Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
Sasa hadi nikaopoa binti wa kanisani unahisi nani niliemshirikisha Iblis Bin Shetan au Kaka yake shetani ?Ulimshirikisha Mungu kwenye kuomba huyo mchumba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hadi nikaopoa binti wa kanisani unahisi nani niliemshirikisha Iblis Bin Shetan au Kaka yake shetani ?Ulimshirikisha Mungu kwenye kuomba huyo mchumba?
Ulihakikisha mara ngapi kwamba ni sauti ya Mungu na sio Ibilisi.Sasa hadi nikaopoa binti wa kanisani unahisi nani niliemshirikisha Iblis Bin Shetan au Kaka yake shetani ?
Kwani Mungu ana sauti gani na Iblis Bin Shetan ana sauti gan?Ulihakikisha mara ngapi kwamba ni sauti ya Mungu na sio Ibilisi.
ni kweliKumeanzishwa nyuzi nyingi za usioe na kataa ndoa namimi nakazia ikitokea umeoa basi kamwe usije ukaoa singo maza mwenye mtoto wa kiume utajuta. Ikikulazimu oa S.M mwenye girl child. Utakuja kunishukuru baadae.
Wanafunzi wa hizo mada watachanganyikiwa sasa!
Kumeanzishwa nyuzi nyingi za usioe na kataa ndoa namimi nakazia ikitokea umeoa basi kamwe usije ukaoa singo maza mwenye mtoto wa kiume utajuta. Ikikulazimu oa S.M mwenye girl child. Utakuja kunishukuru baadae.
Akiwa na mapacha moja wakike na mmoja wakiume vipi naruhusiwa kuoa??