Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Kama ni mtu wakufuatilia hii kampeni ipo karibu kila nchi ingila club house mbalimbali utakuta hii mijadala nchi tofauti
 
Unapinga ndoa then unapromote nini? Ushoga au unapinga ndoa na huna suluhu yake?

Kweli ndoa sio kwa kila mtu lakini usije na mabango yako hapa kupinga kusudi la Mungu, unataka tuwe na kizazi gani kisicho na wazazi wote wa kuwalea?
Wanaume mmebakia wachache sana mzee wangu๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Wana stress ๐Ÿ˜‚
 
Ndoa ni wito. Kupinga ndoa ni mpango shetani.. ili aje aintroduce ndoa zake za kishetani shetani.. kupinga ndoa ni kumpinga Mungu na mapenzi yake ya ndoa kwa mwanadamu na makusudi anayotaka yapitisha kupitia ndoa
Binadamu mwenzangu nakusabahi๐Ÿ˜
 

Umenena vyema sis[emoji119]

Na wanawake wakikataa kuwabebea mimba itakuaje?
 
Haya ya kuambiwa ukichanganya na akili yako utaona kwel ndoa ni utapel
Ndoa ni utapeli kwako, kwako ww unaouona huo utapeli. Ila kuna wengine ndoa ni baraka na wanaziona hizo baraka. Sasa la muhimu kuheshimiana maamuzi. Kama ambavyo inakera kushawishiwa uoe ndivyo inavyokera kushawishi watu wasioe. Kila mtu avune anachopanda.

Hatuwezi kufanana na HAKUNA KAMPENI INAYOWEZA KUFANIKISHA BINADAMU WAFANANE MAAMUZI.
 
Mungu, Malaika, pamoja na shetani ni pure spirit zinakosa sifa ya ndoa. Maana ndoa ni kwa ajiri ya mwenye mwili..

Nikianza weka uthibitisho wa maandiko bado mtapinga..

Kwasababu mmeamua kumpigia kampeni shetani
Sheria ya Ndoa na kufunga Ndoa ni mfumo wa wanadamu sio MUNGU wala SHETANI kwa hio usichanganye mada kwamba wanaopinga Ndoa basi wanapingana na MUNGU, wanadamu wameunda hio sheria ya Ndoa sio MUNGU wala SHETANI alieunda SHERIA YA NDOA amka kutoka kwenye huo usingizi wa kifo,

Sheria ya Ndoa ni mbovu kuwahi kutokea ni Ina mambo yaliyopitwa na wakati inabidi ifanyiwe maboresho (updates), hicho ndicho kitu watu wanakizungumzia haswa wakihitaji sheria ya Ndoa ifanyiwe marekebisho maana kwa jinsi ilivyo ni sawa na sheria ambayo haitendi haki ni sheria ambayo bias zaidi kwa kuegemea upande mmoja tu, jaribu kuelewa kwanza ndio utoe maelezo
 
Tatizo ni namna ya kumpata mwenza wako, hakika ukipata mwanamke mwema anaejitambua maisha ya ndoa ni matamu sana, tena sana. Hebu chunguza kwa makini ili uone watu wanaoishi kwa upendo wa hali ya juu. Jaribu kutafuta ukaribu na wao ili uwaulize kuwa walifanya nini, au ni bahati tu katika maisha?
 
Hata ukiandika kigalatia hakuna ndoa.
 
Mtetezi wa mashoga unayepinga vikali ndoa hutafanikiwa unataka kila mtu awe shoga hutafanikiwa
Mzee nakuheshimu jiheshimu, sio kila unaemuona humu JF ni saizi yako kumsemea vile unavyojisikia kumsemea wewe jitunzie heshima yako, niheshimu nikuheshimu usivuke mipaka kumdandia kila mtu usiemjua utakuja kuumia vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ