri ya ndoa. Mbaya zaisi jamii inasupport akifanyacho mwanamke na hakuna amkanyaye wala kumtishia consequences zake tena ikaongezwa na agenda ya kumkandamiza mwanaume ambayo husimamiwa na dunia nzima i.e UN ambayo imeharibu taswira nzima ya ndoa. Kwanini leo wamgeukia kijana wa kiume huku aliyeyataka haya ni mwanamke mwenyewe. Let me tell you, mwanaume uwe na familia au laa, you will always die alone hata kama watoto wapo, kujaliwa ni bahati is not a necessity. Mama ni mama na zaidi ya yote a society will never look the same way kama wamuangaliavyo mwanamke hivyo kamwe usijenge hiyo mindset ya kujaliwa kama mwanamke bali jipange for better or worse.Tatizo la vijana wanafikiri ndoa is about mbususu na mnyanduano ndio maana wanahangaika, na Ili uelewe maana ya ndoa umri usogee ndio utaelewa, akina mrema sio kwamba walioa dogo dogo for mnyanduano nooo, endeleeni kusema kataa ndoa ngoja umri usogee usogee utaelewa
Umemaliza kila kitu...ukipata pesa..oa.Mm FlyingDutchman nikiwa mojaa ya magreat thinkers wachache tunaopatikana JF smhn kama ntamuuz MTU yyte Kwa kujitanabaisha napenda Kuwambia vijaa that say it's a scam
Vijana wachache, wavivu ndo wanaojaribu kupotosha majority
Kijana tafuta pesa ukipata settle, oa kijana tengeneza familie hao ndo nduguzo
" Fainali uzeeni when solitude hit you ,it's when you will realise that only the empire you built will offer you consolation"
Good evening Africa ni hayo TU.
But your children will give a rat's ass about you depending on how well you raised them.wanajipa moyo sana hao, hawajui iyo KE ipo hapo sababu ya resources zako tu,
she won't give a rat's ass about you
Pesa zikiisha muache mkeo au subiri akuache yeyeUmemaliza kila kitu...ukipata pesa..oa.
simon says you can have kids anytime, needless to wed no cuntBut your children will give a rat's ass about you depending on how well you raised them.
Labda nianze na sentensi ulizomalizia chini kwamba you will die alone, yes kwenye suala la death hakuna wanaokufa wawili every one dies alone, ukiwa na mind set kwamba mwanamke kuingia kwenye ndoa ni sehemu ya ajira basi mwajiri anafaidi zaidi kuliko mwajiriwa, Kwa sababu mwanamke anakuja kwako mtapata watoto ambao wataitwa kwa jina lako na maamuzi juu ya watoto unakuwa juu yako na huyo mwanamke pia anakuwa mikononi mwako maisha yake yote(ndoa za kikristo) ndio maana ukimfumania mkeo wengine wanaenda mbali kumdhuru yule mgoni, Sasa sijui ni ajira ya namna gani ambayo mwanamke anaingia?Chief, umekuja moja kwa moja kumtupia lawama kijana wa kiume kuwa anawaza sex tu katika ndoa. Je ulishawahi kuwauliza wanawake wanawaza nini ndani ya ndoa? Kwake, yeye ndoa ni ajira maana huwaza kufanikiwa yeye kama yeye ndani ya ndoa, je hawa watu wawili hawajakosea katika tafsiri ya ndoa. Mbaya zaisi jamii inasupport akifanyacho mwanamke na hakuna amkanyaye wala kumtishia consequences zake tena ikaongezwa na agenda ya kumkandamiza mwanaume ambayo husimamiwa na dunia nzima i.e UN ambayo imeharibu taswira nzima ya ndoa. Kwanini leo wamgeukia kijana wa kiume huku aliyeyataka haya ni mwanamke mwenyewe. Let me tell you, mwanaume uwe na familia au laa, you will always die alone hata kama watoto wapo, kujaliwa ni bahati is not a necessity. Mama ni mama na zaidi ya yote a society will never look the same way kama wamuangaliavyo mwanamke hivyo kamwe usijenge hiyo mindset ya kujaliwa kama mwanamke bali jipange for better or worse.
Labda tu hujamuelewa huyo ndugu hapo.......Labda nianze na sentensi ulizomalizia chini kwamba you will die alone, yes kwenye suala la death hakuna wanaokufa wawili every one dies alone, ukiwa na mind set kwamba mwanamke kuingia kwenye ndoa ni sehemu ya ajira basi mwajiri anafaidi zaidi kuliko mwajiriwa, Kwa sababu mwanamke anakuja kwako mtapata watoto ambao wataitwa kwa jina lako na maamuzi juu ya watoto unakuwa juu yako na huyo mwanamke pia anakuwa mikononi mwako maisha yake yote(ndoa za kikristo) ndio maana ukimfumania mkeo wengine wanaenda mbali kumdhuru yule mgoni, Sasa sijui ni ajira ya namna gani ambayo mwanamke anaingia?
Ndoa imekuwa ni ajira kwasababu mwanaume kama mwajiri anabidi awe na uwezo wa kupanga mshahara wa mwajiriwa wake tangu anaanza mahusiano mpaka mwisho wa maisha yake. Asipoweza kukidhi hivyo vigezo basi huyo mwanaume si mme anayefaa maana hanauwezo huo. Pia watoto na mke uwapatao baada ya ndoa simali yako kamwe maana hamna sheria isemayo hivyo, unaajiri ila unaowaajiri simali yako bali ni watu kamili. Hivyo mkataba uliowekwa nifeki au haupo sahihi ndio maana ndoa ikawa inaonekana simkataba sahihi. Pia kuua na kumpiga au kumfukuza mkewe sihaki yako nanimakosa maana hao simali yako nao pia ni binadamu. Kijana. Majina wapewayo watoto kwajina lako silazima bali nitamaduni na mila ila mpaka sasa tayari mpaganyiko ushatokea humo pia maana majina kwenye vyeti vya kuzaliwa vimekuwa tatizo kubwa Rita. Hii hutokea sana kipindi cha kufungua bima. Niajira kwa mwanamke pia faida uzipatazo kwake silazima azitoe maana kuzaa ni choice yake na kuwa mikononi mwako nimpaka atake sio lazima na hii imeshuhudiwa mara nyingi sana katika divorce rate za sasa zinazohusisha wanawake wasomi. Hivyo ni ajira, ambayo faida yake kwa mwanaume ni probability bali kwamke ni lazima maana being the provider in the family kwa mwanaume ni must otherwise ndoa huiwezi. Ndio maana mwajiri anashauriwa sana kujipanga kabla ya kuoa ili aweze kutoa mshahara kwa mwajiriwa ila mwanamke anaweza olewa miaka yeyote akishabalehe provided mwajiri anaweza kuupangilia huo mshahara.Labda nianze na sentensi ulizomalizia chini kwamba you will die alone, yes kwenye suala la death hakuna wanaokufa wawili every one dies alone, ukiwa na mind set kwamba mwanamke kuingia kwenye ndoa ni sehemu ya ajira basi mwajiri anafaidi zaidi kuliko mwajiriwa, Kwa sababu mwanamke anakuja kwako mtapata watoto ambao wataitwa kwa jina lako na maamuzi juu ya watoto unakuwa juu yako na huyo mwanamke pia anakuwa mikononi mwako maisha yake yote(ndoa za kikristo) ndio maana ukimfumania mkeo wengine wanaenda mbali kumdhuru yule mgoni, Sasa sijui ni ajira ya namna gani ambayo mwanamke anaingia?
Aisee mbali na changamoto lukuki ambazo zinaikumba hii taasisi, Bado ni taasisi ya muhimu sana, ndio maana tunasema baba jitahidi kutengeneza Bondi na watoto wako huwezi kuwa mpweke uzeeni, wanaume wengi wanaachana na WA awake na kuwaachia watoto, na mwanamke alivyomjanja anamtengeneza mtoto kuwa wake zaidi, ndio maana unaona nyimbo za nani kama mama ni nyingi kwasababu wanaume jukumu la kulea wamemuachia mama, unajua hata biashara zinachangamoto na ukiona mtu anaangalia changamoto zaidi ndio ameziweka kipaumbele kwenywe biashara, kilimo na kazi zingine Kuna majina tutamuita mvivu au muoga ndivyo ilivyoLabda tu hujamuelewa huyo ndugu hapo.......
Kwa hali na Dunia ya sasa hata ndoa pia haikuhakikishii kukuondolea upweke wa kudumu kwani wapo watu walioishi kwa amani maisha ya ndoa lakini baada ya uzee wakatengana au kuishi Kwa manyanyaso na wake zao.....hali zinazopelekea kufa mapema.......
Bado ni taasisi nzuri lakini matendo na mienendo ya ulimwengu wa sasa unatoa vigugumizi kwa watu kuingia ndoani.........
Ndoa zimegubikwa na changamoto ambazo zinawafanya vijana wawaze mara mbili mbili kuingia kwenye ndoa..........
Takwimu zinatanabaisha kwamba watu walio kwenye ndoa wanaishia kwenye upweke mkubwa hali ya kuwa wanaonekana wapo wawili......
Ndoa ni kama kucheza kamari.......
Most of them all ninaweza kupa another definition ya ndoa kwajamii ya sasa. Kwamba it's a contingency plan for ladies who are educated after efforts for employment au biashara imefail. Definition ya ndoa imebadilika sana, na kamwe huwezi kuihuisha kwa kumtukana au kumforce kijana kama upande wa pili haujauelewesha na kuibadilisha mtizamo katika hili swala. Marriage is never forced!Labda nianze na sentensi ulizomalizia chini kwamba you will die alone, yes kwenye suala la death hakuna wanaokufa wawili every one dies alone, ukiwa na mind set kwamba mwanamke kuingia kwenye ndoa ni sehemu ya ajira basi mwajiri anafaidi zaidi kuliko mwajiriwa, Kwa sababu mwanamke anakuja kwako mtapata watoto ambao wataitwa kwa jina lako na maamuzi juu ya watoto unakuwa juu yako na huyo mwanamke pia anakuwa mikononi mwako maisha yake yote(ndoa za kikristo) ndio maana ukimfumania mkeo wengine wanaenda mbali kumdhuru yule mgoni, Sasa sijui ni ajira ya namna gani ambayo mwanamke anaingia?