Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Hebu jiondoe kwenye kukariri, soma neno lielewe.Haina mahusiano kivipi...???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu jiondoe kwenye kukariri, soma neno lielewe.Haina mahusiano kivipi...???
Wewe wasema.....Ona sasa kama kawaida yako umeanza zile mambo zako za kupanik. Haya kalale.
Aliyekwambia nimekariri ni nani...? Umejuaje sijaelewa.. ?Hebu jiondoe kwenye kukariri, soma neno lielewe.
Umekosa majibu umekimbilia kwingine!!!Maadam nimeshakuona wewe ni mtupu kichwani...
Turudi kwenye mada husika...???
Tuambie sababu zilizomfanya Martin Luther kupunguza vitabu 7 vya Agano la Kale ...
Kisha tueleze ni kwanini alitaka kuondoa vitabu vya Ufunuo, Yakobo na Waebrania...???
Turudi kwenya mada sasa...
Siku zote waswahili husema asiyejua maana haambiwi maanaSasa wewe unayejua kwaini usimuelezee aelewe?
Unaona sasa!!Wewe wasema.....
Hakika kuijua historia ya Kanisa ni kuijua historia ya dunia na ustaarabu wake....
Sasa nakuuliza wewe unaijua historia ya dunia...??
Haihitaji degree kulitambua hilo.Aliyekwambia nimekariri ni nani...? Umejuaje sijaelewa.. ?
Hayo ya waswahili waachie waswahili, neno la Mungu halina uswahili maana ni kweli na hakika. Asiyejua anaambiwa ili ajue.Siku zote waswahili husema asiyejua maana haambiwi maana
hahahaaa sio din hiz bali ni makampun ya wazung.ila wao hawastuki tyKwa hio biblia yenu mtu akiamua kupunguza mistari anapunguza, tu bila ya hofu
Akiamua kuongeZA mistari anaongeza, tu bila hofu
Hizi dini zingine bwana
Lakini wacha, tuachie wenyewe tuone watakavyo shambulia mtoa mada, badala ya kujibu ada hisika
Umekosa majibu umekimbilia kwingine!!!
Tatizo lako umekaririshwa, kaisome vyema historia ya Luther then mtamalizana wenyewe huko.
Unafikiri wale wachungaji waliowapulizia dawa za mbu na kuwanywesha detto wafuasi wao walikuwa wanatumia kitabu cha biology...? Hapana walikuwa wanatumia Biblia...Hayo ya waswahili waachie waswahili, neno la Mungu halina uswahili maana ni kweli na hakika. Asiyejua anaambiwa ili ajue.
Kilichonifanya nikoment katika uzi huu ni mlipomuingiza maria katika mada hii, hivyo kama kutoka nje ya mada nyie ndio mliotoka nje ya mada,ila pia haiko nje ya mada maana ni hoja mojawapo zilizoibuliwa.Kwani thread ilikuwa inahusu nini hasa...??! Kwanini unataka nitoke nje ya Thread...? Mimi najaribu kukurudisha kwenye thread husika...
Mtihani ni wa Hesabu wewe majibu unatoa ya Biology...??? Mimi na wewe aliyekimbilia kwengine ni nani...?
Kama unataka majibu toka kwangu yaliyoshiba kwa hoja zako hizo za Mama wa Mungu anzisha thread nitakuja...Ila hapa tuheshimu uzi wa mtu
We nenda kule jokes huku si size yakoSasa wa Rc nawapa jiwe lamwisho msipoelewa leo bibilia hamtaelewa kamwe..
uyo anaemwambia mwenzie hawajui biblia wakat na yy haijui biblia hata kidogo..muulize biblia nn,kimetoka wap kimeandikwa na nan..kwa uthibitisho wa mistar toka ndan ya bibliaDuh kaaazi kweli kweli hapo ndo mlipo mpa cheo binadamu mwenzenu awe mwombezi. mmesahau kwamba mariam na yeye ni binadamu kama niniyi na alishakufa anasubiri ufufuo siku ya mwisho.. sasa sijui nani kawadanganya kwamba maria yuko hai...... Au ni katika kitabu gani kimemtaja Mariam Kwamba yi hai ambapo anaweza kusikia maombi yenu
Kama wewe ulivyolishwa sumu ya uongo? Usiangamie kwa kukosa maarifa, lisome neno na ulielewe neno. Usikubali kukaririshwa wakati neno liko wazikabisa.Unafikiri wale wachungaji waliowapulizia dawa za mbu na kuwanywesha detto wafuasi wao walikuwa wanatumia kitabu cha biology...? Hapana walikuwa wanatumia Biblia...
Ishi sio biblia! Biblia inahitaji Elimu ya Falsafa na Teolojia...Bila kuwa na hivyo mtalishana sumu huko kwenye makanisa yenu kwa kutumia biblia hiyo hiyo
No! Nyie Protestant baada ya kukosa majibu, ili kuchafua thread wenzako wakaanza kuchomeka mambo ya Maria, nk nk nk.....Kilichonifanya nikoment katika uzi huu ni mlipomuingiza maria katika mada hii, hivyo kama kutoka nje ya mada nyie
Sumu gani ya uongo ...? Tunapigia wapi mstari kuwa huu ni uongo na ule si uongo...?Kama wewe ulivyolishwa sumu ya uongo?
Nisiangamie kwa mujibu wa nani...??Usiangamie kwa kukosa maarifa,
Kwataarifa yako mimi ninaweledi wa maandiko.....lisome neno na ulielewe neno. Usikubali kukaririshwa wakati neno liko wazikabisa.
Kaanzishe mada nije....Kama umeshindwa kutoa majibu hapa basi hata zikianzishwa mada elfu, hautokuwa na majibu maana hayapo bali ni propaganda tu.
Yaelekea huijui Biblia au unatumika kupanda mbegu ya mafarakano.Je wamfahamu John Huss? kam unamfahamu alikufaje na kwa sababu gani,wamfahamu Zinzendorf?KWANINI PADRE Luther ALIFUKUZWA KANISA KATOLIKI? NA KWANINI ALIONDOA BAADHI YA VITABU KWENYE BIBLIA AGANO LA KALE?
Padre Luther alikuwa miongoni mwa Mapdre wenye karama nyingi ndani ya Kanisa katoliki wakati wake, Yeye alikuwa na Madai mengi sana juu ya mapungufu kwa kanisa. Hata hivyo madai yake mengi hayakuwa na msingi wowote.
Moja ya madai yake ilikuwa ni kuondoa kibali cha kwamba baada ya kuungama muumini asipewe stakabadhi ya kuonesha ameungama kwa kuwa kitubio ni siri ya MTU. Hili lilifanyiwa kazi. Mengine ikiwemo kurekebisha mfumo WA sala ya Kanuni ya Imani. Na mambo mengine mengi ambayo alipojibiwa, yeye hakuridhika pamoja na kueleweshwa vya kutosha. Alikuwa ni Great Thinker sana.
Mbaya zaidi alipokuja kusababisha mpaka akajitenga na kanisa ni kitendo cha kuondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia ikiwemo pia kupunguza baadhi ya mistari kwenye vitabu kama cha Esta na Cha Danieli.
Aliondoa vitabu vya Deutrokanoni na vingine baadhi na kuwa jumla ya vitabu 7 vilivyotolewa kwenye Biblia. Na kila kitabu alikuwa na sababu yake aliyoibainisha. Kimsingi alipata wafuasi wengi WA kumuunga mkono hoja yake hasa wale ambao walikuwa wanatafta njia ya kuchuma pesa kiulaini. Na hapo Biblia mpya ilianza yenye Vitabu pungufu.
Na ndio maana Leo watu hawaujui Ukristo vizuri na wanakinzana bila kujua historia ya kanisa. Watumishi wengi WA Mungu hasa HAWA WA kileo wasiojua nhistoria vizuri wao kila kitu wanapinga. Sio kosa lao Bali ni kosa la kutokujua historia ya kanisa.
Matumizi ya Ubani yalipingwa sana, na hapa ilikuwa ni kuondoa idadi ya waelewa. Kutokana na watu wengi walikuwa wamegeuka kama waganga kila mapepo ya kiwakabili walitumia ubani kuyafukuza na yalikimbia, lakini watu walijisahau kusali na kuomba na hata kufika ibadani ikawa nadra maana wanajua kujiponya kuondokana na majini na wachawi. Hapa Padre Luther na wenzake wakapiga marufuku matumizi ya ubani na kuwa sihi wakazanie Neno zaidi.
Hapa walichotakiwa kufanya ni kuliishi Neno la Mungu na wakati WA ibada basi ubani uchomwe kama Mungu alivyo agiza.
Luther na wenzake lengo lao lilikuwa ni biashara hapo baadae na kimsingi mpango huo ulifanikiwa. Na ndio maana mpaka Leo watu wametawaliwa na mfumo WA majini katika maisha yao kwa kuwa wamefungwa akili ya kujitambua na wanaamini maneno ya mdomoni na sio Maandiko ya Biblia kama yanavyosema.
Nimengi ya kujifunza sana Leo hii lakini kwa Leo naishia hapa.
deogratius Nalimi Kisandu.
1. 1. 2017.