raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Mbona ulioa na kelele za ndoa hazijaanza leo ina maana hujawahi kusikia acha watu waoane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NAKAZIAkataa ndoa.
Punda wa Dobi masta.. it is now alright.Kwa hiyo umeshindwa kumpiga talaka?
Au unaogopa kugawana kilichobakia wakati yeye kafanya emblezement?
Hizo hekalu zimerudi mikononi mwako?
Au ndio punda wa dobi?
Mkuu kwema,Mbona ulioa na kelele za ndoa hazijaanza leo ina maana hujawahi kusikia acha watu waoane
Nimeimudu fresh kabisa..😀Kwa kuchanganya lugha huku lazima ndoa iwe chungu, pambana na hali yako
Kinachokutoa kamasi ni nini sasa!Nimeimudu fresh kabisa..😀
Tuliza tako.. kaa pale....Kinachokutoa kamasi ni nini sasa!
umeandika kidemu sanaHi friends.
Nasikitika kwamba I have to make this on public domain, offcourse I have healed, but just to share experience with young friends who wants to get into this Devine calling😀
Been married for something like 13 yrs na huu ni uzoefu wangu.
Wakat vijana wengi wakiamini kwamba ukioa maisha ya ndoa ni Mazur, ya kujenga maisha na familia, asilimia kubwa ni one man army.
Miaka Mitano iliyopita nikahamishwa kikaz nikahamia Kanda ya Kati, Shiraka moja la kimataifa, perdiem daily (hardship allowance), mileage na facilitation fund, nikasema kimoyo moyo, bhana hapa nikimaliza contract nikaendelea kufanya kaz za kitumwa kutuma report kila siku, nimelaaniwa😀
Nikaanza harakat, mimi ni hard-core hustler, tukaelewana na mwenzangu, bhana..
Hapa na hapa, nikafungua kampuni, mauzo,miez miwil ming bhana, yamenyooka.. nikasema sasa nifungue offic Kat Kat ya mji.. hapa na pale, nikiwa natafuta nikapata mtu anauza same business, kisa mismanagement na kupandishiwa kodi(offcorse I have deep knowledge of the industry).. hapa na hapa tukakubaliana.. nikalipa cash...
Na wala hela sikutoa kwenye business, hapo hapo Director ni my life partner.. niogope nin. Nikafanya renovation Safi, nikaemploy then nikasepa.
Mwez wa kwanza,wapil,game ikaitika.. sasa nikasema ili capital igrow kitu chochote nisitoe dukan, nikampa bi mkubwa Access ya Baadhi ya account zangu za Bank.. ,yani allowance zikiingia 70% naweka huko wasipate shida ndogo ndogo... the rest nakula bia.. a man full of happiness and a purpose..au vp😀
Bhana,
Muda ukaenda, contract inataka kukata na me Nina kibri, salary ya mwaka mzima ni profit ya siku mbil tatu... nikasema here we go... maneno ndogo ndogo kwa offc sijali.
Office wakanistukia, maana Kuna tender tumewah supply pale.. ila alienda bimkubwa.. me wala sikujal maana it was from my hard work and nobody can tell me nothing😀.. I can leave them anytime.
Ikaenda majungu kwamba team yangu is highly paid of the entire organization... nikasema no problem, if the call comes I will take it..sio shida zangu.
Nikichek kwa system daily revenue ni mwendo wa kaz kaz.. nikasema thank you Almight.
Fast forward contract inakata, kumbuka nothing I'm taking from the company.. nothing.. hadi kiberit ni cash from other source.. sio business.
Sasa Kuna deal nikapata mahal, Kuna mtu anauza business yake, my close friend.. wanataka kuhama the amount waliotaja nikamwambia director... akaniambia we don't need any more business what we have is enough.
Bhana, jamaa kanionesha profit statement imenyooka hiv.. ila mwamba kapiga Chini, I felt so bad kwamba I will loose this good money and yet tent my relationship with the friend.
Contract ikakata buana, narud zangu town.
Nikaomba bank statements... nilichokikuta... duh... nikaombs auditing& investigation... bhana bhana resutls were devastating 😭😭😭😭kumbuka I buy everything hata car fuels for the "life partner" and blalblah away from my business.. good guy right?
Operating costs are clear..40% from the GP.. so the minimum balance to be saved was enogh to do alot you can imagine of...(samahan sitaj number maana Kuna watu watajisikia vibaya,)
Then, to my surprise naangalia Bank statement nalia.. .I decided to go far.. kutafakari... sina cha kufanya.
My close friends and my family advice me to forgive, and i did.
Nikaanza upyaaaa... like a beginner my guy😅
Baadae naambiwa kwaza mali hamna, madeni ya stock kama yote, yet kwenye account Kuna peanut... duh.
Bhana... kufuatilia kidogo bimkubwa ashajenga hekalu mbil na gar kwa ndugu kama wawil.
Tukiwa tunazozana kuhusu hizo issue, my son called me the other morning, and I quote him
"Dad, nilisikia jana unagombana na mama, naomba usiondoke, nakupenda sana nampenda sana na mama mkiachana mimi nitateseka sana"
... I sat down and cried and said still its not the end of life.
My parents called me, asked for what happened, explained to them and ask me to hold my head up, they know it gonna be alright, devel can challenge you and you will lose everything,
called my "life patner" and ask us to hold hands and forgive each other life must go on.. we prayed and life keep on keeping on..
...but trust in her went down to zero.
Eventually I kept my promise leave the job and take my shot for my call..
Business only.
Fast forward takeover the business, prayed and back to normal strong and kicking.
My point to any kid who want to Mary.
1. Marriage isn't for the weak, kama una viwivu na has Ira za kijinga kataa ndoa.
2. Marriage isn't for constant sex.. kwanza hutainjoy kama mlivokuwa wachumba.
3. Hakuna mjanja wa ndoa, watu wanavumila weakness tu.
4. Marriage can have you jailed or killed... tafuta unaemudu hasira zake Lakin as I said earlier usioe kama ni mtu wa hasira na visasi.
5. Marriage is a bad business.. unaweza kama unaweza ishi mwenyewe the better.. maisha ni Mazur sana ukiwa mwenyewe Lakin mwenye focus na life yako..
6. Money is the king.. achana na maneno ya watu.. tafuta hela sana.. hizi story za mke wangu hiv au vile ni za kijinga na wapumbavu.
7. Wanaosema ndoa tamu hawatak kuwaambia ukwel ni Jehanam ambayo kuchomoka ni kidonda cha kudumu.
8. Wanaosema nikikuta mke wangu sijui anacheat nitaua sijui amefanya hiv au vile nitafanya hiv au vile ni vijana wanaobalehe.. hayajawakuta.
9. Ndoa ni nyumba ya msamaha... na vingine ni kupotezea.
10. Stop being investigation officer.. msishikiane simu for any thing good or bad.. kila mtu awe na Sim yake...
11. Learn to carry your business yourself.. cry, fall, fall again, carry on.. it gonna be alright.
Last.
Marriage is the home of hope and forgiveness sio sehem ya starehe na utam... a matter of fact it's a bad business,.
ndio maana wenzetu wote wenye utajir wa kutosha are either single or divorced... and the list is endless.
My few cents.
Sorry if you feel that way😀umeandika kidemu sana
jikazeSorry if you feel that way😀
Ndo maana mkeo kakutoa kamasi,Tuliza tako.. kaa pale....
Kwema bruhMkuu kwema,
Bhana.. nasema tuwambie vijana ukwel... sio wasioe.
Njoo na weweNdo maana mkeo kakutoa kamasi,
Siambatani na mabwege wanaolizwa na wake zaoNjoo na wewe
Kabisa.. ila tusiwambie ndoa tamu😀Kwema bruh
Kweli vizuri kupeana hints lkn kila mtu atataka aone mwenyewe ukizingatia kipindi cha uchumba kila mtu anaona mbele ni maziwa na asali tu 😁
Mpaka Black America hawataki ndoa, ndoa ni mateso, stressful, mwanamke anakuja anachuma ambacho hajatolea jasho. Kisa ndoa wakati huo unaweza kupata pussy/utelezi sehemu yeyote bila shida.Hi friends.