Kitaja
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 2,836
- 1,382
Jiuluze hiyo kazi mnayojipa inawasaidia nini kwenye wokovu wenu?kijana achana na kazi za mwovu shetani zitakupoteza.Yesu analinagalia kanisa lake kama mboni ya jicho, juhudi zozote za shetani za kuliangusha hazitafanikiwa.I urge you to join the weaning team of Jesus.upande uliochagua utakupeleka shimoni.We hujiulizi kipindi cha nyuma kwanini ilikuwa ni haramu kuweka picha kwenye tukio lolote la SDA ila leo hii ni ruksa...
Hujiulizi ni nini kimebadilika..? Hujiulizi kwanini na wewe umebaki unashangilia tena ukisifia...? Hujiulizi..?
Kaa mkao wa kula ni muda unaongea