Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Inauma sana unalipa mahari kuonyesha shukrani kwa wazazi ukidhani binti yao utatia peke yako.
Unamuoa unaweka ndani yaani ..baada ya muda unasikia kuna mtu anajipigia staili zote, anamkamua mkeo hadi utelezi unakauka ...inauma sana.

Yaani sema watu wengi hawajui tu nyuma ya pazia mambo wanayofanya faragha na kwa kificho kwa wenza wao, yaani ukiyajua mambo yote anayofanya mkeo/ mumeo kwa siri huwezi tamani tena ndoa.

Kama unaweza zalisha watoto na uchi zipo nyingi zinapatikana nashauri uwe single.

Jijenge kiuchumi uwe na uhakika wa kipato basi inatosha.

Utaishi kwa amani sana, kumbuka maisha haya yanakadilika kwa maana kimahesabu kuna umri huwezi fika.

Mfano kama una 40 kwa sasa basi unajikadilia tu miaka 20 au 25 ijayo unakufa ... kama kuna nyongeza basi ni 10 tu.

Hapo hujapata mi ajali ya kila siku.
 
Inategemeana na huyo mkeo mmekutana maeneo gani Kama walikutana kwny madanguro na starehe zingine lazima waachane tu hakuna namna,we pambana na Hali yako maisha Ni kuchagua usihamasishe wengine
 
Maneno haya yana busara na hekima.
 
Sasa kama wanawake ni pasua vichwa? Bro PEACE OF MIND IS MORE PRECIOUS THAN ANYTHING.
Ndiyo maana nimesema ni vyema kumwomba Mungu akusaidie umpate mwenza ambaye hatakuwa pasua kichwa.

Ila familia ni jambo la kheri sana.

Msingi wa maadili huanzia level za familia.

Tunaendekeza kulea watoto peke yetu as a single parent mwisho wa siku tuna haribu kesho ya vijana wetu.

Mungu asaidie vizazi vyetu
 
Ukiona mtu anahamasisha watu wakatae ndoa ujue huyo mtu amewahi kubakwa au tayari ni muathirika wa mahusiano ya jinsia moja
 
Hakuna mtu asiyependa jambo la kheri kama kuwa na ndoa na familia yenye furaha, hili jambo ukilitizama kwa mtazamo chanya ni jambo zuri sana.


Tatizo ni sisi watu wenyewe kutokana na changamoto za maisha na mabadiliko katika kila nyanja za ukuaji tumekuwa hatufai tena ku fit katika hili jambo,matendo yetu yanafanya liwe jambo baya na la kujutia sometimes..

Hata ambao kwa sasa wapo ndoani wanapitia changamoto ngumu sana wengi wao.

Asilimia kubwa ya vitu ambavyo mungu alitia baraka ni chanya sana.
Tatizo ni sisi wenyewe...
 
Jamii yetu ilipofikia ni kwamba tuna hadi viongozi wa umma ambao wanaonekana tu wakilea watoto au mtoto huku baba wa mtoto hajulikani, huko mbele tutegemee kuona viongozi mashoga na mabasha.
 
Ni kweli, kuoa sio uhakika utapata matunzo mazuri uzeeni. Ni kuomba Mungu tu upate mwenza mwenye utu. Ni juzi tu tumetoka kuzika kaka yetu, yaani maisha aliyokuwa anaishi yanasikitisha. Alipata mke bomu balaa. Alikufa akiwa na kilo kama za mtoto, hakuwa na lishe etc. Alipata pension zaid ya 200m lakini sijui zilifanyia nini. Shida tupu. Ila asiyesikia la mkuu, aliambiwa sana kuhusu kuto kuoa huyo mwanamke lakini alishupaza shingo.
 
Wamebembelezwa sana hadi wanaona kuwa maisha bila wao hayawezekani. Sasa sisi tuwabembeleze na bills tunalipa mwenyewe, achana na hizo mbaga.
 
Ngoja ufike umri fulani, uone atakavyokubadilikia.
 
Sasa ukifika huo umri mkeo akakukataa, na watoto wakaajiri msaidizi kukufanyia kazi kunatofauti gani na ukiwa mwenyewe bila hizo vitu.
 
Imagine Wazee wetu wasinge mwoa Bi Mkubwa wako, leo hii mngekuwa hapo mlipofikia?
Hiyo ni zaman dhama zimebadilika sana nowadays..

Tuliwaona wazungu wajinga na hawajielewi wameweka ndoa za mikataba na wengi hawaoi kumbe lilikuwa swala la muda tu now tunaiga life style yao kwa speed sana.

Itoshe kusema wazungu ni akili kubwa wale watu.
 
Akome
 
Daah! Sasa kama hapo ndoa inakuwa na maana gani?inasikitisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…