MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

Hiyo link nimeisoma ila imejaa upotoshaji mtupu hasa pale wanapolazimisha kuwa kanisa la SDA linapinga Uungu wa Roho Mtakatifu, na pia Mungu Mwana. huu ni uongo na upotoshaji wa wazi.Katika misingi ya imani ya SDA,
Inapotosha kitu gani angali nukuu za hiyo Biblia yenu mpya zimewekwa wazi...??

Unaipinga Biblia yenu mpya...?
 
Umeshapitia hiyo link lkn......?kama vp washirikishe baba zako wa kiroho na ikiwezekana washirikishe hii thread maana wapo waliokuja kama ww lkn hatuwaoni leo.
 
Huyo aliyekabidhiwa ufunguo alikuja kuwa kiongozi wa Kanisa lipi........?ebu tuambie tunakusubiri.
Kwa hio ndio muabudu sanamu! Amri za Mungu zinasemaje?
Usijifanyie kitu chochote kilichoko juu ya nchi ukakiabudu
 
Kwa akili yako na wenzio sidhani kama hiki kitabu cha Ufunuo wa Yohana mnaweza kukitafsiri.
 
Kabisa,na nafikiri atakuwa hajaielewa.
 
Kwa akili yako na wenzio sidhani kama hiki kitabu cha Ufunuo wa Yohana mnaweza kukitafsiri.
Wala huhitaji nguvu kubwa kutafsiri ufunuo.,kitabu chenyewe kimetoa tafsiri.Imeelezwa wazi mnyama ni nani, kahaba ni nani na kwa nini anaitwa kahaba.Usitumie akili yako kutafsiri Biblia.
 
Umeshapitia hiyo link lkn......?kama vp washirikishe baba zako wa kiroho na ikiwezekana washirikishe hii thread maana wapo waliokuja kama ww lkn hatuwaoni leo.
Mkuu huyu Bwana Kitaja alikuwa anapinga sana mambo ya picha na Sanamu,huku akitumia maandiko matakatifu kitabu cha Kutoka sura ya 20.....

Bila hiyana nikamuonesha bango kubwa la picha Ya Yesu kwenye Mkutano wao Uwanja wa Taifa...Nikamuuliza hiyo ni picha ya nani...? Aka-panic na kusema hiyo ni photoshop..
Nikamwambia hiyo picha nimetoa kwenye Website yanu ya Kanisa....Nahisi nilivyomwambia hivyo ikabidi aende kuhakikisha...

Unajua alisemaje..

"Mungu hajakataza kufanya picha kwa ajili ya kufundishia...ile picha ipo kwaajili ya kufundishi"

Nikajisemea hawa watu wanamatatizp..walikuwa hawajui wanachokifanya...
 
Wala huhitaji nguvu kubwa kutafsiri ufunuo.,kitabu chenyewe kimetoa tafsiri.Imeelezwa wazi mnyama ni nani, kahaba ni nani na kwa nini anaitwa kahaba.Usitumie akili yako kutafsiri Biblia.
Masikini...Ndio maana nikakuuliza ni hiyo Clean Bible ndo inavyosema...?
 
Biblia ya kisabato lakini mtunzi na mandishi Roman Catholic, maajabu ya dunia haya!
Mkuu, biblia yenu si ndo hiyo mmeongezea Manuscript za Ellen G White...? Mbona ushahidi upo..?

Usipende kujitoa ufahamu...utaumbuka ndugu
 
Inapotosha kitu gani angali nukuu za hiyo Biblia yenu mpya zimewekwa wazi...??

Unaipinga Biblia yenu mpya...?
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] huyu jamaa anafurahisha sana lkn nahisi huyu jamaa nitakuwa namfahamu maana juzi ktk pitapita zangu kuna bwana mmoja rafiki yangu sana na mshirika wa hicho kikundi(SDA) nilimshirikisha kwenye hii thread inawezekana ni yeye,nakushauri mshirikishe yule baba yako wa kiroho yule Mzee mwenye upara ambaye ndio Mzee wa kikundi,maana mmekuwa na cinema za usiku kila wkt karibu na nyumba yenu ya ibada zikiwa ni kutukana Wakotoliki tuu...muoneshe huyo link kisha mkaribishe huku.
 

Hata mashuleni tumefundishwa kutumia picha, ina maana shuleni wanaabudu sanamu? Tofautisha vinyago mnavyoviabudu na picha hizo hutumika kila mahali, sheleni, kanisani. barabarani kumejaa picha za matangazo je nazo ni sanamu,? Waabudu wafu wana taabu sana.
 
Kwa mujibu wa Wasabato amri ile inakataza kujifanyia picha....Sijui kama unaelewa hapo..?

Hebu niambie au nipe mstari unsosema jifanyieni picha kwaajili ya kufundishia....Naomba unipatie hapa...
 
Naomba nikuulize tena...a

Kwa hiyo ni Ruksa kutumia Picha na Sanamu ila tunatakiwa tusiviabudu sio..??

jiwe la majiwe njoo uone huku.
 
Hii Thread nimewashirikisha Wasabato wengi wanaonekana kukata tamaa....Ni kama kanisa lao linawa-confuse
 
Nakumbuka sana mkuu,tulijaribu sana kuwasihi wajikite kwenye mada lkn wakawa wakaidi wakajikita kuwalaumu Wakotoliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…