MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

Basi kama ni hiyo scenario pekee ndio mnaitumia basi kazi ipo. Ndio maana chenga nyingiii.
Nani kasema hiyo ndio scenario pekee...? BTW: kwani kunahitajika scenario ngapi ili uamini kuwa Watakatifu wanatuombea....??

Hivi unajua Utatu Mtakatifu haungelewi kabisa kwenye Biblia...? Ni sehemu chache tena kwa mtu anayechimba vizuri maandiko haitoshelezi kuthibitisha Utatu Mtakatifu.....
 
Na kwataarifa yako, Watakatifu wote pamoja na B/maria kazi yao ni kutuombea sisi....

Wao ni kanisa shindi....
Kazi ipo.
Nani kasema hiyo ndio scenario pekee...? BTW: kwani kunahitajika scenario ngapi ili uamini kuwa Watakatifu wanatuombea....??

Hivi unajua Utatu Mtakatifu haungelewi kabisa kwenye Biblia...? Ni sehemu chache tena kwa mtu anayechimba vizuri maandiko haitoshelezi kuthibitisha Utatu Mtakatifu.....
Sehemu chache!!
Ya maria ni moja tena hakuombwa aombee watu, bali akaombe mvinyo tu.
Hebu itafakari hiyo vyema kwakujiondoa ndani ya box.
 
Mkuu acha siasa, taja kifungu kinachotutaka tumuombe Mungu kupitia maria.
Walikuwa kwenye herehe tu wala hawakuwa ibadani kwamba wakamfuata awaombee kwa Mungu wasamehewe dhambi, walimfuata awaombee mvinyo.

Sasa weka siasa na porojo pembeni, lete mafungu yanayotutaka tumuombe Mungu kupitia kwa maria.
Yohana 2:1 harusi ya Kana alafu Yohana 2:5...,ila narudia tena wewe unahitaji kitu kinaitwa Taaluma Mungu (Theology) kwani wale wanafunzi hawakumuona Yesu mpaka wamfuate mama yake awaombee...?ndugu ebu uwe muelewa wale wanaomumba Maria hawakosei,biblia ni kitu kigumu sana kukielewa kama ujajipa ufahamu wenye mtazamo wa kiroho,
 
Hivi walimuomba nini vile!!!
Hapa wewe ndio unahitaji taaluma Mungu.
 
Ya maria ni moja tena hakuombwa aombee watu, bali akaombe mvinyo tu.
Hebu itafakari hiyo vyema kwakujiondoa ndani ya box.
Na mimi nimekuuliza unahitaji hizo unaziita scenario ngapi ili kuthibitisha uweza wa Mungu...?

Yani ikiwa moja basi haina nguvu...???

Ndio maana nikakupa mfano...wa Utatu Mtakatifu ambao maandiko hayajazungumzia kabisa....
 
Hivi walimuomba nini vile!!!
Hapa wewe ndio unahitaji taaluma Mungu.
Unafahamu Theology...?

Mtahangaika sana...Kanisa la Methodist sasa limeanza kumtambua Mama wa Mungu.....Hii ni baada ya kupitia church history na church Fathers...

Soma Wanafalsafa nguli kama kina Agustino wa Hippo na Thomas More uone..
 
Sidhani kama umejibu hata swali langu zaidi ya siasa!
Yesu aliposema "Baba yangu wasamehe" au "nami tawaombea kwa baba" inamaana alijisahau kuwa hapaswi kutuombea?

Na alipoondoka alisema atatuachia msaidizi ambae ni Roho mtakatifu, tukiomba twaomba kwa Mungu baba Mungu mwana na Mungu roho mtakatifu, sio kupitia kwa mama maria.

Naomba mstari hata mmoja katika Biblia ambao unatutaka tumuombe maria atuombee kwa Mungu.
Alafu ebu nenda kasome Luka 1:42-45 utapata ile sala ya Salamu Maria,tafadhali sana uwe muelewa kama hutaki kuelewa basi kaa ulivyo hakuna anayekulazimisha uamini,theology is better to u guyz.
 
Na mimi nimekuuliza unahitaji hizo unaziita scenario ngapi ili kuthibitisha uweza wa Mungu...?

Yani ikiwa moja basi haina nguvu...???

Ndio maana nikakupa mfano...wa Utatu Mtakatifu ambao maandiko hayajazungumzia kabisa....
Hiyo moja unayoizungumzia, hatahaina uhusiano na kumuomba Mungu kupitia kwa maria, maana alimfuata Yesu na kumwambia hawana/wameishiwa mvinyo.

Hakuna uhusiano wowote na kumuomba Mungu kupitia kwa Maria.
Mwanzo mlisema Maria alipaishwa kwenda mbinguni na yuko mbinguni akituombea, nikakuhoji ni wapi panaonyesha hayo? Haukunipa jibu.

Ila mmekazana tu na harusi ya Kana ambayo mama alimfuata mwanae(kwakuwa alijua ni Mungu na anao uwezo) kumueleza kuwa wameishiwa mvinyo.
 
Alafu ebu nenda kasome Luka 1:42-45 utapata ile sala ya Salamu Maria,tafadhali sana uwe muelewa kama hutaki kuelewa basi kaa ulivyo hakuna anayekulazimisha uamini,theology is better to u guyz.
Ile sio sala ni salamu.
Alafu walaa haina uhusiano na kumuomba yeye atuombee kwa Mungu, ndio maana hata nyie husema "kwa jina la Baba,Mwana na Roho mtakatifu" hamumuweki mama.
 
Unafahamu Theology...?

Mtahangaika sana...Kanisa la Methodist sasa limeanza kumtambua Mama wa Mungu.....Hii ni baada ya kupitia church history na church Fathers...

Soma Wanafalsafa nguli kama kina Agustino wa Hippo na Thomas More uone..
Tena ukisoma historia ya kanisa katoliki ndio utakimbia usahau miguu.
Tumia Biblia iwe taa ya miguu yako, acha kukaririshwa. Mbona neno liko wazi!!!
 
Ila mmekazana tu na harusi ya Kana ambayo mama alimfuata mwanae(kwakuwa alijua ni Mungu na anao uwezo) kumueleza kuwa wameishiwa mvinyo.
Hayo siyo maombi...?

Bado hujanijibu., tunahitaji hizo unazoita scenario ili kuthibitisha mambo ya ki Mungu...??
 
Tena ukisoma historia ya kanisa katoliki ndio utakimbia usahau miguu.
Wewe unaijua historia ya Kanisa Katoliki...? Yani unataka kuniambia unaijua historia ya Dunia, angali historia ya babu mzaa nyanya yako yule wa dongobeshi huijui...??

Tumia Biblia iwe taa ya miguu yako, acha kukaririshwa. Mbona neno liko wazi!!!
Biblia hiyo unayozungumzia ni Mali ya Kanisa Katoliki....
 
Wewe unaijua historia ya Kanisa Katoliki...? Yani unataka kuniambia unaijua historia ya Dunia, angali historia ya babu mzaa nyanya yako yule wa dongobeshi huijui...??

Biblia hiyo unayozungumzia ni Mali ya Kanisa Katoliki....
Ona sasa kama kawaida yako umeanza zile mambo zako za kupanik. Haya kalale.
 
Waliobobea au waliopotoka?
Maadam nimeshakuona wewe ni mtupu kichwani...

Turudi kwenye mada husika...???

Tuambie sababu zilizomfanya Martin Luther kupunguza vitabu 7 vya Agano la Kale ...

Kisha tueleze ni kwanini alitaka kuondoa vitabu vya Ufunuo, Yakobo na Waebrania...???

Turudi kwenya mada sasa...
 
Back
Top Bottom