Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Ushasema wazee tatizo lilianzia Beijing 1995 hapo ndipo mvurugano ukaingia mpaka 2002 Sheria ya Ndoa ikaongezwa udambwi dambwi wa kumbeba mwanamke, kuanzia hapo mwanaume anaipatapata ya Moto kwenye Ndoa ni mtifuano kwa kwenda mbele
 
UFUNUO 21:8
Bali WAOGA, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.
I see. Yani WAOGA+Wasio amini +wachukizao+wauaji+wazinzi +Wachawi+waabu sanamu +waongo =MOTONI..
Therefore :WOGA ni dhambi.
 
Nashangazwa na mnaopenda kutumia mahusiano ya watu ambao sio jamaa zenu wala ndugu zenu. Hivi kwenye ukoo wenu wote umekosa ndugu yako hata mmoja ambaye anaweza kuwa role model wako ?
Huwez kuwa na role model alie ishi kwenye ndoa za mifumo dume , ndoa zinazomnufaisha mwanaume na kumheshimisha mwanamke na kumlinda, ndoa ni mfumo wa zamni ila upo kwenye usasa wa haki sawa huku kisheria mwanaume kakanyagwa shingoni , kataa ndoa mpka serikali ibadili sheria kandamiz za ndoa.
 
Na story ya kutunga. We mwalimu em tafuta hela
 
Mkuu sina ndoa ila huu ulioongea apa ni ujinga wake za watu kibao wanakuja kukopa kwangu wa kuofa papuchi , mkuu walisheni wake zenu msipowalsha ssi tutawalisha na mimba tutawapa .

hao ni malaya tu wanaoolewa kwa kigezo cha tako na sura
 
Na hao wasiotaka kuoa moto wao upo hapa hapa chini,labda mtu aombe afe akiwa kijana.
uzeeni anatubu dhambi zote,hata akiona mbuzi anapita anajihisi naye alimkosea anaungama tuu
Marriage is the biggest scam in world's history
 
πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨ Nakazia
 
Mbona miaka ya 90 hadi 2000 hakukuwa na mambo hayo, kila familia inajua umuhimu wa kijana wao kuoa/kuolewa.

Turudi kwenye asili yetu wakuu
 
Ushasema wazee tatizo lilianzia Beijing 1995 hapo ndipo mvurugano ukaingia mpaka 2002 Sheria ya Ndoa ikaongezwa udambwi dambwi wa kumbeba mwanamke, kuanzia hapo mwanaume anaipatapata ya Moto kwenye Ndoa ni mtifuano kwa kwenda mbele
Kabla hujaingia kwenye ndoa, vyema kumshirikisha Mungu
 
Kabla hujaingia kwenye ndoa, vyema kumshirikisha Mungu
Nilikua kwenye mahusiano na binti mmoja hivi alikua anajifanya mlokole kumbe ni bonge moja la Mdangaji, siku nmekuta WhatsApp kwenye simu yake kaitumia njemba picha za uchi ndio nilipoona Ndoa ni ubatili

KATAANDOA
NDOANIWIZI
NDOANIUTAPELI
USIOE
 
Ulimshirikisha Mungu kwenye kuomba huyo mchumba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…