Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Wachapwe tu hamna namna unaoaje jitu limechakazwa huko weeeeh afu linakuja na mawigi yake kama msukule, piga mpini tupa huko na mawigi yao
 
Hayo hata kabla ya kuandikwa na sheria yako hivyo hivyo toka zamani
 
Nina rafiki yangu ana ofisi inasuka nywele wanawake na wengi ni wake za watu. Ebwana eeeh huwa story ninazozisikia pale Kwa hawa dada zetu wakiwa wanaongea kuhusu wanaume zao huwa Hadi nakataa sitakuja kuoa.

Kila nikienda pale lazima nisikie story mwanamke anamsimulia mwenzie namna anavyomcheet mwanaume wake. Kuna wengine wakawa wanashindana idadi ya michepuko.

Mwanamke mmoja ana michepuko minne na mikoa tofauti na yeye Yuko dar na ameolewa. Kuna Mchepuko WA kumfikisha kileleni, kumpa hela, kumsugua kisimi na kuna Mchepuko anaoupenda huyu hata awe kapuuku SawA na bado Mme wake wanaeishi nae pamoja.


Bahati mbaya uchafu mwingi ni Kwa walio Katia ndoa Hadi nikawa namuuliza huyo rafiki yangu hawa wameolewa kweli akasema ndio.


Kwahiyo nyie mliooa kuweni Makini Sana na wake zenu
 
Watu mmevulugwa. Tatizo mlipenda misambwanda badala ya kupenda wanawake.

Tuliwashauri mkasema Bora shape tabia mtavumiliana sasa mbona mnazikimbia Ndoa?
 
Niliemuoa sio feminist (Nashukuru niloa kitambo kidogo kabla maujinga ya feminism hayatasambaa) ila mafeminist ambayo nimeyadunga na kuyatupa kama condom mpaka sasa ni matatu na mpango ni kuyachakaza zaidi. Ova
Hakunaga tuzo kwenye ngono au umalaya na sio sifa kuwa malaya bali ni ujinga
 
Kataa Ndoa
Ndoa ni Utapeli
Ndoa ni hasara
Ndoa ni uhujumu
Kataa Ndoa.

Hadi Msanii tena ni platinum member haitaki ndoa ww ni nani uikubali Ndoa?
 
Pia nipo kinyume na hawa kataa ndoa ila campaign za ufeminist zinanikera kwelikweli
 
Niliemuoa sio feminist (Nashukuru niloa kitambo kidogo kabla maujinga ya feminism hayatasambaa) ila mafeminist ambayo nimeyadunga na kuyatupa kama condom mpaka sasa ni matatu na mpango ni kuyachakaza zaidi. Ova
Umeshazalisha feminist wangapi? Wanao unawafundisha wazalishe feminist wangapi?
 
Walio kwenye ndoa kila siku wanakuja na nyuzi za kulalamikia wake zao kwa
(1)Kiburi na kukosa kuheshimiwa hasa mume akifulia
(2)Kuchapiwa wake zao
(3)Matumizi mabaya ya pesa
(4)Malezi mabaya kwa watoto
(5)Uvivu
(6)Ushirikina
(7)Kutoheshimu wakwe
(8)Mwisho wa siku talaka na
(9)Kugawana mali

Na mengine mengi hayo machache tu

Sijawahi kuona uzi mwanamume anasifia ndoa au mke wake kila siku ni malalamiko

Kuna sisi ambao hatutaki hizo hekaheka tumekuja na kampeni ya KATAA NDOA NDOA NI UTAPELI
 
Kwanni ke wait hawakatai zaidi n me tu ndio wanakataa ndoa? Je wanawake nyie mna maoni gani? Na nyie mnakataa au mnahitaji ndoa mbona hakuna anawunga mkono?
Ukiona wapo kimya ujue ishu husika inawanufaisha. Women are very selfish creatures. Hata kwenye kampeni zao 50/50 huwa wanalenga mambo matamu tamu tu kama kurithi mali, uongozi, elimu, ajira n.k. Ikitokea vita ni wanaume tu ndo wanaenda kwenye uwanja wa mapambana njoo na hoja kwamba hii sio sawa na wanawake nao wana haki ya kupambambania nchi yao uone watakavyokupinga kama sio kuingia mitini kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…