MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

Hapo ndo huwa siwaelewi kwa kweli
 
Mkuu bora umekuwa mkweli
 
Ujaelewa vizuri alimanisha maombi yake yapate kibali mbele zake sio kuchoma katika hali ya kawaida
 
Najua badae thread hii hii itakuwa ni ya biblia na qur'an ila sio mbaya acha wafu wazikane maana waandishi wa kitabu hiki chenye amendment lukuki wanazidi kuongezeka
 
Ujaelewa vizuri alimanisha maombi yake yapate kibali mbele zake sio kuchoma katika hali ya kawaida
Ila ni kuchoma katika hali gani...? Ya kipekee na siyo ya kawaida...??

Kwanini ataje ubani kama alikuwa hamanishi..? Alikuwa anajifurahisha siyo kutaja ubani..?
 
Vingi vingapi..? Hebu vitaje..? Kanisa Katoliki halijawai kubadilika ni lile lile toka kipindi cha Petro
Sir Luther and the protestant movement helped the Catholic church to reform. Take for examples the use of local languages. Protestants were ahead of the curve.
 
Let me agree with you that most of them belong to Eastern Orthodox. But here is the thing. Once you say most of them, you rule out all of them.

Second, Eastern and Oriental churches are loosely tied. Each has its own Patriach or in catholic terms Pope.

Oriental churches most of them zina-bolong kwenye Eastern Orthodox Churches...

Sasa Eastern Churches (Orthodox) walijitenga na Kanisa Katoliki karne ya 11...
 
hiki cheo cha upapa kiloanza mwaka gani na nani alikianzisha kwa andiko lipi
 
Martin Luther alishapata cheo cha , 'uaskofu' wakati huo. Dhana kwamba alifuta vitabu 7 napata shida mamlaka hayo aliyapata wapi? Mnyonge mnyonge lakini haki yake mpe
Mimi ndio sielewi kabisaa biblia ilio punguzwa ni ipi?na ambayo ni ya zamani ni ipi?na nitajuaje
 
Kulikomboa kanisa gani...? Lutheran Church limebaki Africa tuu....Ujerumani ni kama limekufa tayari, Sweden watu hata hajui kanisa nini..


Hayo maono, ndiyo yalipelekea yeye kupunguza vitabu 7 vya Agano la kale..?
Mkuu nyani aoni kundule. Huko Ulaya ukatoliki nao hauna nguvu. Una nguvu dunia ya tatu. Na dunia ya tatu unashindwa kupambana na evangelists
 
Sir Luther and the protestant movement helped the Catholic church to reform. Take for examples the use of local languages. Protestants were ahead of the curve.
Local language sio big deal....

Hakuna cha maana hata kimoja kati ya malamiko yake kilibadilishwa na kanisa....

Kwakifu makamiko yako yalikuwa hayana mantiki yoyote ..
 
Second, Eastern and Oriental churches are loosely tied. Each has its own Patriach or in catholic terms Pope.
Sawa kabisa ..Na ndiyo sababu ya wao kujitenga na Kanisa...Walikuwa wanata decentralization ya power.....

Kanisa Katoliki lina mtambua Papa kama kiongozi mkuu, halifa wa Patro ...Ila Eastern Churches wenyewe wasisitiza Pope is the first among the Equal....
 
Leave this topic guyz,Roman Catholic is the strongest church never happen,if you against Roman Catholic u real against Jesus Crust and his God Father,having a gud time SDA and let's Roman Catholic having their time.
 
kiukweli umekuwa mkristo usie na faida.
kuabudu miungu na kuvunja amri za Mungu ndiko kunakutesa mpaka umkosoe martini luther.
kajipange upya na hoja zako zenye kukinzana na imani ya ukristo.
Toa sababu yakufutwa vitabu, ni kweli biblia ya kilutheri inaupungufu wa vitabu, pia imebadilishwa maneno mengi, tupe sababu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…