Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Basi kama ni hiyo scenario pekee ndio mnaitumia basi kazi ipo. Ndio maana chenga nyingiii.
Nani kasema hiyo ndio scenario pekee...? BTW: kwani kunahitajika scenario ngapi ili uamini kuwa Watakatifu wanatuombea....??Basi kama ni hiyo scenario pekee ndio mnaitumia basi kazi ipo. Ndio maana chenga nyingiii.
Kazi ipo.Na kwataarifa yako, Watakatifu wote pamoja na B/maria kazi yao ni kutuombea sisi....
Wao ni kanisa shindi....
Sehemu chache!!Nani kasema hiyo ndio scenario pekee...? BTW: kwani kunahitajika scenario ngapi ili uamini kuwa Watakatifu wanatuombea....??
Hivi unajua Utatu Mtakatifu haungelewi kabisa kwenye Biblia...? Ni sehemu chache tena kwa mtu anayechimba vizuri maandiko haitoshelezi kuthibitisha Utatu Mtakatifu.....
Yohana 2:1 harusi ya Kana alafu Yohana 2:5...,ila narudia tena wewe unahitaji kitu kinaitwa Taaluma Mungu (Theology) kwani wale wanafunzi hawakumuona Yesu mpaka wamfuate mama yake awaombee...?ndugu ebu uwe muelewa wale wanaomumba Maria hawakosei,biblia ni kitu kigumu sana kukielewa kama ujajipa ufahamu wenye mtazamo wa kiroho,Mkuu acha siasa, taja kifungu kinachotutaka tumuombe Mungu kupitia maria.
Walikuwa kwenye herehe tu wala hawakuwa ibadani kwamba wakamfuata awaombee kwa Mungu wasamehewe dhambi, walimfuata awaombee mvinyo.
Sasa weka siasa na porojo pembeni, lete mafungu yanayotutaka tumuombe Mungu kupitia kwa maria.
Hivi walimuomba nini vile!!!Yohana 2:1 harusi ya Kana alafu Yohana 2:5...,ila narudia tena wewe unahitaji kitu kinaitwa Taaluma Mungu (Theology) kwani wale wanafunzi hawakumuona Yesu mpaka wamfuate mama yake awaombee...?ndugu ebu uwe muelewa wale wanaomumba Maria hawakosei,biblia ni kitu kigumu sana kukielewa kama ujajipa ufahamu wenye mtazamo wa kiroho,
Na mimi nimekuuliza unahitaji hizo unaziita scenario ngapi ili kuthibitisha uweza wa Mungu...?Ya maria ni moja tena hakuombwa aombee watu, bali akaombe mvinyo tu.
Hebu itafakari hiyo vyema kwakujiondoa ndani ya box.
Unafahamu Theology...?Hivi walimuomba nini vile!!!
Hapa wewe ndio unahitaji taaluma Mungu.
Alafu ebu nenda kasome Luka 1:42-45 utapata ile sala ya Salamu Maria,tafadhali sana uwe muelewa kama hutaki kuelewa basi kaa ulivyo hakuna anayekulazimisha uamini,theology is better to u guyz.Sidhani kama umejibu hata swali langu zaidi ya siasa!
Yesu aliposema "Baba yangu wasamehe" au "nami tawaombea kwa baba" inamaana alijisahau kuwa hapaswi kutuombea?
Na alipoondoka alisema atatuachia msaidizi ambae ni Roho mtakatifu, tukiomba twaomba kwa Mungu baba Mungu mwana na Mungu roho mtakatifu, sio kupitia kwa mama maria.
Naomba mstari hata mmoja katika Biblia ambao unatutaka tumuombe maria atuombee kwa Mungu.
Rejea biblia mistari nimeshakupa usinichoshe.Hivi walimuomba nini vile!!!
Hapa wewe ndio unahitaji taaluma Mungu.
Hiyo moja unayoizungumzia, hatahaina uhusiano na kumuomba Mungu kupitia kwa maria, maana alimfuata Yesu na kumwambia hawana/wameishiwa mvinyo.Na mimi nimekuuliza unahitaji hizo unaziita scenario ngapi ili kuthibitisha uweza wa Mungu...?
Yani ikiwa moja basi haina nguvu...???
Ndio maana nikakupa mfano...wa Utatu Mtakatifu ambao maandiko hayajazungumzia kabisa....
Ile sio sala ni salamu.Alafu ebu nenda kasome Luka 1:42-45 utapata ile sala ya Salamu Maria,tafadhali sana uwe muelewa kama hutaki kuelewa basi kaa ulivyo hakuna anayekulazimisha uamini,theology is better to u guyz.
Ilitoholewa kwenye biblia na kufanywa sala na mababa wa kiroho(Theologist) waliobobea.Ile sio sala ni salamu.
Tena ukisoma historia ya kanisa katoliki ndio utakimbia usahau miguu.Unafahamu Theology...?
Mtahangaika sana...Kanisa la Methodist sasa limeanza kumtambua Mama wa Mungu.....Hii ni baada ya kupitia church history na church Fathers...
Soma Wanafalsafa nguli kama kina Agustino wa Hippo na Thomas More uone..
Hayo siyo maombi...?Ila mmekazana tu na harusi ya Kana ambayo mama alimfuata mwanae(kwakuwa alijua ni Mungu na anao uwezo) kumueleza kuwa wameishiwa mvinyo.
Waliobobea au waliopotoka?Ilitoholewa kwenye biblia na kufanywa sala na mababa wa kiroho(Theologist) waliobobea.
Hiyo scenario haina mahusiano na unachotaka kukihalalisha.Hayo siyo maombi...?
Bado hujanijibu., tunahitaji hizo unazoita scenario ili kuthibitisha mambo ya ki Mungu...??
Wewe unaijua historia ya Kanisa Katoliki...? Yani unataka kuniambia unaijua historia ya Dunia, angali historia ya babu mzaa nyanya yako yule wa dongobeshi huijui...??Tena ukisoma historia ya kanisa katoliki ndio utakimbia usahau miguu.
Biblia hiyo unayozungumzia ni Mali ya Kanisa Katoliki....Tumia Biblia iwe taa ya miguu yako, acha kukaririshwa. Mbona neno liko wazi!!!
Haina mahusiano kivipi...???Hiyo scenario haina mahusiano na unachotaka kukihalalisha.
Ona sasa kama kawaida yako umeanza zile mambo zako za kupanik. Haya kalale.Wewe unaijua historia ya Kanisa Katoliki...? Yani unataka kuniambia unaijua historia ya Dunia, angali historia ya babu mzaa nyanya yako yule wa dongobeshi huijui...??
Biblia hiyo unayozungumzia ni Mali ya Kanisa Katoliki....
Maadam nimeshakuona wewe ni mtupu kichwani...Waliobobea au waliopotoka?