MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

Huwezi kuliona wanawake enzi hizo hawakuwa na heshima kwenye jamii, hivyo kabuli lake halikuwa kipaumbele
Heshima na kaburi vinauhisiano gani...???
Unataka kuniambia walikuwa hawazikwi bali wanatupwa...? Tupe ushahidi...? Unazijua tamaduni za kiyahudi za maziko..??

BTW: Baada ya ufufuko wa Yesu, B/Maria alipata umaarufu mkubwa sana...
Na Watu walianza kumtambua....
 
kabuli lake halikuwa kipaumbele
Na unaposema "kipaumbele" unataka kumaanisha kitu gani hasa...? Kipaumbele ni nini..?

Kwamba kaburi lipo ila halijapewa kipaumbele cha kuandikwa kwenye biblia...??? Ni kipaumbele gani unataka kuzungumzia hapa..?
 
Chunguza vzr kutoka 20:2-17,kisha linganisha na kanisa lako unalolitetea je lifuata hyo maagzo ya mwenye mamlaka?kama halifuat hyo jiulze linafuata ya nani mwngne anayedhan ana mamlaka kumzd Muumba wke.
 
Kwanini Martin Luther alipunguza 7 books za Agano la kale . ?

Kwanini alifanya attempt ya kuondoa vitabu vya Ufunuo, Yakobo na Waebrania...??

Jikite kwenye mada
 
Wakatoliki ni empty kabisa katika dini, kwanza wao wamechangia sana kuingiza desturi za kipagani za kirumi ndani ya kanisa. Biblia hawaijui wamebaki na mapokeo tuuuu.
 
Kuna watu wanadaioooh Kanisa Katoliki ndilo lililoanzishwa na Yesu. Yesu alianzisha imani ambayo Wakatoliki waliiasi na kuingiza upagani
 
Wakatoliki ni empty kabisa katika dini, kwanza wao wamechangia sana kuingiza desturi za kipagani za kirumi ndani ya kanisa. Biblia hawaijui wamebaki na mapokeo tuuuu.
Kwataarifa yako Biblia ni mapokeo kama ulikuwa hujui...
 
Kuna watu wanadaioooh Kanisa Katoliki ndilo lililoanzishwa na Yesu. Yesu alianzisha imani ambayo Wakatoliki waliiasi na kuingiza upagani
Jikite kwenye mada....Kwanini Martin Luther alipunguza vitabu 7 vya Agano la kale.....Na pia kwanini alitaka kunyofoa vitabu vya Ufunuo, Yakobo na Waebrania...?
 
Mbona huzungumzii kuhusu sanamu,ibada za wafu,toba,liturujia(mapokeo),ni mengi tu yanayoleta mkanganyiko na kufanya watu waondoke hadi Leo tofauti na padri martin luter.
 
Biblia Takatifu imeandikwa ni heri kuoa au kuolewa kuliko kuaka tamaaa alikuwa sahihi kabisa mijitu mnazini huko mnaiba halafu unaenda kutubu kwa binaadamu mwenzako pengine huyo unaetubu kwake ana mizigo kuliko hata uliyokuwa nayo na imeandikwa amtimae mtu kwa kumtamani huyo azini sasa kwa macho ya kibinaadamu mwanaume rijali apite binti manshallah weee wacha kabisa kawadanganyeni hao hao siku ya mwisho kila mtu ataubeba msalaba wake mwenyewe nasema ukiijua kweli nayo kweli itakuweka huru kwelikweli.
Kwani ile sala ya toba huwa mnasalishwa na Mungu live au huwa inakuwaje??
 
Ushasema walikuwa harusini na mama na mwanae walikuwepo, walipomuomba mama amwombe mwanae ni kawaida kwa kimuono wa kibinadamu.
Je ni wapi katika Biblia tunaambiwa tukitaka kumuomba Mungu basi tupitie kwa mama maria?
Kila andiko kwenye Biblia ni neno la Mungu yaani ni Mungu mwenyewe ....angalia unapofikiri unapinga Ukatoliki kumbe unampinga Mungu ....tukianza kuchagua andiko hili ni muono wa kibinadamu na hili ni Mungu tunaenda kubaya sana.....Yesu ni Mungu hivyo hatuombei bali yeye ndio mpaji ...ila Mapadre, wachungaji, watakatifu n.k wanaweza kutuombea kwa Mungu ....kama wewe ni Mkristo na huamini kuna maisha baada ya kifo basi ule ufufuko wa Yesu ulikuwa kazi bure ......kama Yesu alitokewa na Musa, Eliya kumtia moyo ....enzi zenu si mngesema ni wafu/ mizimu ile?
 
Na unaposema "kipaumbele" unataka kumaanisha kitu gani hasa...? Kipaumbele ni nini..?

Kwamba kaburi lipo ila halijapewa kipaumbele cha kuandikwa kwenye biblia...??? Ni kipaumbele gani unataka kuzungumzia hapa..?
Mkuu unafanya kazi nzuri sana ya kuinjilisha UKWELI na si short cut za ajabu ajabu ....Mungu akubariki ili uzidi kuwapa ukweli ambao wenye akili watarudi kwenye Biblia zao kuchimba ....wabishi watabaki na maisha yao ya kukariri vifungu tu ....
 
Kila andiko kwenye Biblia ni neno la Mungu yaani ni Mungu mwenyewe ....angalia unapofikiri unapinga Ukatoliki kumbe unampinga Mungu ....tukianza kuchagua andiko hili ni muono wa kibinadamu na hili ni Mungu tunaenda kubaya sana.....Yesu ni Mungu hivyo hatuombei bali yeye ndio mpaji ...ila Mapadre, wachungaji, watakatifu n.k wanaweza kutuombea kwa Mungu ....kama wewe ni Mkristo na huamini kuna maisha baada ya kifo basi ule ufufuko wa Yesu ulikuwa kazi bure ......kama Yesu alitokewa na Musa, Eliya kumtia moyo ....enzi zenu si mngesema ni wafu/ mizimu ile?
Sidhani kama umejibu hata swali langu zaidi ya siasa!
Yesu aliposema "Baba yangu wasamehe" au "nami tawaombea kwa baba" inamaana alijisahau kuwa hapaswi kutuombea?

Na alipoondoka alisema atatuachia msaidizi ambae ni Roho mtakatifu, tukiomba twaomba kwa Mungu baba Mungu mwana na Mungu roho mtakatifu, sio kupitia kwa mama maria.

Naomba mstari hata mmoja katika Biblia ambao unatutaka tumuombe maria atuombee kwa Mungu.
 
Sidhani kama umejibu hata swali langu zaidi ya siasa!
Yesu aliposema "Baba yangu wasamehe" au "nami tawaombea kwa baba" inamaana alijisahau kuwa hapaswi kutuombea?
Tunaposema Yesu alikuwa Mungu kweli na Mtu kweli unaelewa nini...?

Kuwa makini kuna wakati Yesu alikuwa ana-switch kotekote....Kuna wakati alikuwa anajifanya mtu wa kawaida na kuna wakati anajifanya Mungu..
 
Back
Top Bottom