Sisi tumejikalia zetu single tunaendelea na shuguli zetu tulipe tozo,
ghafla tunasikia makelele nje kataa ndoa kataa ndoa,
Tunakaa kuuliza kwani nani anataka kuolewa na hawa watu? Nani anawalazimisha waoe?
Hatuoni mtu hata!!!!
Itakuwa ni wagonjwa wa akili wanasikia sauti zinawaambia waoe!!
Nendeni Mirembe kwa msaada zaidi tafadhali.
Be free!!!
Live your lives!!!
Mmezaliwa peke yenu mtazikwa peke yenu,
no one is forcing you to do anything!
Mngekuwa kutwa mnatuandikia experiences zenu mnavyotumia maisha yenu naturally tungewafwata ili na sisi tuishi maisha fulfilling kama yenu.
Lakini ni makasiriko na matusi tu na connections za malaya wenye gono na HIV.
You guys are depleted in everyway,
physically, mentally, emotionally, psychologically, spiritually!!!
I repeat umezaliwa peke yako, utazikwa peke yako,
Do as you wish!!!!!
Wenye familia (watoto) na mnapenda familia zenu,
We see you and when we grow up we want to be like you!!! 💗💗