Hivi unajua kilichoko nyuma ya hilo kanisa? Au unaongea tu
Soma Ufunuo 13:1-18.
Kumbuka Yesu hakuacha dini ya Catholic, angalikana, au upentecoste.
Yesu alikuja kumkomboa mwanadamu ktk utumwa Wa dhambi. Tangu mwanzo hata sasa
Yesu anasema
[Yohana 8:12
Basi Yesu akawaambia tena akasema, Mimi ndimi nuru ya ulimwengu, yeye anifuataye hatakwenda gizani kamwe, Bali atakua nuru ya uzima.
Mahali pengine Yesu akasema, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima hakuna atakae kwenda Kwa baba pasipo kupitia kwangu.]
Nataka nikwambie tu ndugu Yang, hatuwezi kufika mbinguni Kwa kupelekwa na hayo madhehebu tu,
Hapa Msingi mkuu ni kumwamini Yesu kama Bwana na Mwokozi Wa maisha yako.
Angalia usidhani na kujiona umesimama ktk imani, kumbe umeanguka ktk imani.
Mwamini Yesu ndugu yangu.
Vp kuhusu kuruhusiwa kwa makaasisi na watawa kuoa au kuolewa....?hili ulijui.....?na ndio maana nasema hivi vikundi vilikuja kimaslahi ya kidunia zaidi, na kwa taarifa yako Luther alirudi kanisani kuomba msamaha kiongozi wa kanisa wkt huo(PAPA) alimwambia kanisa limekusamehe Ila rudisha wanakondoo wote ulio wachukua kanisani hilo lilimshinda Luther,hizi historia wachungaji wenu hawawezi kuwaambia na pengine hawazijui.....upo apo.