Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Jirani yangu anataka anipee ili nisimwambie mume wake ujinga anaoufanya pale mumewe anaposafiri
Na mimi sio hanithi
Na mimi sio hanithi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu uzi sio sahihi. Wamekosea kuuachia. We huoni kama unachochea uhasama kwenye jamii. Hata kama umejificha kwenye fake I'd lakini sio sawa. Kubali tu wala hatushindani mkuu.Kwahiyo unataka mods wafanye lile unaloona kuwa ni sahihi kwako.
Babu this is a MILLENIAL world kila mtu ana mawazo yake na fikra zake na WE DARE TO TALK OPENLY.
Usitake kila wazo lako likawa ndio sahihi.
Usiwe yule wa baba akisema kasema.
AMEN.
#YNWA
Kusema ukweli ni DHAMBI?Huu uzi sio sahihi. Wamekosea kuuachia. We huoni kama unachochea uhasama kwenye jamii. Hata kama umejificha kwenye fake I'd lakini sio sawa. Kubali tu wala hatushindani mkuu.
Hii dunia siyo yetu, tufanye yote lakini swala la kuoa liko pale pale!You have not done a research, you LACK THE RIGHT OF SPEAKING.
And never provide a conclusion with a CASE STUDY.
#YNWA
Ni yetu aliyeiumba alitukabidhi tuitawale.Hii dunia siyo yetu, tufanye yote lakini swala la kuoa liko pale pale!
Mwisho wa siku tutaondoka na kuiachaNi yetu aliyeiumba alitukabidhi tuitawale.
#YNWA
🔨🔨🔨Lugha za vijana wanaotunzwa na ma-jimama
nyie ndowapenda mitelezo tunaowaongelea kwenye uzi wa mwenzio huko,dawa yenu mfumaniwe mpigwe nyundo za utosi shenzzzy
Utakuja kuliwa mande kuchezea wake za watu kijana wa kupenda slope
Lugha za vijana wanaotunzwa na ma-jimama
Kama unaona kuoa ni adhabu unapata basi jaribu kuolewa wewe mbona simple.