Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Heshima na kaburi vinauhisiano gani...???Huwezi kuliona wanawake enzi hizo hawakuwa na heshima kwenye jamii, hivyo kabuli lake halikuwa kipaumbele
Unataka kuniambia walikuwa hawazikwi bali wanatupwa...? Tupe ushahidi...? Unazijua tamaduni za kiyahudi za maziko..??
BTW: Baada ya ufufuko wa Yesu, B/Maria alipata umaarufu mkubwa sana...
Na Watu walianza kumtambua....