Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ufunuo 5:8Lete andiko wapi bibilia.inasema watakatifu wawaombee
Hajasahau mkuu, bali anafunika makusudi ili kupamba imani yake.Naona hujazungumzia cheo cha papa na mamlaka yake, umeshau hoja ya Marton Luther ya mamlaka milyo mpa maria kuwa muombezi wenu
Ndiyo maana Waislamu wakiwabana kwenye angle mnakosa majibu sababu ya uelewa mdogo ....Yesu ni Mungu kweli na Mtu kweli ....lazima ujue wakati gani unaweza kutofautisha haya ....Sidhani kama umejibu hata swali langu zaidi ya siasa!
Yesu aliposema "Baba yangu wasamehe" au "nami tawaombea kwa baba" inamaana alijisahau kuwa hapaswi kutuombea?
Na alipoondoka alisema atatuachia msaidizi ambae ni Roho mtakatifu, tukiomba twaomba kwa Mungu baba Mungu mwana na Mungu roho mtakatifu, sio kupitia kwa mama maria.
Naomba mstari hata mmoja katika Biblia ambao unatutaka tumuombe maria atuombee kwa Mungu.
Nzuri! Unakubali kuwa Watakatifu wapo....Good!watakatifu waliokufa wamelala mtu alie lala bibilia inasema kumbukumbu zake hazifanyi kazi sasa kamahazifanyikazi atakumbukaje kuwaombea huu
Ni shida sana mkuu!!! Yani hawa watu inabidi twende nao taratibu....Ndiyo maana Waislamu wakiwabana kwenye angle mnakosa majibu sababu ya uelewa mdogo ....Yesu ni Mungu kweli na Mtu kweli ....lazima ujue wakati gani unaweza kutofautisha haya ....
Mkitaka majibu ya hayo anzisheni mada nyingine..Hajasahau mkuu, bali anafunika makusudi ili kupamba imani yake.
Hahaha..Anaanza kumchafua Martin Luther kwa kupindisha habari na hadith za kutunga.
Mbona haujibu maswali yangu bali unaleta siasa? Achana na Yesu maana huyo namtambua ni Mungu.Ndiyo maana Waislamu wakiwabana kwenye angle mnakosa majibu sababu ya uelewa mdogo ....Yesu ni Mungu kweli na Mtu kweli ....lazima ujue wakati gani unaweza kutofautisha haya ....
Ufunuo 5:8
"Hata alipokitwaa kile kitabu, hao wenye uhai 4 na wale wazee 24, wakaanguka mbele za mwana kondoo, kila mmoja wao na kinubi na vitasa vya dhahabu, vilivyojaa manukato ambayo ni MAOMBI YA WATAKATIFU"
Evidence plz ebu tuaminishe kwamba RC wametumia kitabu cha Ufunuo kinatumika hvyo unavyosema.Labda nikusaidie mtoa mada kitabu cha ufunuo nimaono ya badae ambayo yanaonesha msho wadunia sasa toka rc imeanzishwa mpaka leo dunia imeshaisha... Kitabucha ufunuo kinaonesha mambo yawakati ujao lakin kathoriki mmebadilisha nakuwa nakuyafanya yawakati huu hapo ndipo mnapo kosea
Mbona swali langu la msingi mnalikimbia?Tunaposema Yesu alikuwa Mungu kweli na Mtu kweli unaelewa nini...?
Kuwa makini kuna wakati Yesu alikuwa ana-switch kotekote....Kuna wakati alikuwa anajifanya mtu wa kawaida na kuna wakati anajifanya Mungu..
Mkuu hi 'wahazalani' nlijua miongoni mwa vitabu vya biblia. Kidogo ni google. Sema nkashtuka kumbe ni uandishi wako mbovu. [emoji5]Jamani hivi nyiewatu munasoma bibilia gani.. yesu mwenyewe anasema mtuyoyote akiomba kwajina langu atapewa.. Si kwamajina ya watatifu.. watakatifu waliokufa wamelala mtu alie lala bibilia inasema kumbukumbu zake hazifanyi kazi sasa kamahazifanyikazi atakumbukaje kuwaombea huu siniuongo wahazalani kabisa
Mbona swali langu la msingi mnalikimbia?
Theological point of view, nimeanza hvyo alafu nakurudisha kwenye maandiko rejea kwenye harusi ya kana pale mvinyo ulipoisha wanafunzi wa Yesu walimfuata Maria mama take Yesu wakimuomba awaombee kwa mwanae ya kwamba mvinyo umekwisha na Maria aliwaombea kisha akarudi akawaambia chochote atakacho waambia fuateni,Swali kwako muuliza wale wanafunzi hawakuweza kumfuata Yesu na kumuomba mpaka wamfuate Maria mama yake, ndio maana nimeanza Theological na ndio maana makaasisi Katoliki wanasoma sana Theology (Taaluma Mungu)nafkr nitakuwa nimekujibu......!Sidhani kama umejibu hata swali langu zaidi ya siasa!
Yesu aliposema "Baba yangu wasamehe" au "nami tawaombea kwa baba" inamaana alijisahau kuwa hapaswi kutuombea?
Na alipoondoka alisema atatuachia msaidizi ambae ni Roho mtakatifu, tukiomba twaomba kwa Mungu baba Mungu mwana na Mungu roho mtakatifu, sio kupitia kwa mama maria.
Naomba mstari hata mmoja katika Biblia ambao unatutaka tumuombe maria atuombee kwa Mungu.