MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

Thibitisha kwa fungu la Biblia
Fungu gani la biblia ...? Yani unataka nikuambie Kichaa Ellen G White alisabanisha mauaji mwaka 1844(Great disappointment) kuwa inatoka Mathato 99:45...?? Unaakili timamu...?

Kwamba Ellen Gould White alifukuzwa Kanisa la Methodist unataka nikuambie ilitoka Marko 100:79....Unakichaaa
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mbona una wasi wasi mkuu? Hujiamini na kanisa lako ninj
Huu uzi toka page ya kwanza nipo nao....

Wenzako kama wewe wamekuja na ngonjera zao wakaangukia pua...Wamekimbia wameacha uzi.....

Wamekuja na copy na Paste ila tukawaambua..Hivyo ni tahadhari nakupa nitakuumbua....

Ok! Leta hiyo historia...Maana kuijua historia pejer ya Kanisa Katoliki ni kuijua historia ya Dunia..

Sasa niajabu kama utaijua historia ya Dunia, angali nikuuliza historia ya nyanya ako yule alimzaa babu mzaa bibi yako humjui...Ni ajabu sana..
 
Fungu gani la biblia ...? Yani unataka nikuambie Kichaa Ellen G White alisabanisha mauaji mwaka 1844(Great disappointment) kuwa inatoka Mathato 99:45...?? Unaakili timamu...?

Kwamba Ellen Gould White alifukuzwa Kanisa la Methodist unataka nikuambie ilitoka Marko 100:79....Unakichaaa
Huna ushahidi wa Biblia kuthibitisha hayo usemayo ndio maana unatumia nguvu kubwa.Ukiniuliza nithibitishe ukahaba wa kanisa katoliki ninao tele katika ufunuo 13, 14, 17.sura zote hizi zinaelezea mama wa makahaba na machukizo ya nchi. "Wafalme wa dunia wamezini nae" Yaani kanisa hili limefanya mapatano na wafalme wa dunia hii kubadili amri za Mungu.Historia ni mwalimu mzuri, ukifuatilia kwa uaminifu historia inaeleza wazi Roman Catholic Church ndiye kahaba mkuu wa Ufunuo 17:5.
 
ushahidi ni ushah
Hebu acha ujinga wewe....Unataka Ushahidi gani sasa...? Wa kimaandishi, ki historia au Ki Theolojia..?
Acha kupanic rafiki ushahidi ni ushahidi tu uwe wa kimaandishi, kihistoria etc. Leta Ushahidi sio maneno tu ya "here say"
 
Hahahaha hii kitu inaonyesha jinsi mkatoriki mmoja napojaribu kujitafutia Hali na uhalali
 
Huna ushahidi wa Biblia kuthibitisha hayo usemayo ndio maana unatumia nguvu kubwa.Ukiniuliza nithibitishe ukahaba wa kanisa katoliki ninao tele katika ufunuo 13, 14, 17.sura zote hizi zinaelezea mama wa makahaba na machukizo ya nchi. "Wafalme wa dunia wamezini nae" Yaani kanisa hili limefanya mapatano na wafalme wa dunia hii kubadili amri za Mungu.Historia ni mwalimu mzuri, ukifuatilia kwa uaminifu historia inaeleza wazi Roman Catholic Church ndiye kahaba mkuu wa Ufunuo 17:5.

Nimekuuliza, Bibi Ellen G White kuua maelfu ya watu unataka tutoe katika andiko gani....?

Hujui kisa cha Great Disappointment...?
 
Mungu atuhurumie
Wakristo tunatumia nguvu nyingi kujigamba kuwa mmoja ni bora kuliko mwengine wkt kuna binadamu wengi wanahitaji kumjua mungu/yesu nadhan hii nguvu ingeelekezwa huko ingekua safi sana...watu wasali na kutenda matendo mema kupitia kwa kristo kama daraja mengine tutayajua judgment day
 
Huna ushahidi wa Biblia kuthibitisha hayo usemayo ndio maana unatumia nguvu kubwa.Ukiniuliza nithibitishe ukahaba wa kanisa katoliki ninao tele katika ufunuo 13, 14, 17.sura zote hizi zinaelezea mama wa makahaba na machukizo ya nchi. "Wafalme wa dunia wamezini nae" Yaani kanisa hili limefanya mapatano na wafalme wa dunia hii kubadili amri za Mungu.Historia ni mwalimu mzuri, ukifuatilia kwa uaminifu historia inaeleza wazi Roman Catholic Church ndiye kahaba mkuu wa Ufunuo 17:5.

Kama unazungumzia Roman Catholic Church inawezekana hayo maandiko yako yakawa sahihi, lakini kama unazungumzia CATHOLIC CHURCH hilo andiko halifit Na ni miongoni mwa maandiko yasiyoendana na tafsiri za Kibiblia, zaidi ya tafsiri ya matakwa binafsi
 
Ila naamini iko cku mtakuja kuwaelewa Wakotoliki sasa hv ni vgumu sana kuwaelewa....!

Wamesha elewa kaka, sasa wengi wameshaanza kufuata mafundisho ya Kikatoliki,
Kihualisia sio mafundisho ya Kikatoliki, bali ni mafundisho sahihi ya Kibiblia na Mapokeo, sasa wanaanza kujua
1: Tumsifu Yesu Kristo (Salamu ya Kikatoliki) wao wańasema Bwana asifiwe ni lile lile tu
2: Walokole wote wanaenda kuungama/ kukiri dhambi zao kwa wachungaji wao, japo hawaliweki kwenye muktadha huo, lakini lengo ni lilelile kama la Wakatoliki
3: Sasa kila kanisa la kilokole wanatumia Mafuta na Maji kwenye maombezi yao Hizo ni traditional za Kikatoliki, siku za nyuma walikuwa hawatumii chochote zaidi ya kusema Yesu pekee ndio mwokozi
4: Kanisa kama Sabato sasa liko kwenye mjadala mzito kuhusu habari ya Utatu mtakatifu, wengine wanaamini na wengine hawaamini katika hilo, mwisho watakuja kwa Wakatoliki kujifunza na kujua ukweli
5: nk
 
Tupa mbali uongo hapa! Kanisa alilosema Yesu si Roman Catholic

Kweli Yesu hakuacha Roman Catholic, Yesu alisema nendeni ulimwenguni (Catholic) kote mkawafanye mataifa wote kuwa wanafunzi wangu, so Yesu aliacha CATHOLIC CHURCH
 
Back
Top Bottom