MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

Lete andiko wapi bibilia.inasema watakatifu wawaombee
 
Jamani hivi nyiewatu munasoma bibilia gani.. yesu mwenyewe anasema mtuyoyote akiomba kwajina langu atapewa.. Si kwamajina ya watatifu.. watakatifu waliokufa wamelala mtu alie lala bibilia inasema kumbukumbu zake hazifanyi kazi sasa kamahazifanyikazi atakumbukaje kuwaombea huu siniuongo wahazalani kabisa
 
Lete andiko wapi bibilia.inasema watakatifu wawaombee
Ufunuo 5:8
"Hata alipokitwaa kile kitabu, hao wenye uhai 4 na wale wazee 24, wakaanguka mbele za mwana kondoo, kila mmoja wao na kinubi na vitasa vya dhahabu, vilivyojaa manukato ambayo ni MAOMBI YA WATAKATIFU"
 
Nyie munaomtegemea maria labda niwaweke wazi tu maria hanachake katika maombi yoyote wala watakatifu munao waomba..hawa watu walishakufa nautakatifu wao.. Nabibilia ikowazi juu yawatu waliokufa hawajui lolote nikama wamelala usingizi
 
Naona hujazungumzia cheo cha papa na mamlaka yake, umeshau hoja ya Marton Luther ya mamlaka milyo mpa maria kuwa muombezi wenu
Hajasahau mkuu, bali anafunika makusudi ili kupamba imani yake.
Ninashangaa hazungumzii habari za kubatiza watoto wadogo bila kuwa wameliamini Neno.
Kamwe hawezi kuongelea habari za kuomba kwa wafu na kuipigia magoti misanamu iliyojaa siyo kwenye nyukmba zao za ibada tu, bali hata majumbani mwao, maofisini. na milini mwao.

Anaanza kumchafua Martin Luther kwa kupindisha habari na hadith za kutunga.
 
Sidhani kama umejibu hata swali langu zaidi ya siasa!
Yesu aliposema "Baba yangu wasamehe" au "nami tawaombea kwa baba" inamaana alijisahau kuwa hapaswi kutuombea?

Na alipoondoka alisema atatuachia msaidizi ambae ni Roho mtakatifu, tukiomba twaomba kwa Mungu baba Mungu mwana na Mungu roho mtakatifu, sio kupitia kwa mama maria.

Naomba mstari hata mmoja katika Biblia ambao unatutaka tumuombe maria atuombee kwa Mungu.
Ndiyo maana Waislamu wakiwabana kwenye angle mnakosa majibu sababu ya uelewa mdogo ....Yesu ni Mungu kweli na Mtu kweli ....lazima ujue wakati gani unaweza kutofautisha haya ....
 
watakatifu waliokufa wamelala mtu alie lala bibilia inasema kumbukumbu zake hazifanyi kazi sasa kamahazifanyikazi atakumbukaje kuwaombea huu
Nzuri! Unakubali kuwa Watakatifu wapo....Good!

Pili umesema maandiko yanasema kumbukumbu zake hazifanyi kazi....Hebu tupe rejea ya hicho kitabu cha biblia...
 
Ndiyo maana Waislamu wakiwabana kwenye angle mnakosa majibu sababu ya uelewa mdogo ....Yesu ni Mungu kweli na Mtu kweli ....lazima ujue wakati gani unaweza kutofautisha haya ....
Ni shida sana mkuu!!! Yani hawa watu inabidi twende nao taratibu....
 
Hajasahau mkuu, bali anafunika makusudi ili kupamba imani yake.
Mkitaka majibu ya hayo anzisheni mada nyingine..

Anaanza kumchafua Martin Luther kwa kupindisha habari na hadith za kutunga.
Hahaha..

Mada inajieleza na ipo wazi kabisa....Labda nikuambie kitu, historia huwa haifi kamwe..

Sasa, hebu wewe utuambie kwanini Martin Luther alipunguza vitabu 7 vya Agano la Kale na pia kwanini alitaka kufanya (Actually aliondoa kabisa) attempt ya kuondoa vitabu vys Ufunuo, Yakobo na Waebrania...??

Tupe sababu..maana wenzako wote waneshindwa
 
Labda nikusaidie mtoa mada kitabu cha ufunuo nimaono ya badae ambayo yanaonesha msho wadunia sasa toka rc imeanzishwa mpaka leo dunia imeshaisha... Kitabucha ufunuo kinaonesha mambo yawakati ujao lakin kathoriki mmebadilisha nakuwa nakuyafanya yawakati huu hapo ndipo mnapo kosea
 
Mtoa mada ajasimama vzuri,sina mda leo ni mkumbushe tuu kwamba Martin Luther akupunguza vitabu.
 
Ndiyo maana Waislamu wakiwabana kwenye angle mnakosa majibu sababu ya uelewa mdogo ....Yesu ni Mungu kweli na Mtu kweli ....lazima ujue wakati gani unaweza kutofautisha haya ....
Mbona haujibu maswali yangu bali unaleta siasa? Achana na Yesu maana huyo namtambua ni Mungu.
Jibu kuhusu maria.
Acha siasa.
 
Ufunuo 5:8
"Hata alipokitwaa kile kitabu, hao wenye uhai 4 na wale wazee 24, wakaanguka mbele za mwana kondoo, kila mmoja wao na kinubi na vitasa vya dhahabu, vilivyojaa manukato ambayo ni MAOMBI YA WATAKATIFU"

ZABURI 16:3, “Watakatifu waliopo duniani ndio walio bora, hao ndio ninaopendezwa nao ”

1Petro1: 15 - 17
bali kama yeye aliyewaita alivyo mtakatifu, ninyi nanyi iweni watakatifu katika mwenendo wenu wote;
16 kwa maana imeandikwa, Mtakuwa watakatifu kwa kuwa mimi ni mtakatifu.

17 Na ikiwa mnamwita Baba, yeye ahukumuye kila mtu pasipo upendeleo, kwa kadiri ya kazi yake, enendeni kwa hofu katika wakati wenu wa kukaa hapa kama wageni.
 
Labda nikusaidie mtoa mada kitabu cha ufunuo nimaono ya badae ambayo yanaonesha msho wadunia sasa toka rc imeanzishwa mpaka leo dunia imeshaisha... Kitabucha ufunuo kinaonesha mambo yawakati ujao lakin kathoriki mmebadilisha nakuwa nakuyafanya yawakati huu hapo ndipo mnapo kosea
Evidence plz ebu tuaminishe kwamba RC wametumia kitabu cha Ufunuo kinatumika hvyo unavyosema.
 
Tunaposema Yesu alikuwa Mungu kweli na Mtu kweli unaelewa nini...?

Kuwa makini kuna wakati Yesu alikuwa ana-switch kotekote....Kuna wakati alikuwa anajifanya mtu wa kawaida na kuna wakati anajifanya Mungu..
Mbona swali langu la msingi mnalikimbia?
 
Jamani hivi nyiewatu munasoma bibilia gani.. yesu mwenyewe anasema mtuyoyote akiomba kwajina langu atapewa.. Si kwamajina ya watatifu.. watakatifu waliokufa wamelala mtu alie lala bibilia inasema kumbukumbu zake hazifanyi kazi sasa kamahazifanyikazi atakumbukaje kuwaombea huu siniuongo wahazalani kabisa
Mkuu hi 'wahazalani' nlijua miongoni mwa vitabu vya biblia. Kidogo ni google. Sema nkashtuka kumbe ni uandishi wako mbovu. [emoji5]
Mbona swali langu la msingi mnalikimbia?
 
Wewe ulietoa somo la ufunuo nimefurahia sana kuhusu hili somo labda nikurekebishe kidogo Biblia inasema mara tu alipokwisha kutwaa hicho kitabu. Wale viumbe hai wanne pamoja na wale wazee irini na wanne walianguka kifudifudi mbele mbele ya mwanakondoo. Kila mmoja alikuwa na kinubi na bakuli na bakuli za dhahabu zilizojaa ubani. Ambao nimaombi ya watakatifu.. Nisawa kweli yalikuwa nimaombi yawatakatifu.. lakini. Bibilia haisemi kama yalikuwa ni maombi ya watakatifu waliokufa hapana..ila bibilia inatambua watakatifu walioko duniani inaamana walioko hai si wafu..
 
Sidhani kama umejibu hata swali langu zaidi ya siasa!
Yesu aliposema "Baba yangu wasamehe" au "nami tawaombea kwa baba" inamaana alijisahau kuwa hapaswi kutuombea?

Na alipoondoka alisema atatuachia msaidizi ambae ni Roho mtakatifu, tukiomba twaomba kwa Mungu baba Mungu mwana na Mungu roho mtakatifu, sio kupitia kwa mama maria.

Naomba mstari hata mmoja katika Biblia ambao unatutaka tumuombe maria atuombee kwa Mungu.
Theological point of view, nimeanza hvyo alafu nakurudisha kwenye maandiko rejea kwenye harusi ya kana pale mvinyo ulipoisha wanafunzi wa Yesu walimfuata Maria mama take Yesu wakimuomba awaombee kwa mwanae ya kwamba mvinyo umekwisha na Maria aliwaombea kisha akarudi akawaambia chochote atakacho waambia fuateni,Swali kwako muuliza wale wanafunzi hawakuweza kumfuata Yesu na kumuomba mpaka wamfuate Maria mama yake, ndio maana nimeanza Theological na ndio maana makaasisi Katoliki wanasoma sana Theology (Taaluma Mungu)nafkr nitakuwa nimekujibu......!
 
Bibilia inasema wazee ishilini na nne kila mmoja alikua na kinubi na bakuli za dhahabu zilizojaa ubani..ambao nimaombi ya watakatifu ..kwamjibu wa bibilia yale mabakuli yalikuwa yamehifazi maombi ya watakatifu.. Na bibilia inawatambua watakatifu walioko duniani.. Yani walio hai..sii wafu .. Sasabasi swali langu wapi andiko kuwa yale maombi yalikuwa ya watakatifu waliokwisha kufa.. Ukinipa andiko hili nitaungama kwakulishutumu kanisa la Rc..
 
Back
Top Bottom