raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Na sio chungu kwa kila mtuKabisa.. ila tusiwambie ndoa tamu😀
Kuna shangazi yangu mmoja ni mtu mzima anasema toka aolewe mpaka sasa hajawahi hata kunyooshewa kidole na mme wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na sio chungu kwa kila mtuKabisa.. ila tusiwambie ndoa tamu😀
Muulize mume wake akwambie😀Na sio chungu kwa kila mtu
Kuna shangazi yangu mmoja ni mtu mzima anasema toka aolewe mpaka sasa hajawahi hata kunyooshewa kidole na mme wake
Sorry for that...Uandishi mbovu
Mme wake sio muongeaji mtaratibuMuulize mume wake akwambie😀
NimekumisiNdo maana mkeo kakutoa kamasi,
Ukimuuliza atakwambia ukwelMme wake sio muongeaji mtaratibu
Na wewe unampiga tukio mumeo au? Mbona kama umepanic?? 😇😇😇Siambatani na mabwege wanaolizwa na wake zao
Si zile belife kwamba ..mambo yanaenda mnapendana ndoa ni tamu?Ulikosea kumwachia biashara mwanamke,Baba ndio controller wa Kila kitu kwenye familia mke ni msaidizi,mwanamke acontrol kama haipo Duniani ulikosea kugawa full madaraka.
Asante, sijakumanya lakiniNimekumisi
Njoo nikukate wenge bibie... mtoto mzur unajivurugaSiambatani na mabwege wanaolizwa na wake zao
Wala usiwaze, ntakuchekiAsante, sijakumanya lakini
Mkiambiwa ukweli mnageuza mada,Na wewe unampiga tukio mumeo au? Mbona kama umepanic?? 😇😇😇
Hicho kikatio ungekitumia kwa mkeo usingekuwa unajiliza humuNjoo nikukate wenge bibie... mtoto mzur unajivuruga
Nasubiri 🙄Wala usiwaze, ntakucheki
Okay sawaMkiambiwa ukweli mnageuza mada,