Ukiona kilio uwiii! ujue jiwe limempata huko mafichoni. Nilichosema na ninaendelea kusema ni hiki Roman Catholic Church haijawahi na kamwe haina uhalali wa kuandika,kukusanya sijui kucompile Biblia takatifu.
Nani alifanya hiyo kazi...
Hivi wewe unafahamu kazi za mitaguso.....???
Kazi hiyo takatifu ilifanywa na Mitume wa Kristo pamoja na Wwkristo
Mitume gani hao...? Walikuwa na Elimu gani...? Biblia imekamilika baada ya mitume wote kufa...Ni mitume gani hao walikusanya....? Paulo mwenyewe siyo vitabu vyote alivyoandika yeye....
Hao Wakristo unaowataja ni Wakristo gani...?!?
waaminifu wakiwemo waldensia
Waldensia ni kina nani.
??? Waliandika Biblia gani...? Ilikamilika lini...? Chini ya nani...
??? Hivi unaijua historia wewe...? Hatuko kwenye lessoni hapa sawa!!!!
. Kanisa Katoliki chini ya Papa lilinuia kuipotosha Biblia yote kwa kukataza waumini kuwa na nakala za Biblia bali misale ya waumini tu.
Kwataarifa yako Misale ya Waumini ni maandiko tupu yamejaa humo ndani...????
propaganda nyingi ikiwemo kudai kuwa wao ndio waliondika na kucompile Biblia
Unakataa bila ushahidi....?? Lete ushahidi wa hao viumbe waliandika biblia tuwajue...??
Kweli ni ipi..??
. Roman Catholic ni Mpinga Kristo,
Hii nginjera imeshapitwa wa Wakati ndugu...Watu watakushangaa.....Mpinga Kristo ni yule kichaa aliyesema Yesu alikosea njia ajaingia pa Takatifu alifanya hukumu ya upelekezi...
ushahidi upo kwenye Biblia hilo liko wazi.
Ushahidi kwa mujibu wa nani...? Kwa mujibu wa manuscript za Kichaa Ellen G White....???
Hata Petro wanayedai ni Papa wao
Yes! Petro ndiye Baba Mtakatifu wa Kwanza...Sio tunadai....hiyo ndiyo kweli...
, aliita rumi kuwa ni Babeli rejea 1 Petro 5:13.
Ofcourse Rumi kipindi kile chini ya Makaisari ilikuwa zaidi ya Babeli...Kanisa Katoliki lilifanya mabadiliko makubwa kwenye dola ya Rumi....Japokuwa Dola iliuuwa Wakristo wengi(catholics in facts) ila Mungu alisimama sambamba na Kanisa Katoliki...
Maneno haya ya Petro yanshabihiana na yale ya Yohana katika Ufunuo 17:15 "Babeli Mkuu, mama wa makahaba na machukizo ya nchi."
Sema yanashabihana na Manuscript za Bi Ellena White ...
Niambie nani alimpa yule kichaa Unabiii...??