Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mtoto hawezi kuwa Mali ndugu yangu ila nakuwa mtoto wako, sijui Sheria gani unayoizungumzia, ninachojua kisheria mtoto akiwa na umri chini ya miaka nane anatakiwa kukaa na mama yake lakini miaka nane na kuendelea baba anaweza mchukua mwanae,Ukisema eti mwanamke anapoolewa ni ajira unakosea sana tena sana, mwanaume tangu kuumbwa kwa misingi ya dunia yeye ni provider, hata kama haujaoa bado utakuta hela zako anakula mwanamke huyo huyo hiyo ni nature mkuu, ulitaka na wewe upewe hela au uhudumiwe???.. ndoa sio ajira Kwa mwanamke
 
Unajua kwanini unazidi kujiaibisha, kwasababu umefocus upande wa mwanaume tu. Hujatake time kufocus upande wa mwanamke pia. You are bargaining for a man to provide thoroughly while ignoring the changes which women made on their responsibilities in the marriage. Wamebadilisha na kuzikataa majukumu yao mengi na kila leo wanazidi kuyakataa mengine ila still you focus on eliminating the consequences while the root of the threat umeiacha. Nakushauri, ukitaka vijana waache kuwaza ndoa ni scam, geukia upande wa pili rekebisha wanawake ndiyo uone flow itakavyoenda bila hata shida. Men adopt to the changes but you cannot plant a daisy flower and expect roses. Ndio maana nakwambia it's a null and corrupted contract for a man. Remember, women made changes first na hamkuwacorrect hivyo don't do damage control, futa kila kitu uanze upya.
 
Pesa zangu kuliwa na mwanamke kabla sijaoa ni uzembe wangu ila kamwe sio lazima ziliwe nao. Providing in the family is very different from spending money for good time when single. Use common sense brother!
 
How the fvck do you know all this?
 

Amen BAHARIA.

#YNWA
 
Kwa binadamu kila akila chakula kinashuka chini ya miguu
 
Nioe halafu itokee nini?
Kilicho kikuu ni kwamba TAFUTA PESA.

Umuoni Dangote na kina Bill gates, na wengine.

Hawajaoa wengine wameziacha ndoa.

Unadhani wanakosa chochote?

#YNWA
Mtajie wengi kama hawa,,Arap Moi,,,Mkapa,,Elon Musk,,Zuberg
 
Afu watu ambao hawajui ni kua ,,wanavyosema mti wa mema na mabaya maana yake ni kua Eva alivyokua bikra ndio alikua mwema ,ila alivyoliwa na shetani ndio ubaya ukaanzia hapo,,ndio maana ya mema na mabaya....
 
Hamjui kiswahili nyie, sio wote wanajua English humu
 
Usicheze na nguvu ya asili ya mwili ukadhani utaicontrol nature never
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…