Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

1. Ukiamua kuoa hebu kaa na mkeo ndani ya paa moja.

2. Kama wote ni wafanyakazi basi lazima mmoja akubali kuacha Kazi ili kulea hiyo ndoa. Vinginevyo mwanaume mwenzangu utasaidiwa sanaaa.
🔨🔨🔨 Kama huishi nae basi analiwa, na kama wewe ni mzee wa masafa marefu basi ni analiwa sana.

Kuna kazi ukifanya inabidi uwe mtawa tu, hutakiwi kuoa
 
Salaam enyi wanachama wa kataa ndoa, Mimi kama katibu mwenezi wa kataa ndoa.

Ime nibidi kuwa andikia tena wanachama wetu, ili kuzidi kushikilia misimamo na utaratibu wetu wa kukataa ndoa.

Lakini pia nime ona tukumbushane, Juu ya suala la kujibu tuhuma na kejeli, ambazo chama chetu kina pewa.

Aisee Wana tuponda Sana, kila mfano Wana tutolea Sisi.
Sasa ni muda sahihi wa viongozi wetu na Wana chama wake kupaza sauti za kuji tetea.

Wana paswa kutambua, kila mtu ana Uhuru wa kuchagua kipi kilicho Bora kwake.
Kikubwa hatu vunji sheria za nchi.

kATAA NDOA LINDA UHURU WAKO.
kATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
kATAA NDOA LINDA UCHUMi WAKO .


I mean no malice to nobody
th (8).jpeg
 
Back
Top Bottom