Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mpumbavu wewe. Uko busy kuzuia ndoa ili kuhamasisha ndoa za jinsia moja. Una akili timamu?

Kama ndoa imekushinda ni wewe. Pambana na hali yako. Acha wanaofaidi ndoa zao wafaidi. Kwanini uwakataze?

Jamaa katoa hoja yake nzuri, kuna sababu gani ya kumtusi?
 
Definition ya Malaya sio mtu ambaye hana ndoa, ni mtu yeyote ambaye anaweza kulika na mtu yeyote kulingana na situation husika.

Hata mkeo/mumeo anaweza akawa Malaya

Hata humu wengi waliooa ndio wanaoongoza kuleta mada za michepuko (umalaya)

Kupitia video hii hapa chini, niambie ni ndoa ngapi za kisasa zinaweza ku pass zoezi hili?
Your browser is not able to display this video.
 
😂🤣 Asa kwani ni uongo? Ndoa inataka mwanaume mwenye akili kwan mlivyoambiwa muishi nasi kwa akili mlielewa vipi?
 
We unapinga ndoa mbadala wa ndoa ni upi
 
Mungu hakuweka jambo lolote zuri kuwa rahisi mkuu. Tazama tu jinsi ilivyo ngumu kupata pesa na maisha mazuri. Ni kwa sababu kipato kizuri kina thamani sana na thamani hiyo inajengwa na scarcity yake. Ndoa na familia imara nalo ni jambo gumu kuliko kutafta hela

Jambo la msingi la kufahamu ni kwamba ukifeli ndoa basi hiyo ni ishara tosha ya kuwa wewe ni mwanaume dhaifu!

Nawatakia Kwaresma Njema!
 
Jamaa katoa hoja yake nzuri, kuna sababu gani ya kumtusi?
Hii kampeni imeshika kasi sana. Malengo yake ni nini? Na kwa nini?

Tunapaswa kuwafunza vijana namna bora ya kuishi katika ndoa na siyo kuwakatisha tamaa kuingia kwenye ndoa.

Kwani hiyo sheria kama imekosewa haiwezi kurekebishwa bila kupinga ndoa kwa vijana?

Mrengo wa kampeni hii utaleta madhara makubwa kwa vijana na nia ya kampeni hii si njema kwa vijana na taifa letu.

Ninasisitiza hii kampeni hii ni hatari. Ikome.
 
Wachapwe tu hamna namna unaoaje jitu limechakazwa huko weeeeh afu linakuja na mawigi yake kama msukule, piga mpini tupa huko na mawigi yao
Naam,, binafsi mke wa boya yoyote akishoboka habari za kunipenda huwa naishi nae tena 6*6 huwa nahakikisha nambanjua haswa mpaka akirudi kwa mume wake wa mchongo amuone kama fu*kn boya tu..si wanatushobokea kinama [emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…