MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

Ona sasa kama kawaida yako umeanza zile mambo zako za kupanik. Haya kalale.
Wewe wasema.....

Hakika kuijua historia ya Kanisa ni kuijua historia ya dunia na ustaarabu wake....

Sasa nakuuliza wewe unaijua historia ya dunia...??
 
Umekosa majibu umekimbilia kwingine!!!
Tatizo lako umekaririshwa, kaisome vyema historia ya Luther then mtamalizana wenyewe huko.

Mie swali langu ni wapi Maria alipaa kwenda mbinguni? Haujanijibu hili hadi sasa umebaki kuniuliza maswali ya Luther of which sio lililonileta humu maana hata mimi hanihusu.
 
Siku zote waswahili husema asiyejua maana haambiwi maana
Hayo ya waswahili waachie waswahili, neno la Mungu halina uswahili maana ni kweli na hakika. Asiyejua anaambiwa ili ajue.
 
Kwa hio biblia yenu mtu akiamua kupunguza mistari anapunguza, tu bila ya hofu
Akiamua kuongeZA mistari anaongeza, tu bila hofu
Hizi dini zingine bwana

Lakini wacha, tuachie wenyewe tuone watakavyo shambulia mtoa mada, badala ya kujibu ada hisika
hahahaaa sio din hiz bali ni makampun ya wazung.ila wao hawastuki ty
 
Umekosa majibu umekimbilia kwingine!!!
Tatizo lako umekaririshwa, kaisome vyema historia ya Luther then mtamalizana wenyewe huko.

Kwani thread ilikuwa inahusu nini hasa...??! Kwanini unataka nitoke nje ya Thread...? Mimi najaribu kukurudisha kwenye thread husika...

Mtihani ni wa Hesabu wewe majibu unatoa ya Biology...??? Mimi na wewe aliyekimbilia kwengine ni nani...?


Kama unataka majibu toka kwangu yaliyoshiba kwa hoja zako hizo za Mama wa Mungu anzisha thread nitakuja...Ila hapa tuheshimu uzi wa mtu
 
Sasa wa Rc nawapa jiwe lamwisho msipoelewa leo bibilia hamtaelewa kamwe..

Matendo ya mitume 4..11_12 inasema yeye ndiye jiwe kuu lile lililo dhalauliwa na ninyi waashi. nalo limekuwa jiwe kuu la pembembeni wala hakuna uwokovu katika mwingine awaye yoyote. Kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo...

Ni yesu ..
Tu
hakuna chamaria wala wafu..

Sasa hoja yangu jina litupasalo kuokolewa kwalo nimoja tu la Yesu Kiristo hayo majina ya wafu mnayoleta mnayatowa wapi .. Acheni asila.. Mnalishwa vitu vyauongo tunapo wambia mnaanza jaziba ..tumepewa jina moja tu la yesu.. Sii la maria wala hao wafu mnao wategemea
 
Hayo ya waswahili waachie waswahili, neno la Mungu halina uswahili maana ni kweli na hakika. Asiyejua anaambiwa ili ajue.
Unafikiri wale wachungaji waliowapulizia dawa za mbu na kuwanywesha detto wafuasi wao walikuwa wanatumia kitabu cha biology...? Hapana walikuwa wanatumia Biblia...

Ishi sio biblia! Biblia inahitaji Elimu ya Falsafa na Teolojia...Bila kuwa na hivyo mtalishana sumu huko kwenye makanisa yenu kwa kutumia biblia hiyo hiyo
 
Kilichonifanya nikoment katika uzi huu ni mlipomuingiza maria katika mada hii, hivyo kama kutoka nje ya mada nyie ndio mliotoka nje ya mada,ila pia haiko nje ya mada maana ni hoja mojawapo zilizoibuliwa.

Kama umeshindwa kutoa majibu hapa basi hata zikianzishwa mada elfu, hautokuwa na majibu maana hayapo bali ni propaganda tu.

Mungu akubariki unapolitafakari neno lake ukiongozwa na roho mtakatifu.
Usiku mwema.
 
uyo anaemwambia mwenzie hawajui biblia wakat na yy haijui biblia hata kidogo..muulize biblia nn,kimetoka wap kimeandikwa na nan..kwa uthibitisho wa mistar toka ndan ya biblia
 
Ukianza kuingiza majina mapya mala mtakatifu yosefu tuombee kukuletea uokovo inamaana kunajina lingine kama la yesu linaloweza kufanya kazi kama jina la yesu.. Lakini bibilia inasema tumepewa jina moja tu liletalo uokovu..hakuna uokovu juu ya uokovu .. H
 
Kama wewe ulivyolishwa sumu ya uongo? Usiangamie kwa kukosa maarifa, lisome neno na ulielewe neno. Usikubali kukaririshwa wakati neno liko wazikabisa.
 
Kilichonifanya nikoment katika uzi huu ni mlipomuingiza maria katika mada hii, hivyo kama kutoka nje ya mada nyie
No! Nyie Protestant baada ya kukosa majibu, ili kuchafua thread wenzako wakaanza kuchomeka mambo ya Maria, nk nk nk.....

Sisi tumefanya uungwana tu kuwajibu ila kwa ifupu kuepuka kuharibu mada...

Fuatilia uzi toka mwanzo uone...

BTW...Turudi kwenye mada husika
 
Kama umeshindwa kutoa majibu hapa basi hata zikianzishwa mada elfu, hautokuwa na majibu maana hayapo bali ni propaganda tu.
Kaanzishe mada nije....

Sio unakuwa kama viwavi kuharibu mada za watu...Ndio maana huwa siwatofautishi walokole na waislam kwenye upande wa elimu...Most walokole ni mbumbumbu sana, yani accademically mpo very poor....

Ni kama wewe nakuambia stick kwenye mada ndio unazidi ku-deviate...kama ni mtihani umeshapata F kabisa..
 
Yaelekea huijui Biblia au unatumika kupanda mbegu ya mafarakano.Je wamfahamu John Huss? kam unamfahamu alikufaje na kwa sababu gani,wamfahamu Zinzendorf?

Kazi nzuri sana iliyofanywa na watumishi shujaa wa MUNGU hatukuikamilisha ungesema sisi wafuasi wao wengi wetu tumetekwa na fedha ningekuelewa.Tungekuwa na jukwaa maalum la kwetu lililojificha ningekuuliza maswali ambayo nina uhakika kama unaitii kweli ya MUNGU ungeinamisha chini kichwa chako na kudondosha machozi.Salama yetu ni kuomba toba mahali tulipokosea.

MUNGU kuptia Yesu Kristo anachotaka kwetu ni kumkiri,kuomba toba na kuifanya kazi aliyotutuma kama yeye alivyoifanya aliyotumwa kuifanya.

Tangaza habari za Yesu achana na ligi ya ugomvi kwa kanisa lake Kristo maana hakuna dhehebu lililokufa kwa ajili yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…