MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

Nataka jibu ile back ground pic ile sura ni ya nani...??
Jibu kwanza hoja ya msingi, kwa nini katika katekisimo yenu mliondoa amri ya pili inayokataza kuabudu sanamu? Na kwa nini amri ya kumi inayokataza kutamani mali au mke wa jirani yako mmezifanya ni amri mbili wakati hiyo ni amri moja tu?
 
Jibu kwanza hoja ya msingi, kwa nini katika katekisimo yenu mliondoa amri ya pili inayokataza kuabudu sanamu? Na kwa nini amri ya kumi inayokataza kutamani mali au mke wa jirani yako mmezifanya ni amri mbili wakati hiyo ni amri moja tu?

Hakuna amri iliyoondolewa hapo...Ni sawa na mtu aliyeandika 2+2=4 na mwingine akamua kuandika 1+3=4 ....Hapo hakuna tofauti ni kitu kile kile...

Rudi kwenye post yangu yenye picha uniambie yule kwenye Background picha ni nani...?? Na kwanini awepo pale...
 
Toa sababu yakufutwa vitabu, ni kweli biblia ya kilutheri inaupungufu wa vitabu, pia imebadilishwa maneno mengi, tupe sababu.

Hakuna hata mmoja aliyetoa sababu....Nimeomba nipewe sababu ila wanaharibu mada kwa kuleta habari za Maria, sanamu...
Hakuna aliyethubutu kujibu swali hilo hata mmoja...
 
Jibu kwanza hoja ya msingi,
Halafu hoja ya msingi ni Kwanini Martin Luther alipunguza vitabu vya Agano la Kale...?

Kwanini alifanya Attempt ya Kuondoa vitabu vya Ufunuo, Waebrania na Yakobo...?

Sasa sijui hoja ya msingi unayozungumzia ni ipi. ?
 
Leave this topic guyz,Roman Catholic is the strongest church never happen,if you against Roman Catholic u real against Jesus Crust and his God Father,having a gud time SDA and let's Roman Catholic having their time.
If you understand the teaching and the life of Jesus, you wouldn't brag the power of the Roman Catholic church. Power corrupts people and organizations and the RC isn't immuned to it.
 
If you understand the teaching and the life of Jesus, you wouldn't brag the power of the Roman Catholic church. Power corrupts people and organizations and the RC isn't immuned to it.
Hebu turudi kwenye mada husika..

Kwanini Martin Luther alipunguza vitabu 7 vya Agano la Kale...?

Kwanini alifanya attempt ya kuondoa vitabu vya Yakobo, Ufunuo na Waebrania...?

Tupe sababu ili tujikite kwenye mada..
 
Hebu turudi kwenye mada husika..

Kwanini Martin Luther alipunguza vitabu 7 vya Agano la Kale...?

Kwanini alifanya attempt ya kuondoa vitabu vya Yakobo, Ufunuo na Waebrania...?

Tupe sababu ili tujikite kwenye mada..
Kuhusiana na agano la kale, Luther hakuwa wa kwanza. Compilation ya wayahudi iliviondoa hivyo vitabu. Probably he wanted the old testament to match the hebrew compilation

Kuhusiana na vitabu vya agano vipya, alitumia doctrinal and apostolic reasons. Since doctrinal and apostolic reasoning isn't scientific or divine in nature, we can't say he was wrong or right.
 
Kuhusiana na agano la kale, Luther hakuwa wa kwanza. Compilation ya wayahudi iliviondoa hivyo vitabu. Probably he wanted the old testament to match the hebrew compilation
Hayo mamlaka aliyatoa wapi angali Biblia ilishskamilika.. .?
 
Kuhusiana na vitabu vya agano vipya, alitumia doctrinal and apostolic reasons. Since doctrinal and apostolic reasoning isn't scientific or divine in nature, we can't say he was wrong or right.
Unaakili timamu kweli wewe...??? Doctrine gani alimfanya aondoe hivyo vitabu kama si kutaka ku-suit mafundisho yake na upotofu wake...?

Haya niambie ni Apostolic reason gani ilimfanya aviondoe vitabu hivyoo...???

Kama angafanikiwa leo ungekuja kutetea waprotestant kuwa na vitabu 24 vya Agano jipya...???

Acha kutetea ujinga wa Luther, hii laana ndio ilifanya mpaka leo hii Protestant si kitu kimja ila mnazidi kuparanganyika ...

Alichotaka kufanya Luther ni sawa na walokole waindoe Nyaraka ya Wakorinto inayokataza Wanawake kuhutubu madhabahuni simply ku-suit mafundisho yao..

Hicho na alichokifanya Luther...
Tutolee ujinga wa Apostolic na Doctrinal hapa
 
Hapo umemshika pazuri...!Doctrine gani na Apostolic reasons zipi....?nasubiri,hawa watu wako shallow sana kwenye masuala ya maandiko na hawajui historia ya biblia.
 
Hebu turudi kwenye mada husika..

Kwanini Martin Luther alipunguza vitabu 7 vya Agano la Kale...?

Kwanini alifanya attempt ya kuondoa vitabu vya Yakobo, Ufunuo na Waebrania...?

Tupe sababu ili tujikite kwenye mada..
Jibuni kwanza kwanini mliondoa amri ya pili inayokataza kuchonga na kuabudu sanamu? Na kwa nini mligawanya amri ya kumi inayokataza kutamani mali au mke wa mtu, mmefanya amri mbili wakati hii ni amri moja inayokataza kutamani kitu chochote cha jirani yako? Mkishajibu haya ndipo muendeleze mashambulizi yenu kwa Martin Luther
 
Kwanini Mapadre wanatakiwa kuwa Waseja maisha yao yote au ndio kumuenzi Yesu Kristo?
 
Ndg hamna amri iliyoondolewa zaidi ya kuboreshwa umeambiwa 2+2=4 au 1+3=4 kwa mtu mwenye upeo mdogo huwezi kuelewa, kwani hiyo iliyotolewa ilikuwa inasaje na hiyo iliyowekwa inasemaje.....?hebu ziweke hadharani kwa faida forum ili zichambuliwe.
 
Niambie hiyo picha (back Ground pic ) Wakati Rais wa Kanisa la SDA amekuja Tz hapo ni uwanja wa Taifa ni picha ya nani....?
View attachment 458771


Niambie hiyo picha inafanya nini hapo...

Kitaja nataka jibu....
Hivi wewe ndo ulikuwa mpiga picha siku hiyo?mmefanya photoshop hadi watu walioko kwenye picha hawaonekani.Hata hivyo picha za kufundishia zipo tangu zamani.waandishi walichora picha za manabii na mitume kwenye mapango, mawe n.k ili kuhifadhi kumbukumbu zao lakini kamwe hazikuwahi kisujudiwa. Kwa taarifa yako picha zinatumika kwenye vitabu vya makanisa mbalimbali ili kufundishia tofauti na hivyo vinyago mnavyoviabudu
 
Acha kwenda kama mbuzi aliyekatwa kichwa...!umesema Wakatoliki wamepunguza na kungeza amri za Mungu ukaombwa kuposti zilizo punguzwa na zilizoongezwa kwa faida ya forum,sasa hv umerukia mambo mengine tukuelewaje.....?au ninyi ndio wale mnaokaririshwa na kuaminishwa mambo pasipo kuyafanyia uchunguzi alafu mnakuja humu forum.
 
Jamani hivi ninyi wakathorici hayo maandiko ya maria kuwa muombezi wenu munayatowa wapi tupeni na sisi tuyasome siyo mtuletee ha bali za kijiolojia..bibilia haisemi tujifunze kwa kupitia jioloji wala sayansi maana bibilia nikitabu kinacho jitosheleza hakihitaji msaada wa vitabu vingine
 
Hivi Biblia ilipaswa kuwa na vitabu .vingapi? Mnakaririshwa sana ndio Shida.
 
Sasa tujikite kwenye mada...
Unafukiri ni kwanini huyu Luther alivuondoa vitabu hivyo..?? Na nini kilimpelekea yeye kufanya attempt ya kuondoa vitabu vya Ufunuo, Yakobo na Waebrania..?
Otorong'ong'o,
Sasa tujikite kwenye mada na pale penye uchangiaji tusitukane...na tuweke historia ya Canon of Scripture kwanza na nina imani, Kwa uelewa wako na wengine tutakuwa msaada wa nini kilifanyika tangu mwanzo.
Kwanza nikubaliane kwamba..Canon of Scripture is the list of 73 books ni kweli na halina ubishi..nawe unaweza ukaeleza kama historia hiyo kama siyo kweli..
na uandishi wa awali ulifanyika tangu 10th century B.C mpaka Karne ya kwanza A.D ndipo Kitabu cha Ufunuo wa Yohana kilikamilika...kwahiyo mpaka hapo utakubaliana nami kwamba vitabu katika Biblia vilikuwa 73 hadi muda huo...kwa maana kwamba hivyo 66 ambavyo vinakubaliwa na Protestants or Jews jumlisha Saba (Deuterocanonical books) ambavyo vinakubaliwa na Roman Catholics and Eastern Orthodox..

Tuje kwenye hoja..Je vitabu 7 hivyo viliondolewa na Martin Luther...?
Jibu ni hapana..Kwa maana kwamba vilianza kuondolewa tangu Mkutano wa Jamnia wa Wayahudi..100 A.D...it called..'Council of Jamnia' at which walikataa hivyo vitabu..hii ilikuwa baada ya destruction of the temple in Jeresalem by the Romans in the year 70 A.D . Kumbuka hii ilitokana na Jews walipotaka kurudisha ile hali ya temple yao na ku-compose Maandiko yao baada ya kubolewa na kuharibiwa na Warumi.....
Je Ndugu Otorong'ong'o tunakubaliana hadi hapo...ili kuendelea kujenga Msingi wa Kilichotokea katika Mkutano huo wa Jamnia..Wayahudi waliviondoa vitabu vyote ambavyo walivikuta havikuandikwa kwa lugha ya Kiyahudi ingawa baadaye wamekuja kuona kwamba kumbe vipo ambavyo viliandikwa kwa Kiyahudi walipovipata kwenye Dead sea scrolls ambapo walipata flagments in hebraws of Tobit na Sirach....ingawa wapo Schoolers wengine wanaamini kwamba hata 1 Maccabees (Makabayo wa Kwanza), Judith, Baruch na sehemu za kitabu cha Hekima (Wisdom)...Kwahiyo walioanza kuondoa hivyo vitabu ni wayahudi wenyewe....Je hapo unakubaliana nami..?
 
Illiterate type.....!pole sana endelea na mafundisho yako ya kina;
William Miller
Joseph Bates na wengineo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…