Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mimi nipo kwenye ndoa na ninapambana bila kuchoka nichomoke kwenye ndoa kutokana na mambo ya ndani ya ndoa yalivyo.

Nilikuwa kimya nasoma maoni ya wanaokataa ndoa na wanaoipa chapuo ndoa.

Hoja yangu imebase kwenye mantiki zolizowekwa na sheria. Sheria ya ndoa ya Tanzania inapeleka hasara kubwa kwa wanaume na kumfaidisha sana mwanamke.

  1. Sheria ya ndoa inamtaka mwanaume kumtunza mke wakati wote wawapo kwenye ndoa
  2. Sheria ya ndoa inammilikisha mwanamke mali za mwanaume za ndani ya ndoa. Hapa maana yake jasho la mwanaume linagawanywa kuwa jasho la wanandoa wote wakati wa ndoa
  3. Endapo wakaamua kutalikiana, mwanaume hupewa gawio lisiloakisi jasho lake na mwanamke hupata gawiwo zaidi ya jasho lake.
  4. Sheria ya ndoa haimpi jukumu mwanamke ndani ya ndoa bali majukumu.yote anapewa.mwanamume
KUna vitu vingi havijakaa sawa kwenye ndoa ambavyo vinawasababisha vijana kuwa bold and clear kukataa ndoa.

Tuzungumze maboresho ya sheria ya ndoa ndipo vijana waanze kurejea ndoani.

Mie.mwenyewe nataka leo kesho.kutemana na mwanandoa mwenzangu..
Kampeni ya kataa ndoa ina malengo yafuatayo mbadala wa ndoa unaleta vitu vifuatavyo
  • Kuhimiza watu kununua malaya kama hutakua na mahusiano ya kudumu ya mwanamke ni ngumu sana kuepukana na hii tabia
  • Kuhimiza mustarbation
  • Kuhimiza kusagana
  • Kuhimiza ushoga
  • Kuhimiza biashara ya umalaya kama mtoto anazaliwa anajua baba au mama anabadilisha partner kila siku nayeye pia atafuata hizo nyendo
 
Kwanni ke wait hawakatai zaidi n me tu ndio wanakataa ndoa? Je wanawake nyie mna maoni gani? Na nyie mnakataa au mnahitaji ndoa mbona hakuna anawunga mkono?
 
Unapinga ndoa then unapromote nini? Ushoga au unapinga ndoa na huna suluhu yake?

Kweli ndoa sio kwa kila mtu lakini usije na mabango yako hapa kupinga kusudi la Mungu, unataka tuwe na kizazi gani kisicho na wazazi wote wa kuwalea?
Mim mtu anayepinga ndoa aseme mbadala wake
 
Wanake wanaposikia vijana hawataki ndoa wanapinga ndoa, huja na kejeli na matusi eti ni mashoga utasikia upinde wa mvua., ila kimsingi vijana wana hoja.

Binafsi niko kwenye ndoa na namshukuru Mungu sipitii changamoto huenda kwasababu nilioa kitambo kidogo ila hata ningekua mimi kwa nyakati hizi za 50/50, haki sawa na haya mafeminist hakika mimi pia ningepinga ndoa.
Mimi nipo kwenye ndoa na ninapambana bila kuchoka nichomoke kwenye ndoa kutokana na mambo ya ndani ya ndoa yalivyo.

Nilikuwa kimya nasoma maoni ya wanaokataa ndoa na wanaoipa chapuo ndoa.

Hoja yangu imebase kwenye mantiki zolizowekwa na sheria. Sheria ya ndoa ya Tanzania inapeleka hasara kubwa kwa wanaume na kumfaidisha sana mwanamke.

  1. Sheria ya ndoa inamtaka mwanaume kumtunza mke wakati wote wawapo kwenye ndoa
  2. Sheria ya ndoa inammilikisha mwanamke mali za mwanaume za ndani ya ndoa. Hapa maana yake jasho la mwanaume linagawanywa kuwa jasho la wanandoa wote wakati wa ndoa
  3. Endapo wakaamua kutalikiana, mwanaume hupewa gawio lisiloakisi jasho lake na mwanamke hupata gawiwo zaidi ya jasho lake.
  4. Sheria ya ndoa haimpi jukumu mwanamke ndani ya ndoa bali majukumu.yote anapewa.mwanamume
KUna vitu vingi havijakaa sawa kwenye ndoa ambavyo vinawasababisha vijana kuwa bold and clear kukataa ndoa.

Tuzungumze maboresho ya sheria ya ndoa ndipo vijana waanze kurejea ndoani.

Mie.mwenyewe nataka leo kesho.kutemana na mwanandoa mwenzangu..
 
Wanawake wengi wanakuwa narcissists kwa sababu ya hiyo sheria ya kijinga.
Pia wanakua na jeuri wanapokumbuka pia kua siku hizi wameletewa dawati la kuwatetea. Na ukijumuisha asili ya ubinafsi walionayo qmamae yani ni kichaa kapewa mashine gun sokoni.

vijana nawashauri msioe ndoa ilikua zamani sikuizi ndoa ni jehanam kwa mwanaume.
 
Kwanni ke wait hawakatai zaidi n me tu ndio wanakataa ndoa? Je wanawake nyie mna maoni gani? Na nyie mnakataa au mnahitaji ndoa mbona hakuna anawunga mkono?
Hawawi wazi sana wako upande gani lakini ukiwafuatilia vizuri wanataka sana ndoa wanataka kuolewa
 
Kwanni ke wait hawakatai zaidi n me tu ndio wanakataa ndoa? Je wanawake nyie mna maoni gani? Na nyie mnakataa au mnahitaji ndoa mbona hakuna anawunga mkono?
Wanaanzaje kukataa ndoa wakati wanajua wanufaika namba moja ni wao ?? Niambie ndoa inamnufaisha nini mwanaume ?! Tena haya mafeminist ukilioa tu tayari linaanza kupiga mahesabu mkiachana linapata nini na nini.
 
Pia wanakua na jeuri wanapokumbuka pia kua siku hizi wameletewa dawati la kuwatetea. Na ukijumuisha asili ya ubinafsi walionayo qmamae yani ni kichaa kapewa mashine gun sokoni.

vijana nawashauri msioe ndoa ilikua zamani sikuizi ndoa ni jehanam kwa mwanaume.
Dawati la.jinsia pia ni eneo linalomuangalia mwanaume.kama tatizo.la ndoa.

Kunahitajika haya mambo kuzungumzwa na kupatiwa ufumbuzi.

Sheria ya ndoa irekebishwe
 
Hii kampeni ilianza utani utani, ila naona inashika kasi sasa, hata kama umeoa unaanza kuwaza faida na hasara za ndoa yako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]

Mimi napenda Sana Madem WA kizungu akikupenda kakupenda kweli japo sio wote. Unakuwa huna hata presha!

Nimewahi kudate na mtoto mmoja kutoka Poland alikuwa ananipenda Sana sema nilimletea ujanja WA akili za kitanzania akanifungia vioo. Kwa drama za Madem WA bongo namkumbuka Sana Agnieszka wangu mwanaume aliekupata kapata Dhahabu dadeki.

Kingine watanzania karibuni kutafuta exposure hata nchi za nje. Kuna Madem kibao wameumizwa wanatafuta company Yani demu anajileta mwenyewe.
 
Mimi nipo kwenye ndoa na ninapambana bila kuchoka nichomoke kwenye ndoa kutokana na mambo ya ndani ya ndoa yalivyo.

Nilikuwa kimya nasoma maoni ya wanaokataa ndoa na wanaoipa chapuo ndoa.

Hoja yangu imebase kwenye mantiki zolizowekwa na sheria. Sheria ya ndoa ya Tanzania inapeleka hasara kubwa kwa wanaume na kumfaidisha sana mwanamke.

  1. Sheria ya ndoa inamtaka mwanaume kumtunza mke wakati wote wawapo kwenye ndoa
  2. Sheria ya ndoa inammilikisha mwanamke mali za mwanaume za ndani ya ndoa. Hapa maana yake jasho la mwanaume linagawanywa kuwa jasho la wanandoa wote wakati wa ndoa
  3. Endapo wakaamua kutalikiana, mwanaume hupewa gawio lisiloakisi jasho lake na mwanamke hupata gawiwo zaidi ya jasho lake.
  4. Sheria ya ndoa haimpi jukumu mwanamke ndani ya ndoa bali majukumu.yote anapewa.mwanamume
KUna vitu vingi havijakaa sawa kwenye ndoa ambavyo vinawasababisha vijana kuwa bold and clear kukataa ndoa.

Tuzungumze maboresho ya sheria ya ndoa ndipo vijana waanze kurejea ndoani.

Mie.mwenyewe nataka leo kesho.kutemana na mwanandoa mwenzangu..
Pole sana mkuu Msanii kwa haya unayopitia lakini vitabu vya dini vilituasa tuishi nao kwa akili na sio akili tuu bali hekima, busara na akili kubwa sana
Kuna mengine siwezi kuyasema hapa lakini ukishaona dalili anza kuwa na mipaka kwenye mambo ya msingi na yale ya muhimu
 
Yaani wewe ni mbinafsi, mwanamke hupewa zaidi sababu wewe ukiacha unaweza kuoa mwanamke mwingine Ila mwenzio kupata mwenza Tena ni ngumu, hii ni sawa na kupotezewa time, umewaza pesa zako tu umewaza TIME kama investment…??????? umeshindwa kujua time is real investment,,, Km unabisha muulize sir God akupe time zaidi pale unapofikwa na umauti… pili tunapoteza Resources nyingi kulea,,,,, ndio maana serikali yetu tukufu 🤣🤣🤣🤣😆😆😆😆😆😆inatukumbuka pindi tunapoachana na mabazazi Km wewe lol
 
Pole sana mkuu Msanii kwa haya unayopitia lakini vitabu vya dini vilituasa tuishi nao kwa akili na sio akili tuu bali hekima, busara na akili kubwa sana
Kuna mengine siwezi kuyasema hapa lakini ukishaona dalili anza kuwa na mipaka kwenye mambo ya msingi na yale ya muhimu
Mkuu
Kuna unyama.mwingi sana kwenye ndoa.

Mungu atupe hizo akili za kuishi nao hawa watakatifu wa Bwana kwa sababu hizi akili tulizonazo zimeshindwa zoezi hilo
 
Wanake wanaposikia vijana hawataki ndoa wanapinga ndoa, huja na kejeli na matusi eti ni mashoga utasikia upinde wa mvua., ila kimsingi vijana wana hoja.
Ndio maana kwenye huu mjadala ni bora nijadiliane na mwanamume mwenzangu.

Wanawake wakiona umeandika KATAA NDOA NDOA NI UTAPELI wanaanza kutunanga eti sisi mabwabwa.

Tena Kelsea anaenda mbali zaidi ana msemo wake "ndoa ni kwa ajili ya wanaume wenye akili tu"
🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom