Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Ndoa imekuwa ni ajira kwasababu mwanaume kama mwajiri anabidi awe na uwezo wa kupanga mshahara wa mwajiriwa wake tangu anaanza mahusiano mpaka mwisho wa maisha yake. Asipoweza kukidhi hivyo vigezo basi huyo mwanaume si mme anayefaa maana hanauwezo huo. Pia watoto na mke uwapatao baada ya ndoa simali yako kamwe maana hamna sheria isemayo hivyo, unaajiri ila unaowaajiri simali yako bali ni watu kamili. Hivyo mkataba uliowekwa nifeki au haupo sahihi ndio maana ndoa ikawa inaonekana simkataba sahihi. Pia kuua na kumpiga au kumfukuza mkewe sihaki yako nanimakosa maana hao simali yako nao pia ni binadamu. Kijana. Majina wapewayo watoto kwajina lako silazima bali nitamaduni na mila ila mpaka sasa tayari mpaganyiko ushatokea humo pia maana majina kwenye vyeti vya kuzaliwa vimekuwa tatizo kubwa Rita. Hii hutokea sana kipindi cha kufungua bima. Niajira kwa mwanamke pia faida uzipatazo kwake silazima azitoe maana kuzaa ni choice yake na kuwa mikononi mwako nimpaka atake sio lazima na hii imeshuhudiwa mara nyingi sana katika divorce rate za sasa zinazohusisha wanawake wasomi. Hivyo ni ajira, ambayo faida yake kwa mwanaume ni probability bali kwamke ni lazima maana being the provider in the family kwa mwanaume ni must otherwise ndoa huiwezi. Ndio maana mwajiri anashauriwa sana kujipanga kabla ya kuoa ili aweze kutoa mshahara kwa mwajiriwa ila mwanamke anaweza olewa miaka yeyote akishabalehe provided mwajiri anaweza kuupangilia huo mshahara.
Mtoto hawezi kuwa Mali ndugu yangu ila nakuwa mtoto wako, sijui Sheria gani unayoizungumzia, ninachojua kisheria mtoto akiwa na umri chini ya miaka nane anatakiwa kukaa na mama yake lakini miaka nane na kuendelea baba anaweza mchukua mwanae,Ukisema eti mwanamke anapoolewa ni ajira unakosea sana tena sana, mwanaume tangu kuumbwa kwa misingi ya dunia yeye ni provider, hata kama haujaoa bado utakuta hela zako anakula mwanamke huyo huyo hiyo ni nature mkuu, ulitaka na wewe upewe hela au uhudumiwe???.. ndoa sio ajira Kwa mwanamke
 
Unajua kwanini unazidi kujiaibisha, kwasababu umefocus upande wa mwanaume tu. Hujatake time kufocus upande wa mwanamke pia. You are bargaining for a man to provide thoroughly while ignoring the changes which women made on their responsibilities in the marriage. Wamebadilisha na kuzikataa majukumu yao mengi na kila leo wanazidi kuyakataa mengine ila still you focus on eliminating the consequences while the root of the threat umeiacha. Nakushauri, ukitaka vijana waache kuwaza ndoa ni scam, geukia upande wa pili rekebisha wanawake ndiyo uone flow itakavyoenda bila hata shida. Men adopt to the changes but you cannot plant a daisy flower and expect roses. Ndio maana nakwambia it's a null and corrupted contract for a man. Remember, women made changes first na hamkuwacorrect hivyo don't do damage control, futa kila kitu uanze upya.
 
Mtoto hawezi kuwa Mali ndugu yangu ila nakuwa mtoto wako, sijui Sheria gani unayoizungumzia, ninachojua kisheria mtoto akiwa na umri chini ya miaka nane anatakiwa kukaa na mama yake lakini miaka nane na kuendelea baba anaweza mchukua mwanae,Ukisema eti mwanamke anapoolewa ni ajira unakosea sana tena sana, mwanaume tangu kuumbwa kwa misingi ya dunia yeye ni provider, hata kama haujaoa bado utakuta hela zako anakula mwanamke huyo huyo hiyo ni nature mkuu, ulitaka na wewe upewe hela au uhudumiwe???.. ndoa sio ajira Kwa mwanamke
Pesa zangu kuliwa na mwanamke kabla sijaoa ni uzembe wangu ila kamwe sio lazima ziliwe nao. Providing in the family is very different from spending money for good time when single. Use common sense brother!
 
Wajumbeeee salama?

Ni yuleyule Mfichua maovu ili awanusuru vijana na hili JANGA la Ndoa.

Si mlishaambiwa ndoa NDOANO na MSIOE? Ila mmekuwa WABISHI..

Kwa ukweli halisi bila kuongeza Wala Kupunguza naomba kuongea na wewe ambaye .

1. Mkeo ni askari magereza anasoma chuo Iringa na wewe ni mwalimu Songea. Mkeo umempa ruhusa ya kusoma, akaishi off campus. Sasa huko ghetoni kwake kuna baharia anajilalia kama yeye ndio katoa mahari.

2. Mkeo ni mwalimu ndani ya moja ya wilaya mkoa wa Songwe, mkeo ni mweupe na anashape fulani amaizing. Basi Kuna kijana ni mtendaji wa kijiji kimoja yupo ndani ya kata hiyo hiyo anayofundisha mkeo. Baharia anasugua mbususu ya mkeo kama kaoa yeye.

3. Mkeo anafanyia kazi moja ya chuo Iringa, na wewe upo kazini Sumbawanga. Basi huko Iringa huko raia wanampindukia balaa na mkeo.

4. Mkeo ni askari magereza (rafiki wa 01) ambae anasoma chuo kimoja na 01. Na wewe mwanaume ni mwanajeshi JWTZ huko Morogoro. Yaaani baharia pamoja na kuwa una vaa magwanda yanayo ogopesha ila raia wanachomfanya mkeo huko Iringa, Dah ni machungu sanaa.

5. Mkeo anafanya Kazi private company ya kilimo huko Mngeta (Morogoro >> Ifakara ndani ndani hukoo) na wewe unaishi Morogoro mjini. Basi bana Kuna mabosi wa kampuni wanajilia kama wao ndio wamemuoa.

6. Mkeo ni mwalimu huko Iringa, Kilolo ndani ndani huko na wewe upo sijui wapi. Aisee mabaharia wanaruka nae hasaa. Na mkeo ana bahasha wake mtu mzima hasa.

Mkeo anasemaga "Yule Mzee nimpeleke wapi mi nataka pesa zake tu". Basi bana mkeo hua anasafiri kutoka Iringa mpaka Dodoma ili akakutane na huyo babu. Mkeo anatoa utamu, babu anatoa pesa.

7. Mkeo ni Nesi ndani ya Songwe na wewe ni mwalimu Tabora. Bana eeh Nesi bana anatibu mpaka visivyotibika huko.

7. Mkeo ni mwalimu ajira mpya za juzi ndani mkoa uliokaribu na mkoa wa Mbeya. Sasa bana mkeo kaolewa huko, Kuna baharia alimpokea na kamfanya mkewe.

8. Mkeo ni HR, mweusi na ana chura fulani hivi amaizing. Wewe ni muuza magodoro huko mjini ya wilaya aliyopo mkeo kama HR wa halmashauri. Bana eeh huko kazini mabaharia nao Wana mHR chumbani.

9. Mkeo ni mfanyakazi bandarini Tanga na wewe upo Dar. Aisee wasambaa wanaenda nae sawaa hasaaa.

10. Mkeo ana duka kubwaa Iringa mjini na wewe unaishi mafinga unafanya Kazi kampuni ya simu. Bana bana mabaharia huwa wanachangia sanaa mtaji pale.

11. Mkeo ni mama mchungaji. Ni mweupe na mzuri hasaa. Anasoma uchungaji moja ya chuo hapa nchini. Aisee Kuna raia ni mwanafunzi mmoja wapo hapo Chuoni huwa wanakemea sanaa nae mapepo chumbani.

12. Mkeo ni engineer na kapata ajira juzi tu. Aisee mkuu wa Idara ya ujenzi (Engineer mwenzake) kamuoa kabisaaa.

13. Mmmmh ni wengine aiseee ni wengi sanaaaa. Nimetembea sanaa na nimejionea mengii wafanyayo wake zenu walio mbali na upeo wa macho yenu. Hawa ndio niliokutana nao kwenye kuzurula kwangu na wengine nimewasahau.

Nachotaka kusema ni kwamba ""Wewe unayeishi mbali na mkeo, aiseee mabaharia A.K.A wakurungwa wanaruka nae hasaa""

Mabaharia hawana hurumaa kabisa na zile laki kadhaa wengine mpaka milioni huko mlizotoa za mahari.

Wao wanaruka nae bureee.

Note:-
1. Ukiamua kuoa hebu kaa na mkeo ndani ya paa moja.

2. Kama wote ni wafanyakazi basi lazima mmoja akubali kuacha Kazi ili kulea hiyo ndoa. Vinginevyo mwanaume mwenzangu utasaidiwa sanaaa.

Na ushauri uliomkuu ni kwamba...

ACHA KUOA KABISA, MTAKUFA KWA MAWAZO NA MATESO YA NAFSI.

Nikutonye kitu: Nimekua na safiri sanaa kununua mpunga mikoa ya Moro, Mbeya na Songwe. Sasa ipo siku nitawaletea NYUZI ya wake zenu wanayoyafanya tunapokua nao tukinunua mpunga.

Aisee wanachofanya na huku mmewaoa tena kwa ndoa halali dah sina la kusema zaidi ya ""Mungu saidia ndoa za hawa mabaharia wenzangu""

Halafu msisahau kutafuta hela; Yes money can't buy everything, ila HAKIKISHA una pesa nyingi kabla hujaropoka huu ujinga..!!!!

#YNWA
How the fvck do you know all this?
 
As Captain Jack Sparrow said " Kama dada zako hawajaolewa isiwe sababu ya kulazimisha wanaume waoe,yaan usilazimishe waolewe"
Tumeshasema hatuoiii.. tumekataa kata kata.. kama ni kuteseka huko uzeeni sio mbaya maana hakuna tofauti na sasa"
Tupe deal za hela Mkuu.. acha Mbambamba

Amen BAHARIA.

Kwa binadamu kila akila chakula kinashuka chini ya miguu
 
Nioe halafu itokee nini?
Kilicho kikuu ni kwamba TAFUTA PESA.

Umuoni Dangote na kina Bill gates, na wengine.

Hawajaoa wengine wameziacha ndoa.

Unadhani wanakosa chochote?

#YNWA
Mtajie wengi kama hawa,,Arap Moi,,,Mkapa,,Elon Musk,,Zuberg
 
Tangu lini kiumbe mwanamke akachungwa?

Adam alikuwa hana kazi za mikoani wala hakuwa akiishi mbali na mkewe ila nyoka aliweza kumchoropoa pembeni na akamshawishi wale tunda.... Kwa taarifa yako shetshet alikula tunda kwa mtongozo wa dakika chache pembeni ya mume wake [emoji16]
Afu watu ambao hawajui ni kua ,,wanavyosema mti wa mema na mabaya maana yake ni kua Eva alivyokua bikra ndio alikua mwema ,ila alivyoliwa na shetani ndio ubaya ukaanzia hapo,,ndio maana ya mema na mabaya....
 
We gamble with many things in life but we do not gamble with actual life itself. Marriage is never a gamble because it has already been said, never ever make mistakes with your life partner in legal marriage. In cards we bluff but never bluff with a person you procreate or sleep with everyday because not all people get the bluffs.
Hamjui kiswahili nyie, sio wote wanajua English humu
 
Wajumbeeee salama?

Ni yuleyule Mfichua maovu ili awanusuru vijana na hili JANGA la Ndoa.

Si mlishaambiwa ndoa NDOANO na MSIOE? Ila mmekuwa WABISHI..

Kwa ukweli halisi bila kuongeza Wala Kupunguza naomba kuongea na wewe ambaye .

1. Mkeo ni askari magereza anasoma chuo Iringa na wewe ni mwalimu Songea. Mkeo umempa ruhusa ya kusoma, akaishi off campus. Sasa huko ghetoni kwake kuna baharia anajilalia kama yeye ndio katoa mahari.

2. Mkeo ni mwalimu ndani ya moja ya wilaya mkoa wa Songwe, mkeo ni mweupe na anashape fulani amaizing. Basi Kuna kijana ni mtendaji wa kijiji kimoja yupo ndani ya kata hiyo hiyo anayofundisha mkeo. Baharia anasugua mbususu ya mkeo kama kaoa yeye.

3. Mkeo anafanyia kazi moja ya chuo Iringa, na wewe upo kazini Sumbawanga. Basi huko Iringa huko raia wanampindukia balaa na mkeo.

4. Mkeo ni askari magereza (rafiki wa 01) ambae anasoma chuo kimoja na 01. Na wewe mwanaume ni mwanajeshi JWTZ huko Morogoro. Yaaani baharia pamoja na kuwa una vaa magwanda yanayo ogopesha ila raia wanachomfanya mkeo huko Iringa, Dah ni machungu sanaa.

5. Mkeo anafanya Kazi private company ya kilimo huko Mngeta (Morogoro >> Ifakara ndani ndani hukoo) na wewe unaishi Morogoro mjini. Basi bana Kuna mabosi wa kampuni wanajilia kama wao ndio wamemuoa.

6. Mkeo ni mwalimu huko Iringa, Kilolo ndani ndani huko na wewe upo sijui wapi. Aisee mabaharia wanaruka nae hasaa. Na mkeo ana bahasha wake mtu mzima hasa.

Mkeo anasemaga "Yule Mzee nimpeleke wapi mi nataka pesa zake tu". Basi bana mkeo hua anasafiri kutoka Iringa mpaka Dodoma ili akakutane na huyo babu. Mkeo anatoa utamu, babu anatoa pesa.

7. Mkeo ni Nesi ndani ya Songwe na wewe ni mwalimu Tabora. Bana eeh Nesi bana anatibu mpaka visivyotibika huko.

7. Mkeo ni mwalimu ajira mpya za juzi ndani mkoa uliokaribu na mkoa wa Mbeya. Sasa bana mkeo kaolewa huko, Kuna baharia alimpokea na kamfanya mkewe.

8. Mkeo ni HR, mweusi na ana chura fulani hivi amaizing. Wewe ni muuza magodoro huko mjini ya wilaya aliyopo mkeo kama HR wa halmashauri. Bana eeh huko kazini mabaharia nao Wana mHR chumbani.

9. Mkeo ni mfanyakazi bandarini Tanga na wewe upo Dar. Aisee wasambaa wanaenda nae sawaa hasaaa.

10. Mkeo ana duka kubwaa Iringa mjini na wewe unaishi mafinga unafanya Kazi kampuni ya simu. Bana bana mabaharia huwa wanachangia sanaa mtaji pale.

11. Mkeo ni mama mchungaji. Ni mweupe na mzuri hasaa. Anasoma uchungaji moja ya chuo hapa nchini. Aisee Kuna raia ni mwanafunzi mmoja wapo hapo Chuoni huwa wanakemea sanaa nae mapepo chumbani.

12. Mkeo ni engineer na kapata ajira juzi tu. Aisee mkuu wa Idara ya ujenzi (Engineer mwenzake) kamuoa kabisaaa.

13. Mmmmh ni wengine aiseee ni wengi sanaaaa. Nimetembea sanaa na nimejionea mengii wafanyayo wake zenu walio mbali na upeo wa macho yenu. Hawa ndio niliokutana nao kwenye kuzurula kwangu na wengine nimewasahau.

Nachotaka kusema ni kwamba ""Wewe unayeishi mbali na mkeo, aiseee mabaharia A.K.A wakurungwa wanaruka nae hasaa""

Mabaharia hawana hurumaa kabisa na zile laki kadhaa wengine mpaka milioni huko mlizotoa za mahari.

Wao wanaruka nae bureee.

Note:-
1. Ukiamua kuoa hebu kaa na mkeo ndani ya paa moja.

2. Kama wote ni wafanyakazi basi lazima mmoja akubali kuacha Kazi ili kulea hiyo ndoa. Vinginevyo mwanaume mwenzangu utasaidiwa sanaaa.

Na ushauri uliomkuu ni kwamba...

ACHA KUOA KABISA, MTAKUFA KWA MAWAZO NA MATESO YA NAFSI.

Nikutonye kitu: Nimekua na safiri sanaa kununua mpunga mikoa ya Moro, Mbeya na Songwe. Sasa ipo siku nitawaletea NYUZI ya wake zenu wanayoyafanya tunapokua nao tukinunua mpunga.

Aisee wanachofanya na huku mmewaoa tena kwa ndoa halali dah sina la kusema zaidi ya ""Mungu saidia ndoa za hawa mabaharia wenzangu""

Halafu msisahau kutafuta hela; Yes money can't buy everything, ila HAKIKISHA una pesa nyingi kabla hujaropoka huu ujinga..!!!!

#YNWA
Usicheze na nguvu ya asili ya mwili ukadhani utaicontrol nature never
 
Back
Top Bottom