Maswala ni mawili hapa
1.aidha uoe Second hand(21 and above) used Ila watu kama baltazar ni nadra mkeo kuwakwepa sababu tiyari ni daladala watu wengi washaipanda na kazoea.
2.Ukaishi nyuma ya nondo miaka 30 kwa kutoka na watoto wadogo maana sababu ni kuwa wenye bikra wapo shule kwenye umri huu(15-19) Tena vijijini au watoto wa geti kali au nenda zanzibar ambako wanathamini sealed ya mbele
Anyways kimsingi baltazar ni miongoni mwa kioo ambacho kimeweza "ku-leflect" na kudhihirisha ni kwa namna gani wanawake wanavotumika maofisini and pia behind the scene wanapokua mbali na waume zao
Lakini Sasa kuna wale ambao mnasema mwanamke anatulizwa na pesa Sasa Ebu jiulize ni wangapi kwenye hiyo list ya 400 wamegongewa wake zao? Na wanapesa majibu unayo mwenyewe.
Aidha, mzee baltazar anazidi kuwapa shavu kataa ndoa na team-oa bikra hapo bao ni
(oa bikra) 1-1(kataa ndoa)
Sasa just imagine kwa hao masecond hand (used) namna wanaovyofinyangwa huko makazini, kwenye mitoko na hao wa kuita he is just a friend, in the voice of ni "mzazi mwenza" lazima akamuone mtoto wao🤣kumbe anaenda kushenyentwa
Naomba niwasilishe kwa kusema, kwamba yasikie kwa jirani yako.
Lakini fanya maamuzi sahihi kwa longterm kwa maisha ya Leo na baadae unapochagua mwenza.
Ukioa mwanamke used "jiandae kwa disappointment. (ruksa kukata rufaa na pingamizi).