Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
- Thread starter
- #481
Kuna mmoja huko wakati anagongana na mkewe, mkewe kamtaja Alex..!!
Huyu nae akili anazo?
#YNWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mmoja huko wakati anagongana na mkewe, mkewe kamtaja Alex..!!
Wapo wengi wanaotafuta waume mi sikutaki,, kwaheriacha zako wewe hujaolewa bado kubali nikuoe kimasihara, ukiwa na tabia njema tutatenganishwa na kifo
Unataka ionekane kama ndoa zote zina migogoro sababu ya wanawake kitu ambacho si sahihi ni kama wanaume nyie mko clean sana wanawake tu ndio wenye shida??? Wanaotaka kuoa wataoa wasiotaka pia hawatooa kila mtu na maisha yake ndugu.Kuna mmoja huko wakati anagongana na mkewe, mkewe kamtaja Alex..!!
Huyu nae akili anazo?
#YNWA
Unataka ionekane kama ndoa zote zina migogoro sababu ya wanawake kitu ambacho si sahihi ni kama wanaume nyie mko clean sana wanawake tu ndio wenye shida??? Wanaotaka kuoa wataoa wasiotaka pia hawatooa kila mtu na maisha yake ndugu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja kwanza......Tumeambiwa tuishi nao kwa akili; Swala la ndoa ukilijadili ni kitu chenye wigo mpana sana, na anachokifanya huyo jamaa kwa aliye nje ya ndoa utaona kama anakosea lakini kwa upande mmoja au mwengine ni afadhali ya yeye aliyeoa, hayo mengine ni matokeo ya kawaida tu ndoani. Kwa upande mwengine wa imani yetu waislam tunasema ndoa ni nusu ya dini, kwani ibada na mambo mengine akiyafanya mtu asiye na ndoa malipo yake ni tofauti na akiyafanya aliyeoa.
Endelea kujipa moyo kwamba kuwa na pesa ni kila kitu maishani lakini ukweli utabaki pale pale furaha ya maishani ni kuwa na ndoa na kubarikiwa watoto wema.
Kwamba wotee ambao wake zao hawajarogwa "HAWAJUI KUZUNGUSHA?"Kumroga mwanamke sio kutumia talasimu wala kwenda kwa waganga bali ni kujua namna ya kumzungushia mjegejeo!
We huwezi kupata watoto Wa3 kwa miaka 5?Kwamba alioa 2016 sasahivi ana watoto 3 na mke huyo.
Wanaotaka kuoa wataoa wasiotaka hawataoa.Hube soma hii comment ipo kwenye Uzi wa "Naomba Msaada wenu
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Binafsi nimecomment kulingana na situation ya mleta mada maana ishu ya ndoa ukianza kuandika hapatatosha lakini niliona nicomment kulingana na huyo mwanamke alichomfanyia mshkaji na kuacha Hadi mtoto hii sio sawa kabisa aisee.
Wengi tunapitia hizi Hali na ukikaa na wanaume wengi utajua Wana matatizo makubwa Ila huwa tumeumbwa kunyamaza na wanawake wanatumia hii fursa kufanya unyama wao.
Wapo wanaume wanakosea wake zao hii ipo tu, wako pia wenye sababu zao mfano mtu Kama huyu mleta mada hata mwanamke akimrudia just in case kwamba walee mtoto huyo mwanamke akilalamika bado mwanaume atalaumiwa tu Ila huwa tunanyamaza tu.
Ukweli ni kwamba, mtoto wa kiume hana pa kusema matatizo yake ndio maana huwa tuna maamuzi yetu mtu unamlisha , unasomesha yeye na ndugu zake na watoto, unahangaika kujenga nyumba , unamnunulia na gari lakini anakuwa hawezi kushukuru hata kidogo.
Mwisho wa siku unaenda unakokuwa appreciated, Kuna mademu ukimpa laki mbili anakutunza na anakuheshimu mno, ukimlipia vyumba viwili na sebule anamuona Kama wewe ni mwokozi wake Ila unakaa na mshenzi hajui hata kusema mume wangu Asante kwa kututunza japo ni wajibu Ila just show appreciation.
Sasa ukose hela ananuna badala ya kuwa comfort, hata TV ukishika remote anaanza kulalamika tu tunaangalia tamthilia, hivi mwanaume gani atakaa na hiyo umbwa?
Ukifanikiwa kuachana na wanamke wa hivyo kabla hujamuua shukuru Mungu hata kama unalala njaa.
-------
HIVI UNAJUA NDOA NYINGI SANAA ZINA MIGOGORO KULIKO ZENYE AMANI?
Huku mtaani raia WANALALAMIKA sanaa na ndoa zao.
SASA YA NINI YOTEE HAYA?
#YNWA
Haya shauri yakoWapo wengi wanaotafuta waume mi sikutaki,, kwaheri
Endelea kujidanganyaNgoja kwanza......
Ratan Tajiri wa India HANA NDOA
Dangote Tajiri wa Africa HANA NDOA.
Iangalie ile top 10 matajiri duniani WENGI HAWANA NDOA.
Diamond HANA NDOA
Alikiba kaikosa NDOA.
Unataka niambia WOTE HAWA HAWANA FURAHA?
Halafu kengine ""If you think money is not everything and can't buy happiness, then go and ask the homeless and Jobless""
#YNWA
I dont know them!Kwamba wotee ambao wake zao hawajarogwa "HAWAJUI KUZUNGUSHA?"
Broo do you real know women?
#YNWA
You have not done a research, you LACK THE RIGHT OF SPEAKING.I dont know them!
Wengine masharti yanawabana sio kama wameshindwa kuoaNgoja kwanza......
Ratan Tajiri wa India HANA NDOA
Dangote Tajiri wa Africa HANA NDOA.
Iangalie ile top 10 matajiri duniani WENGI HAWANA NDOA.
Diamond HANA NDOA
Alikiba kaikosa NDOA.
Unataka niambia WOTE HAWA HAWANA FURAHA?
Halafu kengine ""If you think money is not everything and can't buy happiness, then go and ask the homeless and Jobless""
#YNWA
😳😳😳😳Wengine masharti yanawabana sio kama wameshindwa kuoa
Ndago ziko za aina nyingi bro😳😳😳😳
Watu weupe nao Wana ndago za kikinga?
#YNWA
Nipe elimu.Ndago ziko za aina nyingi bro
The viziana and kuliana timing LIFE STYLE.Acha wale tu ila nicjue maana hata mimi huku niliko nakula sana ila hajui
Mods wamefanya makosa sana kuuachia huu uzi kwani unaweza sababisha mauaji na udharirishaji kwenye jamii. Hata kama tunatumia fake I'd na hata kama tuna shida binafsi kwenye mahusiano au ndoa zetu au tuliwahi umizwa kwenye mahusiano sio vyema kuichochea jamii namna hii. Hapa umedhalilisha watu na hakuna codes kabisa.The viziana and kuliana timing LIFE STYLE.
#YNWA
Kwahiyo unataka mods wafanye lile unaloona kuwa ni sahihi kwako.Mods wamefanya makosa sana kuuachia huu uzi kwani unaweza sababisha mauaji na udharirishaji kwenye jamii. Hata kama tunatumia fake I'd na hata kama tuna shida binafsi kwenye mahusiano au ndoa zetu au tuliwahi umizwa kwenye mahusiano sio vyema kuichochea jamii namna hii. Hapa umedhalilisha watu na hakuna codes kabisa.