Unakubali ile ni picha ya Yesu sio? Mmeitolea wapi...? Ilichorwa na nani...?? Tangu lini kikundi cha kiharakati cha Kusabato mmeanza kutumia picha...??? Kwanini mmeamua kujifanyia picha..? Nini kimetokea...??? .....Jibu lako hili la kutumia picha nitalihifadhi kisha nitakuumbua nalo..
Tunawavuta mtakuja kwenye 18 zetu...muda unaongea
Shida ipo hapa kwenye Kutoka 20:....
Nani kakuza...?? Hata ukikuza kwani siyo picha halisi...?? Hiyo iliyokuzwa nani waliipiga .?? Walijuaje ni Yesu, ? Tangu lini SDA mneanza kutumia picha ..? Tangu liniiii...???
Ndio nina kuambia tunali-reform kanisa lenu taratibu ...na nyie mashabiki ndio mrakuwa wa kwanza kupokea mabadiliko...Kama jinsi unavyotetea hapa
Nani kasema tulikuwa tunatafuta ushahidi ..? Umejuaje tumeupata...???
Ni kweli tupu Mungu anachukizwa na kuabudu sanamu.....Aliyekuambia Wakatoliki wanaabudu sanamu ni nani...?
Stay tuned nakuja na moree!!!