MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

Kwani hiyo Biblia unayoisoma wewe ni nani walikusanya maandiko na kuyaweka pamoja na kuipata biblia? Ukiweza kulijuwa hili utakuwa umefahamu kitu kikubwa na hitolikebehi tena kanisa katoliki.
Wangeikusanya wasingeichoma moto, Biblia ilikusanywa na Wakrtisto wa awali kabla hata wapagani wa kiroma hawajavamia kansani wakijifanya wameongoka kumbe lengo lao ni kuendeleza vita yao dhidi ya ukristo.. Ikiwa padre wako alikwambia Biblia ilikusanywa na waroma alikudanganya. Roman Catholic wamejikusanyia hiyo ya kwao wanayoiongezea vitabu kila mara. Biblia takatifu yenye vitabu 66 ilikamilishwa na waktisto wa awali kabla ya papa wenu kupewa madaraka na warumi.Upapa umeikuta Biblia na wakaongoza vita kuipiga vita ikiwemo kuwaua wote waliohifadhi nakala halisi ya Biblia.soma vizuri kisa cha waldensia waliokimbilia milina ya alps. Hawa walikimbia mateso ya papa na waliweza kuhifadhi nakala halisi ya Biblia sio hiyo waliochakachua waroma.
 
Who told you that? What about the followers of St. Thomas in India,
Followers wa St Thomas ni part of the Catholic Church kama ulikuwa hujui.....Most of Eastern Church including Armenian na Chaldean wote ni part of Catholic Church...

the Coptics,
Coptic Ni part of Eastern Rite....Easter Orthodox Churches zote walijitenga na Kanisa Katoliki mwaka 1100..,

the arabs, and the ethiopians?
Zote hizo zinasngukia kwebye Eastern Orthodox Churches...

Did they follow that church?
Utengano wa kwanza ulitokea mwaka 1100... Before that kulikuwa na Kanisa Katoliki pekee.....
 
Wangeikusanya wasingeichoma moto, Biblia ilikusanywa na Wakrtisto wa awali kabla hata wapagani wa kiroma hawajavamia kansani wakijifanya wameongoka kumbe lengo lao ni kuendeleza vita yao dhidi ya ukristo..
Hao Wakristo wa awali nu kina nani...?? Hivi unajua historia ya ukusanyaji wa Biblia wewe...?

Nitajie hao wakristo wa awali...

Ikiwa padre wako alikwambia Biblia ilikusanywa na waroma alikudanganya
. Waroma hawajakusanya Biblia....Biblia imekusanywa na kuwa Compiled na Catholic Church....Hao Waroma unawajua wewe...

Roman Catholic wamejikusanyia hiyo ya kwao wanayoiongezea vitabu kila mara
Labda kama ulikuwa hujui..Biblia imekamilika mwaka 300Ad chini ya Mtaguso wa Efeso ikiwa na vitabu 72.....Martin Luther alipunguza vitabu 7 vya Agano la kale.....Hii ni Historia na kamwe huwa haipotoshwi...

. Biblia takatifu yenye vitabu 66 ilikamilishwa na waktisto wa awali kabla ya papa wenu kupewa madaraka na warumi.
Angalia usije ukachekwa ndugu.....Maana unachokiandika hukulijui na unachokitetea pua hukujui...Punguza ushabiki kwenye mambo ya msingi...Kama una ombwe la Historia ni bora ukaa kaa kimya...

Upapa ni kitu gani wewe.. ? Hivi unajua unachoongea au unaropoka tuu ...Hapa hatupo kwenye kambi za lessoni..

umeikuta Biblia na wakaongoza vita kuipiga vita ikiwemo kuwaua wote waliohifadhi nakala halisi ya Biblia.
Hivi huu uongo na uzushi huwa mnatolea wapi....??? Aliyekuambia Biblia toka mwanzo ilikuwa na vitabu 66 ni nani...???

soma vizuri kisa cha waldensia waliokimbilia milina ya alps. Hawa walikimbia mateso ya papa na waliweza kuhifadhi nakala halisi ya Biblia sio hiyo waliochakachua waroma.
Waldensia ndio wadudu gani wewe...??

Nahitaji kukufundisha historia...
 
Yesu aliacha kanisa katoliki lini? Wakristo wenzangu hamna tofauti na walevi.
Yes! Yesu aliacha Kanisa Katoliki chini ya Mwamba Patro....Wewe ndiwe Petro (Cefa) na juu ya mwamba huu nitalijenga Kanisa Langu...

Umeshindwa kuelewa hata hilo...?
 
Sasa kwa taarifa yako,
Taarifa ninayo tayari...Unataka kunipa ipi...??

sio Luther pakee aliyepinga hayo maandiko
Hakupinga, alidiriki kuondoa vitabu 7 vya Agano la Kale....Tunataka kujua hayo mamlaka aliyatoa wapi.....?

mnayodai yalifichwa
Nani kasema yamefichwa....??? Kanisa halijawahi kufichs maandiko....Biblia toka mwanzo ilikuwa na vitabu 72 na mpaka leo Biblia halisi ina vitabu 72...,Kanisa Katoliki ndio limetunza Biblia halisi mpaka leo..

.... Wana matengenezo wote walipinga uovu huu wa kanisa la roma kuongeza vitabu ambavyo havikuwa na uvuvio wa Roho Mtakatifu.
Wanamatengenezo hao ni kina nani...? Walipata mamlaka gani ya kuondoa vitabu...?? Biblia imejamilika mwaka 300AD, ikiwa na vitabu 72 ....sasa niambie hao panya unao waita wanamatengenezo walipata wapi mamlaka ya kupunguza vitabu vya Biblia....?

Nia ovu ya kanisa la roma
Hilo Kanisa la Roma lipo wapi.. ??

ilishindwa na itashindwa milele kwani neno la Mungu litadumu milele bila kuchakachuliwa
Kwa bahati mbaya Martin Luther alishachakachua Biblia tayari...Aliondoa vitabu 7 vya Agano la Kale...Pia alifanya attempt ya kuondoa vitabu vya Ufunuo, Yakobo na Waebrania.... Kama ulikuwa hujui sasa nakujuza....

. Roma iliongoza kuchoma Biblia halisi ili walete ya kwao bandia lakini wameshindwa.
Hao Roma ni kina nani...? Lini walichoma. ? Biblia halisi ni ipi...? Kwa mujibu wa nani....?Uhalisia wa namna gani....??

Mungu mwenyewe amehifahi Biblia yake,
Biblia yake ipi ..? Aliihifadhi kivipi...? Biblia halisi iliyohifadhiwa mpaka leo ni Biblia ya Kanisa Katoliki na Eastern Churches.....

na hii ndio inamfunua Kahaba mkuu wa ufunuo 17:15. Roman Catholic.
Hizi Ngonjera za Lesson ni bora ungezibakiza kule kule kwenye makambi na ngono ya kisabato ...Ok!

Nipo na wewe...
 
Tusilete matusi.. Maana tunachotaka hapa nikufahamu. Bikira maria hawezi kuwa kahaba nawala haitatokea akawa kahaba huo niupungufu wa mawazo na uelewa pamoja na upagani uliokisili.. Sasabasi hoja nikwamba Bikira maria hawezi kuwa muombezi wa watu maana hakuna andiko linalompa mamulaka hayo.. Lakni yesu analo andiko tena anasema yeye mwenyewe ombeni kwajina langu nanyi mtapewa.. Sii kwajina la Maria
 
wakathoric acheni jaziba hili swala kanisa kathoric kuwauwa mitume na wakiristo wamwanzo sio hadisi ni jambo lakweli.. Hata wakina yohane petro na wengine wengi walifia roma chini ya uongozi wa dola la kiroma.. Petro alisulubiwa..nakazikwa hapo yalipo makao makuu yakanisa la Rc.. itary.. Na waliomuuwa ni hawahawa naoijiita Romani kathoc.. Kipindihicho walikuwa wanafanya mamboyao kama dola..nakisha wakajibadilisha nakujiita kanisa.. Kunamambo mengi hili kanisa limeyaficha..na limeongoza uuwaji wa mitume wengi na ushaidi upo
 
Leo hii linakuja nangonjela eti maria nimuombezi mkuu kwa mungu.. Sasa kama wafu wanafanya kazi ya kuombea wazima. je Yesu anafanya kazigani
 
Nilisha sema mlete maandiko yanayo mpa mamlaka maria kuwaombea watu.. Nahuku yeye akiwa mufu ..jamani wafu hawawezi kuwaombea wazima hatasiku moja.. kwamujibu wabibilia inasema zikataene hadisi za kijinga
 
Haya yote mnayoyaongea ni hadithi tu!
Nawaombeni mpate neema ya maarifa hili mjue kuwa dini zote ni mpango wa shetani kutaka kujikweza. Jambo moja kuu na la maana sana ni kuomba kuujua ukweli.
Na ukweli wenyewe uko hivi ...
Mungu (Jehovah) ana nguvu za mlengo wa kulia
Shetani ana nguvu za mlengo wa kushoto.
Kwa wanaojua hesabu tafakari kuhusu mstari wa namba .... unaanzia 0 hapo ndo kuzaliwa kwako wewe ... ukienda kushoto utajua mwenyewe ..
Kwanza natamani nipate jukwaa maalum la kuueleza ulimwengu kuhusu mambo haya ...
Tambua hili UKRISTO SIO DINI..
Ebu nisubiri mwenye kuuliza ndo nimpe majibu.
 
Nimesikia kubwa moja ya chanzo kikubwa cha kutia vurugu na kausi upadri ni baada ya kuanguka kimapenzi na Dada mtawa wa hilo kanisa kwa maana kua useja ulimshinda. Na aliondoka nae.
Umetoka Ukatoliki ukiwa padri wa kawaida, nani kakupa Uaskofu? Hirakia ya kanisa Katoliki limeanzia na kiongozi was kwanza kabisa ambae ni Mt. Petro aliyekabidhiwa funguo na Bwana wetu Yesu Kristo.
 
Yes! Yesu aliacha Kanisa Katoliki chini ya Mwamba Patro....Wewe ndiwe Petro (Cefa) na juu ya mwamba huu nitalijenga Kanisa Langu...

Umeshindwa kuelewa hata hilo...?
Kama Petro ni mwamba na Yesu Kristo ni nani? acheni kujipendekeza kwa Petro wakati baba zenu warumi walimuua na nyie hamna tofauti nao ila kwa unafiki mnajifanya Petro akikuwa papa wenu. Upapa wa kipagani na Mitume wapi na wapi!
 

Ukiona kilio uwiii! ujue jiwe limempata huko mafichoni. Nilichosema na ninaendelea kusema ni hiki Roman Catholic Church haijawahi na kamwe haina uhalali wa kuandika,kukusanya sijui kucompile Biblia takatifu. Kazi hiyo takatifu ilifanywa na Mitume wa Kristo pamoja na Wwkristo waaminifu wakiwemo waldensia ambao papa aliazimu kuwaua wote kwa kuhifadhi nakala za Biblia. Kanisa Katoliki chini ya Papa lilinuia kuipotosha Biblia yote kwa kukataza waumini kuwa na nakala za Biblia bali misale ya waumini tu. Wakristo waaminifu walikataa hilo wakiwemo jamii ya waldensia waliokataa kumtii papa.Mauaji yalipamba moto na jamii hii ilikimbilia milima ya alps huko ulaya ya kaskazini wakihifadhi nakala halisi ya Biblia.Hii ndio Biblia iliyowafikia wanamatengenezo wote waliopinga kanisa la roma. Kanisa la roma halipendi kabisa Biblia hii kwani maovu yamewekwa wazi katika kitabu cha Daniel na Ufunuo. Waroma wakaanzisha propaganda nyingi ikiwemo kudai kuwa wao ndio waliondika na kucompile Biblia, jambo ambalo si kweli. Roman Catholic ni Mpinga Kristo, ushahidi upo kwenye Biblia hilo liko wazi. Hata Petro wanayedai ni Papa wao, aliita rumi kuwa ni Babeli rejea 1 Petro 5:13.Maneno haya ya Petro yanshabihiana na yale ya Yohana katika Ufunuo 17:15 "Babeli Mkuu, mama wa makahaba na machukizo ya nchi."
 
Martin Luther alishapata cheo cha , 'uaskofu' wakati huo. Dhana kwamba alifuta vitabu 7 napata shida mamlaka hayo aliyapata wapi? Mnyonge mnyonge lakini haki yake mpe
Ndo usome historia sasa ujue haya mambo
 
Kama bikra Maria hawezi kuombea watu mbona wachungaji wenu, mitume na manabii wanawaombea nyinyi?
 
Kama Petro ni mwamba na Yesu Kristo ni nani?
Ni mwamba pia...? Unajua maana ya Simeoni Petro....???
[quote ]acheni kujipendekeza kwa Petro[/quote]Petro ndiye Baba Mtakatifu wa Kwanza...hii haina ubishi.....

wakati baba zenu warumi walimuua
Mbona warumi wanakukera sana...Yes! Ofcourse Romans chini ya Kaisari Nero walilidhulumu kanisa Katoliki na kuwaua mitume ikiwemo Petro....Na pale alipouawa likajengwa Kanisa Kubwa Duniani...
The St. Peters Basillica.....Au Basilika la Petro

Hebu nieleze nani akimpa unabii yule Mama Kichaa wa Marekani....????
 
Ukiona kilio uwiii! ujue jiwe limempata huko mafichoni. Nilichosema na ninaendelea kusema ni hiki Roman Catholic Church haijawahi na kamwe haina uhalali wa kuandika,kukusanya sijui kucompile Biblia takatifu.
Nani alifanya hiyo kazi...
Hivi wewe unafahamu kazi za mitaguso.....???

Kazi hiyo takatifu ilifanywa na Mitume wa Kristo pamoja na Wwkristo
Mitume gani hao...? Walikuwa na Elimu gani...? Biblia imekamilika baada ya mitume wote kufa...Ni mitume gani hao walikusanya....? Paulo mwenyewe siyo vitabu vyote alivyoandika yeye....

Hao Wakristo unaowataja ni Wakristo gani...?!?

waaminifu wakiwemo waldensia
Waldensia ni kina nani.

??? Waliandika Biblia gani...? Ilikamilika lini...? Chini ya nani...
??? Hivi unaijua historia wewe...? Hatuko kwenye lessoni hapa sawa!!!!
. Kanisa Katoliki chini ya Papa lilinuia kuipotosha Biblia yote kwa kukataza waumini kuwa na nakala za Biblia bali misale ya waumini tu.
Kwataarifa yako Misale ya Waumini ni maandiko tupu yamejaa humo ndani...????

propaganda nyingi ikiwemo kudai kuwa wao ndio waliondika na kucompile Biblia
Unakataa bila ushahidi....?? Lete ushahidi wa hao viumbe waliandika biblia tuwajue...??
, jambo ambalo si kweli
Kweli ni ipi..??

. Roman Catholic ni Mpinga Kristo,
Hii nginjera imeshapitwa wa Wakati ndugu...Watu watakushangaa.....Mpinga Kristo ni yule kichaa aliyesema Yesu alikosea njia ajaingia pa Takatifu alifanya hukumu ya upelekezi...

ushahidi upo kwenye Biblia hilo liko wazi.
Ushahidi kwa mujibu wa nani...? Kwa mujibu wa manuscript za Kichaa Ellen G White....???
Hata Petro wanayedai ni Papa wao
Yes! Petro ndiye Baba Mtakatifu wa Kwanza...Sio tunadai....hiyo ndiyo kweli...

, aliita rumi kuwa ni Babeli rejea 1 Petro 5:13.
Ofcourse Rumi kipindi kile chini ya Makaisari ilikuwa zaidi ya Babeli...Kanisa Katoliki lilifanya mabadiliko makubwa kwenye dola ya Rumi....Japokuwa Dola iliuuwa Wakristo wengi(catholics in facts) ila Mungu alisimama sambamba na Kanisa Katoliki...

Maneno haya ya Petro yanshabihiana na yale ya Yohana katika Ufunuo 17:15 "Babeli Mkuu, mama wa makahaba na machukizo ya nchi."
Sema yanashabihana na Manuscript za Bi Ellena White ...


Niambie nani alimpa yule kichaa Unabiii...??
 
Kwanza aliewadanganya kua petro alikuwa kathorici nani au yesu alikuwa kathoric nani.. Mbona huu niuongo ulio komaa.. Yesu na petro hawajawahi kusali kathoric na haitatokea wakasali kathoriki.. Tunavielelezo vya maandishi kuwa Yesu na mitume wake hajawahi kusali jumapili..ila kuna vielelezo vinavyo ikubali jumapili kuwa siku ya kusali ..lkn pamoja naho yote Yesu na mitume wake wote hawaja wahi kusali jumapili.. Japo kusali jumapili sii zambi wala jumatatu si zambi maana bibilia inasema ombeni kila wakati..hapa bibilia inaonesha haijalisha nijumapili au jumatatu siku zote zafaa kwa maombi
 
Habali za bikira maria zili ziliishia pale yesu alipoitwa na mmojawapo wa wanafunzi wake .wakamwambia bwana mama yako na nduguzo wako inje wanakuita yesu akasema mama yangu na ndugu zangu niwale wanao lishika neno la Mungu..na aliendelea kuhubili.. Kwamujibu wa andiko hili hakuwaona nduguze wala mama yake sasa hicho cheo mnacho mubandika maria mmekitoa wapi.. Simutuwekee nasisi vifungu vya kibibilia vinavyompa maria mamlaka ili nasisi tuvisome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…