Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Hii ni sheria ya Tanzania tu nafkir...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoa ni ile hali ya kuishi na mwenza wako, ukiishi na mwanamke mwaka bila hata kurashimisha kanisani au msikitini hio ni ndoa tayari sasa mtu anasema kataa ndoa kwa maana nyingine anapinga mahusiano kwa ujumla wake kama wewe unapinga mahusiano wewe ni shoga
 
Mpumbavu wewe. Uko busy kuzuia ndoa ili kuhamasisha ndoa za jinsia moja. Una akili timamu?

Kama ndoa imekushinda ni wewe. Pambana na hali yako. Acha wanaofaidi ndoa zao wafaidi. Kwanini uwakataze?
Makasiriko fc
 
Ndoa ni wito. Kupinga ndoa ni mpango shetani.. ili aje aintroduce ndoa zake za kishetani shetani.. kupinga ndoa ni kumpinga Mungu na mapenzi yake ya ndoa kwa mwanadamu na makusudi anayotaka yapitisha kupitia ndoa
Wapi ulisikia pameandikwa MUNGU ALIOA au MUNGU ALIFUNGA NDOA ?

Wapi ulisikia pameandikwa SHETANI ALIKATAA KUFUNGA NDOA ?

Mboni mnajimpakazia MUNGU kitu ambacho hakuwahi kukifanya na SHETANI pia mnampakazia kwa kitu ambacho hakuwahi kukifanya?

Itoshe kusema SHERIA YA NDOA ni mpango wa wanadamu sio mpango wa MUNGU wala SHETANI

Mimi mleta mada nimemuelewa amelenga nini sheria ya Ndoa inayafanya watu kupewa Cheti cha Ndoa ni sehemu ya UTAPELI WA NDOA

Sheria ya Ndoa ni MBOVU ukiiangalia kwa JICHO makini utatambua kwamba ni sheria ambayo imeegemea upande mmoja tu wa wanawake kuwanufaisha wanawake na sio vinginevyo, yaan ni sawa na sehemu ya kuwawezesha wanawake

KATAA NDOA
KATAA CHETI CHA NDOA
NDOA NI UTAPELI
SHERIA YA NDOA NI MBOVU
 
jamaa nilijua ni Timberlake mwanzoni, jamaa kamshika shika sana Rihanna, natamani ningekua yeye na wasinilipe hata senti moja
jamaa kala lita za kutosha aisee, lita za Rihanna ni Cherries iliyosagwa na kukamuliwa,
siyo za akina sophy27 wa Chanika
😂😂😂😂Mungu alipotuweza suala la toilet halina Rihanna wa jay z ni kazi moja hivo Sina stress kabisa😂😂😂
 
Mtetezi wa mashoga amekuja
 
Sasa "kataa ndoa" inaleta solutions kwa anachosema mleta mada?
Inategemea na wewe ulivyochagua maisha yako kuyaishi

Kama yeye kipaumbele chake ni furaha basi lazima aangalie namna anayoweza kuipata furaha

Furaha ina define vitu vingi, ikiwemo hata nafasi ya kuishi miaka mingi.

Pengine kabla hajaoa alikuwa akiwaza maisha ya ndoa yatamuongezea furaha zaidi

Sasa kama anaona maisha ya ndoa yanamletea stress kuliko alivyokuwa akiishi awali wakati hajaoa, si lazima afanye maamuzi anayoona kwake ni sahihi?
 
Mungu, Malaika, pamoja na shetani ni pure spirit zinakosa sifa ya ndoa. Maana ndoa ni kwa ajiri ya mwenye mwili..

Nikianza weka uthibitisho wa maandiko bado mtapinga..

Kwasababu mmeamua kumpigia kampeni shetani
 
😂😂😂 Kwakwel mambo ni mengii..
🔥 Watu hawataki ndoa ila wanataka kuzaa na kuwa na watoto😁
🔥alafu hawataki single mothers😂😂😂,
🔥wala kuwa na watu waliolelewa na single parent kwamba watakua na malezi mabaya😂😂😂 😂
🔥wonders shall never end✌
 
Duh!...another man down...

Sheria inaweza kubadilishwa tu hivyo bado sio sababu yenye mantiki, ndoa zilikuwepo miaka mingi kabla ya hiyo sheria.

labda ipo sababu nyingine inayokukimbiza kuikataa ndoa yako ila hutaki kuisema.
 

Yeah this is so right!
Kama hutaki kuoa its fine tutaolewa na wanaotaka...

Using'ang'anize watu wote wakatae ndoa.

Unaez kuta ni watu wenye trauma zao za udogoni wamezaliwa kwenye familia zilizo na mpasuko.
Hawajawahi kuona what a good famy is.
 
Identity crisis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…