Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
ndoa ndoanoHello.
Team kataa ndoa.
Hebu Tuambie una sababu ipi inayokufanya ukatae ndoa na uone ndoa ni batili.
Ilhali ni kitu ambacho Mungu,alikipitisha.
Karibu kwa mjadala.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndoa ndoanoHello.
Team kataa ndoa.
Hebu Tuambie una sababu ipi inayokufanya ukatae ndoa na uone ndoa ni batili.
Ilhali ni kitu ambacho Mungu,alikipitisha.
Karibu kwa mjadala.
Haya ni maneno yanayozuka tu ..Hakuna mjadala bango ni lile lile KATAA NDOA
Acha tu ndugu yangu. Kuna kibopa mmoja alikuwa anachakata mke wa rafiki yake wa toka ujanani ila bahati mbaya akawa kafilisika. Yule fukara watu wakimwambia jamaa yako anamchakata mkeo basi yeye ataenda kwa tajiri kumuuliza mbona watu wanasema unatafuna mke wangu... tajiri atacheka na kumwambia watu wanataka kutugombanisha kwa sababu ya urafiki wetu na tumetoka mbali. Bahati mbaya yule fukara alifariki ghafla mwaka 2010 kwa ugonjwa wa pnemonia. Tajiri alishughulika na msiba na kubeba gharama karibu zote. Haikupita miezi kadhaa mke wa marehemu akajifungua. Kumbe alikuwa na mimba ambayo pia haikuwa ya marehemu bali huyo tajiri. Tunavyoongea kwa sasa tajiri ni kama kaitelekeza familia yake na kuambatana na mjane ili kuwa mwili mmoja..Binafsi ninayo yashuhudia yanafanywa na wake za watu ndo yananikatisha tamaa, hasa wenye waume masikini na kipato cha kati, Wadau wenye magari. wanakula sana
Shetani yuko kaziniHello.
Team kataa ndoa.
Hebu Tuambie una sababu ipi inayokufanya ukatae ndoa na uone ndoa ni batili.
Ilhali ni kitu ambacho Mungu,alikipitisha.
Karibu kwa mjadala.
Hello.
Team kataa ndoa.
Hebu Tuambie una sababu ipi inayokufanya ukatae ndoa na uone ndoa ni batili.
Ilhali ni kitu ambacho Mungu,alikipitisha.
Karibu kwa mjadala.
Mmoja wao ni WadizPia nilichogundua Mkuu katika hao wakataa ndoa wapo wengine kiukweli ukweli wana ndoa zao kabisa ila nyuma ya keyboard ni wakataa ndoa. 😀