Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukikemea pepo na likatoka hiyo ndiyo theology kuu kupita zote. Theology isiyokuongoza katika toba na kufuata maagizo ya Mungu huo ni upagani.Hahaha ....tatizo la hawa ni moja ....akijua kukemea pepo tu basi amefuzu Theology yote ....ndio maana ameshindwa hata kujua tofauti ya watu hao huku akiandika kwa kujiamini kabisa ....[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Kwa uelewa wangu, agano liliwekwa kati ya Mungu na Ibrahim, na sio Mungu na Mariamu.Mkuu we ninani hadi umpinge mtu ambaye aliweka agano na Mungu?unadhani uwepo wa bikra Mariam ni wakibahati mbaya?soma Bible vizuri,halafu tuliza akili yako vzr,achana na mapokeo ya mafundisho ya wachungaji wako,fikiri vizuri,Wakati Mungu akimtumia ujumbe Mariam hapakuwepo na wanawake wengine,kwanini bikra Mariam?,Yaani Mungu Baba aweke agano la milele na Na Mama yule wewe useme she is noboby,ama kweli,watu wake wanaangamia kwa kukosa maarifa!!!!
Theology ya kweli ni kuyajua na kuyatenda mapenzi ya Mungu.Kinyume na hapo ni propaganda ambazo hazina maana.Unaijua Theology wewe....???? Hiyo uliyoandika ndiyo Theology...?
Malizia kabisa kwa kusema, mapenzi ya Mungu yanapatikana kupitia neno lake - BibliaTheology ya kweli ni kuyajua na kuyatenda mapenzi ya Mungu.Kinyume na hapo ni propaganda ambazo hazina maana.
Kiongozi, hapa umetumia nguvu kujibu ila sio hoja. Naona unaanza kuteteleka au umapanic .Aliyekuambia kutupa rejea ya miaka ndiyo Theology ni nani...? Unaakili kweli wewe...?? Yesu tangu lini akawa Mtabiri...??? Unataka kumfanya Yedu kama bi Ellena...?
.Kina nani hao waaminifu...? Waaminifu kwa nani...?
Unabii gani. .? Wakina nani hao walipuuza.. ? Kuwa wazi..
Wakristo hao ndio kina nani...? Hawana jina...? Walisalia wapi...?
Unaakili timamu kweli wewe...?
Aliyekuambia kazi ya kukusanya Biblia ilikamilika mwaka 100 ni nani ..? Umetolea wapi hii..??
Huu uzi nipo nao tokea mwanzo cha kinifanya ni panic nini....?Kiongozi, hapa umetumia nguvu kujibu ila sio hoja. Naona unaanza kuteteleka au umapanic .
Theology ya kweli ni kuyajua na kuyatenda mapenzi ya Mungu.Kinyume na hapo ni propaganda ambazo hazina maana.
Biblia ambayo ni kitabu cha Kikatoliki...Malizia kabisa kwa kusema, mapenzi ya Mungu yanapatikana kupitia neno lake - Biblia
Sawa kabisa mjoliMalizia kabisa kwa kusema, mapenzi ya Mungu yanapatikana kupitia neno lake - Biblia
Mzee wa Theology...Sawa kabisa mjoli
Tatizo lako unaamini kuwa misale iko juu ya Biblia.hadithi za misale ya waumini haina nafasi hapa.ukija hapa tuhojiane kwa kutumia "sola scriptura" upo hapo? Misale na rozari peleka kwa waabudu sanamu wenzio.Mzee wa Theology...
Unajinasibu unajua hesabu, nakupa mtihani wa hesabu unajibu stadi za kazi..
Kazi ipo...Msiwe mnapenda kuvamia thread ambazo zipo juu ya uwezo wenu...
Tangu lini misale ikawa juu ya Biblia...Misale ni kiongozi wa Ibada za kila siku ndani ya Kanisa..Tatizo lako unaamini kuwa misale iko juu ya Biblia.
Hadithi gani mkuu...? Maana huu uzi yakupasa kuwa nondo kwenye historia....Karibia unachanganyikiwa..hadithi za misale ya waumini haina nafasi hapa.
Kwani hapa tunajadiliana nini..??ukija hapa tuhojiane kwa kutumia "sola scriptura" upo hapo? Misale na rozari peleka kwa waabudu sanamu wenzio.
Mzee usiniambie mmekaa mkao wa fisi kusubiri mkono udondoke!Tangu lini misale ikawa juu ya Biblia...Misale ni kiongozi wa Ibada za kila siku ndani ya Kanisa..
Hadithi gani mkuu...? Maana huu uzi yak
upasa kuwa nondo kwenye historia....Karibia unachanganyikiwa..
Kwani hapa tunajadiliana nini..??
Mzee wa Theology...Daah....
Soon GC itachana manuscript za EGW
Nimekuambia nitakuhabarisha yatakayotokea....Mafundisho ya mama EGW yamekuwa mzigo ...hivyo tunayabadilisha taratibu ila kwa ustadi mkubwa, huku nyie washangiliaji mkiendelea kushangilia bila kujua...Mzee usiniambie mmekaa mkao wa fisi kusubiri mkono udondoke!
Ni sawa kabisa maana uzoefu mnao kwa kubadili amri na kulishwa "matango pori" yaani amri kumi zilizochakachuliwa huku mkiambiwa hamna haja ya Biblia ila misale ya waumini tu inatosha.Nimekuambia nitakuhabarisha yatakayotokea....Mafundisho ya mama EGW yamekuwa mzigo ...hivyo tunayabadilisha taratibu ila kwa ustadi mkubwa, huku nyie washangiliaji mkiendelea kushangilia bila kujua...
Women Ordination lazima mtashangilia sana....
We hujiulizi kipindi cha nyuma kwanini ilikuwa ni haramu kuweka picha kwenye tukio lolote la SDA ila leo hii ni ruksa...Ni sawa kabisa maana uzoefu mnao kwa kubadili amri na kulishwa "matango pori" yaani amri kumi zilizochakachuliwa huku mkiambiwa hamna haja ya Biblia ila misale ya waumini tu inatosha.
Inaonekana hii umesoma mahali, mambo ya Mungu huwa yanakwenda kwa ufunuo wa Neno(revelation) kutoka kwake.Ukiyatafuta kwa akili ya kawaida huyapati.Martin Luther ni mmoja wa hao waliopata ufunuo wa namna kanisa linatakiwa liwe kulingana na Neno la MUNGU.Na ndio maana alifanya reformation kulingana na Ufunuo wa Kimungu aliopata katika NenoKWANINI PADRE Luther ALIFUKUZWA KANISA KATOLIKI? NA KWANINI ALIONDOA BAADHI YA VITABU KWENYE BIBLIA AGANO LA KALE?
Padre Luther alikuwa miongoni mwa Mapdre wenye karama nyingi ndani ya Kanisa katoliki wakati wake, Yeye alikuwa na Madai mengi sana juu ya mapungufu kwa kanisa. Hata hivyo madai yake mengi hayakuwa na msingi wowote.
Moja ya madai yake ilikuwa ni kuondoa kibali cha kwamba baada ya kuungama muumini asipewe stakabadhi ya kuonesha ameungama kwa kuwa kitubio ni siri ya MTU. Hili lilifanyiwa kazi. Mengine ikiwemo kurekebisha mfumo WA sala ya Kanuni ya Imani. Na mambo mengine mengi ambayo alipojibiwa, yeye hakuridhika pamoja na kueleweshwa vya kutosha. Alikuwa ni Great Thinker sana.
Mbaya zaidi alipokuja kusababisha mpaka akajitenga na kanisa ni kitendo cha kuondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia ikiwemo pia kupunguza baadhi ya mistari kwenye vitabu kama cha Esta na Cha Danieli.
Aliondoa vitabu vya Deutrokanoni na vingine baadhi na kuwa jumla ya vitabu 7 vilivyotolewa kwenye Biblia. Na kila kitabu alikuwa na sababu yake aliyoibainisha. Kimsingi alipata wafuasi wengi WA kumuunga mkono hoja yake hasa wale ambao walikuwa wanatafta njia ya kuchuma pesa kiulaini. Na hapo Biblia mpya ilianza yenye Vitabu pungufu.
Na ndio maana Leo watu hawaujui Ukristo vizuri na wanakinzana bila kujua historia ya kanisa. Watumishi wengi WA Mungu hasa HAWA WA kileo wasiojua nhistoria vizuri wao kila kitu wanapinga. Sio kosa lao Bali ni kosa la kutokujua historia ya kanisa.
Matumizi ya Ubani yalipingwa sana, na hapa ilikuwa ni kuondoa idadi ya waelewa. Kutokana na watu wengi walikuwa wamegeuka kama waganga kila mapepo ya kiwakabili walitumia ubani kuyafukuza na yalikimbia, lakini watu walijisahau kusali na kuomba na hata kufika ibadani ikawa nadra maana wanajua kujiponya kuondokana na majini na wachawi. Hapa Padre Luther na wenzake wakapiga marufuku matumizi ya ubani na kuwa sihi wakazanie Neno zaidi.
Hapa walichotakiwa kufanya ni kuliishi Neno la Mungu na wakati WA ibada basi ubani uchomwe kama Mungu alivyo agiza.
Luther na wenzake lengo lao lilikuwa ni biashara hapo baadae na kimsingi mpango huo ulifanikiwa. Na ndio maana mpaka Leo watu wametawaliwa na mfumo WA majini katika maisha yao kwa kuwa wamefungwa akili ya kujitambua na wanaamini maneno ya mdomoni na sio Maandiko ya Biblia kama yanavyosema.
Nimengi ya kujifunza sana Leo hii lakini kwa Leo naishia hapa.
deogratius Nalimi Kisandu.
1. 1. 2017.
Hebu tupe jibu...Kwanini Luther alipunguza vitabu 7 vya Agano la kale ..?Inaonekana hii umesoma mahali, mambo ya Mungu huwa yanakwenda kwa ufunuo wa Neno(revelation) kutoka kwake.Ukiyatafuta kwa akili ya kawaida huyapati.Martin Luther ni mmoja wa hao waliopata ufunuo wa namna kanisa linatakiwa liwe kulingana na Neno la MUNGU.Na ndio maana alifanya reformation kulingana na Ufunuo wa Kimungu aliopata katika Neno