Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

UFUNUO 21:8
Bali WAOGA, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.
Na hao wasiotaka kuoa moto wao upo hapa hapa chini,labda mtu aombe afe akiwa kijana.
uzeeni anatubu dhambi zote,hata akiona mbuzi anapita anajihisi naye alimkosea anaungama tuu
 
Ukweli ama unafurahisha genge mpenda walimu
 
Mpelekee moto umtoe wenge
 
KUBALI NDOA

NDOA NI BARAKA

NDOA NI IBADA

NDOA STAREHE

ILA SHARTI LA NDOA UPATE MKE MCHAMUNGU NA MWENYE TABIA NZURI MWENYE WAZAZI WEMA. UKIOKOTA TU CHANGU NJIANI KISA ANA MATAKO MAKUBWA NDO SHIDA INAANZIA HAPO
Mkiwa mnasema haya muwe mnatupa na mbinu za kuyatekeleza.
 
UFUNUO 21:8
Bali WAOGA, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.
Acha kutumia maandiko kwenye mambo yasiyo na msingi.. Kama ni hvyo mbona paulo alisema atakayeweza kuupa useja nafasi na aupe?
 
Sasa kama wanawake ni pasua vichwa? Bro PEACE OF MIND IS MORE PRECIOUS THAN ANYTHING.
 
Weye gogoz,kwa hiyo nawe haujaoa?
 
KATAA NDOA, KATAA NDOA, NDOA NI UJINGA ULIOCHANGAMKA
 
Jamaa analana ya wazazi wake...pamoja na ilo wanawake siku hizi ni majibwaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
KATAA NDOA, NDOA NI DHAMBI
 
Unaweza kuoa na ukafika 80 bila mke vile vile?maisha ni fumbo hakuna aijuae kesho.

Kuoa ni jambo zuri sana ! Lakini sasa simetimes ni jambo baya sana pia.

Binadamu tumeumbwa tofauti kwa namna nyingi hivyo ni vyema kila mtu akafanya lile jambo litakalo mfanya aishi kwa furaha katika haya maisha mafupi hapa duniani.

Kuoa hakukupi uhakika hasa kwamba utapata matunzo wakati wa uzee na hata kuzeeka pia si jambo dogo nowdays tunaishi maisha mafupi mnoo wenye jeuri ya kufika miaka 70 ni wachache.
 
Don't underestimate the power of a woman,usifikiri kwakuwa ni dhaifu wa mwili pia ni dhaifu wa akili.Kikubwa walichoumbiwa nao ni uwezo mkubwa sana wa kushawishi ili uingie kichwakichwa,ndio maana tunaaswa sana kutumia akili ili kuweza kuishi nao.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…