MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

Wakristo wa Awali ndio kina nani hao...?
Ni wapi Ndaga kasema Wakristo wa awali walivikataa...!? Hebu m-quote ndaga nione hapo aliposema ..? Kwanini unamlisha uongo...??

Hivi unaijua Karne ya kwanza wewe...??? Aliyekuambia Wakristo wa kwanza ni Wayahudi ni nani...? Kwanini unajitungia maneno...?
Ukiamua kufanya "quotation" chukua sentensi nzima ilibijulikane unacho quote ni nini vinginevyo unachofanya ni kulenga kupotosha wasomaji. Sasa nikurudishe kwenye darasa la Theology halisi sio ile mnayokaririshwa seminari. Yesu alikamilisha kazi yake manamo mwaka 34 AD, mnamo mwaka 37 AD Mitume walianza kusambaza injili maeneo ya mataifa baada ya mauaji ya Stephano. Mnamo mwaka 70 AD hekalu la Yerusalemu liliangamizwa na jeshi la kirumi kama Yesu alivyotabiri.Waliokuwa waaminifu waliondoka mara baada ya Mji wa Yerusalemu kuzingirwa na majeshi.Waliopuuza unabiii kwa makusudi au kutojua waliangamia. Wakristo hawa waliosalia ndio waliokamilisha kazi ya kukusanya pamoja vitabu vya Biblia. Na hii kazi ilikamilika karne ya kwanza yaani miakaya 100 AD hapo hakukuwa na kitu kinaitwa Roman Catholic Churc bali kundi la waumini wakiitwa Wakristo.
 
Ukiamua kufanya "quotation" chukua sentensi nzima ilibijulikane unacho quote ni nini vinginevyo unachofanya ni kulenga kupotosha wasomaji. Sasa nikurudishe kwenye darasa la Theology halisi sio ile mnayokaririshwa seminari. Yesu alikamilisha kazi yake manamo mwaka 34 AD, mnamo mwaka 37 AD Mitume walianza kusambaza injili maeneo ya mataifa baada ya mauaji ya Stephano. Mnamo mwaka 70 AD hekalu la Yerusalemu liliangamizwa na jeshi la kirumi kama Yesu alivyotabiri.Waliokuwa waaminifu waliondoka mara baada ya Mji wa Yerusalemu kuzingirwa na majeshi.Waliopuuza unabiii kwa makusudi au kutojua waliangamia. Wakristo hawa waliosalia ndio waliohiyisha kazi ya kukusanya pamoja vitabu vya Biblia. Na hii kazi ilikamilika karne ya kwanza yaani mwaka 100 AD hapo hakukuwa na kitu kinaitwa Roman Catholic Church
 
Ukiamua kufanya "quotation" chukua sentensi nzima ilibijulikane unacho quote ni nini vinginevyo unachofanya ni kulenga kupotosha wasomaji.
Nawapotosha kwa kitu gani ..? Kwanini ni quote sentensi nzima ambayo haina maana...?
 
Ukiamua kufanya "quotation" chukua sentensi nzima ilibijulikane unacho quote ni nini vinginevyo unachofanya ni kulenga kupotosha wasomaji. Sasa nikurudishe kwenye darasa la Theology halisi sio ile mnayokaririshwa seminari. Yesu alikamilisha kazi yake manamo mwaka 34 AD, mnamo mwaka 37 AD Mitume walianza kusambaza injili maeneo ya mataifa baada ya mauaji ya Stephano. Mnamo mwaka 70 AD hekalu la Yerusalemu liliangamizwa na jeshi la kirumi kama Yesu alivyotabiri
Aliyekuambia kutupa rejea ya miaka ndiyo Theology ni nani...? Unaakili kweli wewe...?? Yesu tangu lini akawa Mtabiri...??? Unataka kumfanya Yedu kama bi Ellena...?

.
Waliokuwa waaminifu waliondoka mara baada ya Mji wa Yerusalemu kuzingirwa na majeshi
Kina nani hao waaminifu...? Waaminifu kwa nani...?

.Waliopuuza unabiii kwa makusudi au kutojua waliangamia
Unabii gani. .? Wakina nani hao walipuuza.. ? Kuwa wazi..

. Wakristo hawa waliosalia ndio
Wakristo hao ndio kina nani...? Hawana jina...? Walisalia wapi...?

waliohiyisha kazi ya kukusanya pamoja vitabu vya Biblia. Na hii kazi ilikamilika karne ya kwanza yaani mwaka 100 AD hapo hakukuwa na kitu kinaitwa Roman Catholic Church
Unaakili timamu kweli wewe...?
Aliyekuambia kazi ya kukusanya Biblia ilikamilika mwaka 100 ni nani ..? Umetolea wapi hii..??
 
Nafurahi angalau nimeiiona kabla ya hawajaiondoa. Nashukuru aliyeileta
 
Napata shida sana kuamini kuwa huyu muandishi anamjua vizuri Dk Martin Luther King:
Namshauri aende akasome kwanza aje na habari za uhakika
 
Kaka Mambo ya dini sio Magumu ni watu kuwa wagumu wa kuelewa na wengi hawampi Roho Mtakatifu muda wa kuwafunulia maandiko na Wachungaji na Wainjilisti ndio wanakuwa kila kitu

Kuhusu Bikira Maria, hiyo ni Habari kubwa na sio ya mchezo mchezo,
Kiimani ya Kikatoliki Yesu ni Neno la Mungu nae pia ni Mungu, na Kimaandiko sisi wote ni wakosefu kwa maana tuna dhambi ile ya kurithi, ile laana waliopewa Adam na Hawa mpaka leo tunayo, Mungu akalifanya Neno lake lije Duniani kuwakomboa wanadamu kwenye ile laana iliyotoka kwenye Mti wa katikati kupitia mti wa Msalaba
Yesu kama Mungu alikuwa hawezi kuja kupitia binadamu mwenye dhambi, Hivyo Bikira Maria alikingwa na ile dhambi ya ya Urithi, alikuwa PURE AND FRESH
Malaika Gabriel anatumwa kwa Mungu na anampa Maria ujumbe huu, kwamba MARIA AMEJAA NEEMA, BWANA YUKO NA WEWE NA UMEBARIKIWA KULIKO WANAWAKE WOTE, Pia hiyo Mimba itakuwa ni kwa uwezo wa Roho Mtakatifu, So Maria ndio Binadamu wa kwanza Duniani kuzipokea nafsi zote tatu za Mungu, BABA, MWANA NA ROHO MTAKATIFU

Baada ya Malaika Gabriel kumwacha Maria, Bikira Maria hakuwa wa Dunia hii tena, alikuwa anatembea na Nafsi zote tatu za Mungu, na alikuwa kwenye Dunia ya Kiroho, Dunia ya watakatifu kwani alikuwa na Mwana wa Mungu ndani yake kwa Uwezo wa Roho mtakatifu

Alipofika kwa Elizabeth na kumsalimia, Yohana aliruka ndani ya tumbo la Elizabeth na Elizabeth alijazwa roho mtakatifu hapohapo Maria hakuwa mtu wa kawaida, na Eliza akijazwa na Roho mtakatifu akajikuta ananena kuwa MARIA WEWE UMEBARIKIWA KULIKO WANAWAKE WOTE

Nae Maria akiwa kwenye utakatifu wake Akasema Luka 1:48- vizizi vyote vitaniita MBARIKIWA

Na kwenye kitabu cha ufunuo kinaonyesha ni kwa jinsi gani Shetani akupenda mpango wa Mungu wa mkombozi kuzaliwa,
Na ishara kubwa ikaonekana Mbinguni, mwanamke mwenye mImba , mwanamke ALIYEVIKWA JUA NA MWEZI UKIWA MIGUUNI MWAKE, anataka kujifungua, na Shetani (Joka) anajitahidi kwa nguvu zote azuie mwokozi asizaliwe
Kasome Ufunuo 11:19 na 12:1-6 kwa habari kamili

Lakini pamoja na hayo yote, kwa Wakatoliki, BIKIRA MARIA SIO MUNGU, BIKIRA MARIA HAWEZI KUSAMEHE DHAMBI, BIKIRA MARIA HAWEZI KUOKOA MTU

KIKATOLIKI BIKIRA MARIA NI KAMA DARAJA LA KUTUUNGANISHA NA MWANAE (Yesu Kristo)
Nitaelezea baadae kivipi?
Kama mtu bado hajaelewa haya maelezo haina haja ya kuendelea na huu mjadala
 
Kanisa Katolik limekuwepo hata kabla ya uislam. Hivyo maktaba ya Vatican imeshiba
Weweee. Uislam upo tokea mwanadam wa mwanzo anaumbwa.. Hizo habari za katoliki ni hadithi nyngne.
Jibu hoja uliyoulizwa. Keep Islam in peace
 
Martin Luther na Martin Luther King ni watu wawili tofauti..
Hahaha ....tatizo la hawa ni moja ....akijua kukemea pepo tu basi amefuzu Theology yote ....ndio maana ameshindwa hata kujua tofauti ya watu hao huku akiandika kwa kujiamini kabisa ....[emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Back
Top Bottom